PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ni mtazamo potofu wa kiwango cha chini ya kufikiri gentleman

😄

Hapa Tanzania mama samia hana shida kabisa, Mama mmoja mzungu sana,

Ila watu wanaomzunguka wanataka kumpigisha shot ili lawama zote ziende kwake

Hata yeye chatanda angekuwa Rais asingefuta chadema

Ila sasa anataka mwenzake afute ili lawama ziende kwake waseme hapendi upinzani 😄
 
gentleman,
nadhani chadema ina haki na na inastahili kuchukuliwa hatua za kishria ikiwa ni pamoja na kufutwa kwa kukiuka sheria za nchi waziwazi na kwa makusudi.

nadhani hii ndio point ya msingi zaidi ya porojo zingine jukwaani
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

Punguani hii anafikiri nchi ya mamaake.........
 
Hawa ndio wanafanya watanzania wamchukie Rais Samia, kuongoza nchi kwa zama hizi inahitaji hekima ya mfalme Suleiman, SIYO mabavu
Na ukiwa kiongozi ujue huwezi pendwa na kila mtu hata ungewapa pesa bado watakuchukia,
Samia anaoneka rais mbaya ktk historia ya Tanzania kwa sababu ya ushauri wa Viongozi kama huyu mama
Kwani na ye hana akili achague watu wanaofaaa.......Ndege wafananao.......
 
Majinga mengi sana huko CCM
Ivii kwani ADUI WA TAIFA LETU NI NANI? si tuliaminishwa kua ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI. WTF kuwaza adui wa taifa ni CDM?

NB. Nasikiaga mwanamke asipo kua anakojozwa vizuri anakua na tabia za chuki, visasi, visirani, wivu, hasira na magomvii🤔
Ukiwafuatilia kwa karibu hao kina Chatanda na machawa wa ccm; majibu ni yale yale: Ujinga, Umaskini na maradhi!
Yaani wamefikia hatua wanata urais kwa short cuts bila ridhaa ya wapigakura!
 
Masikitiko makubwa ndugu yangu
 
NB. Nasikiaga mwanamke asipo kua anakojozwa vizuri anakua na tabia za chuki, visasi, visirani, wivu, hasira na magomvii🤔
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

ni mary chatanda au mary chawote ? watu wengine ni wa hovyo sana. sijui huwa wanapataje uongozi
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

Mama Chatanda asisubiri kuachiwa nchi, agombanie urais kupitia CCM.
 
gentleman,
nadhani chadema ina haki na na inastahili kuchukuliwa hatua za kishria ikiwa ni pamoja na kufutwa kwa kukiuka sheria za nchi waziwazi na kwa makusudi.

nadhani hii ndio point ya msingi zaidi ya porojo zingine jukwaani

Kama kwa kukiuka sheria then hakuna taasisi itakuwa active

Coz zote zinakiuka sheria,

Nashangaa mko busy na chadema tu, why hamsemi police ifutwe?

Au ujamsikia mama mjane alivyochukuliwa milion 12 kasema mbele ya waziri mkuu...

Tukisema tufate sheria then hata hapa jf hatutokuwepo
 
naona bado unaendekeza porojo kwenye mambo ya msingi,

hakuna haja ya kupoteza muda kirahisi hivyo.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

li Mshangazi lenye mdomo unaonuka mavi
 
CHADEMA ni Watanzania kama wewe, hawana baya nao wanataka kufaidi kipande cha keki ya Taifa kama Nyinyi, na sio jambo baya kwa kuwa wao kama Watanzania wanayo haki hiyo.
Hicho ndicho hawataki mkuu!
 
Back
Top Bottom