PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anafikiri kuua chadema ni kama kutoa mimba zisizotarajiwa alizotoa huko nyuma
 
Kwa nini JF imebadilisha na kulaunisha maneno ya Chatanda ??????

Hakusema angeimaliza CHADEMA

Hiyo ingekuwa ni kauli ya kisiasa ya kawaida.

Kasema hajui kama wale watu wangekuwepo.

Journalism ndio inafundisha kutuandikia tafsiri zako wewe muandishi ????

SIO CHAMA, WALE WATU
WASINGEKUWEPO
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.

Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.

This is not right
 
Kuna muda naona faida za nyeto, mzee wake angepiga nyeto ama kumwagia nje takataka kama hiyo isingezaliwa.
Nyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu.

Hiyo kukataliwa mpaka na vijuso huwa si bahati mbaya bali ni ile energy mbovu unayokuwa nayo ndani ya mwili.

Soma 1 Wakorintho 6:18, 6:19–20.
 
Back
Top Bottom