Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Discuss
Koba,...then,now & forever,karl Marx was wrong and is still wrong,kinachoendelea sasa is just a natural circle of markets and corruptions lakini capitalism is the way na ndio mfumo ambao umeleta maendeleo makubwa sana katika history ya binadamu na ukiangalia vizuri sio kwenye uchumi tuu hata freedom to some extent inaendana na capitalism!
Umeleta maendeleo at the expense of who? hilo nalo hutaki kuliangalia?capitalism and freedom? wewe kweli uko nje ya msitari freedom siku zote imepatikana kupitia mapambano ya wafanyakazi na bila ya mabavu hamna cha kapitalizimu. Zahama za ubepari sio jambo gani ila suluhisho lake siku zote lazima kuwakamua kundi fulani la watu na lazima baadhi ya maeneo yatolewe kafara huo ndio msingi wa kapitalism siku zote.

...nyie acheni mawazo eti maendeleo ya western countries ni matokeo ya kuzinyonya nchi maskini za Africa,watu mnaibiana kwenye EPA,Richmond,IPTL,Rites then leo mnasingizia nchi nyingine...acheni mizaha humu!
mazee fyi dili za EPA, Richmond, IPTL, Radar etc were all approved and executed per WB, IMF, EU input. lazima hizi dili zote western world alijua ni dili za wizi as they make money out of it too.
mazee fyi dili za EPA, Richmond, IPTL, Radar etc were all approved and executed per WB, IMF, EU input. lazima hizi dili zote western world alijua ni dili za wizi as they make money out of it too.
Uh ...can someone explain what ether's talking about?
idea za marx mimi nazikubali endapo zitapata msimamiaji wa kweli.
watu wanasema hawataki kusikia maduka ya ujamaa hivi umeshafikiri kuwa kama yangekuwa mwengi ya kutosha je ungelalamika kitu? yalikuwa na shida kwa sababu uzalishaji ulikuwa mdogo.
ubepari ni mbaya na unawaumiza wengi sana kupita usoshalisti
...then,now & forever,karl Marx was wrong and is still wrong,kinachoendelea sasa is just a natural circle of markets and corruptions lakini capitalism is the way na ndio mfumo ambao umeleta maendeleo makubwa sana katika history ya binadamu na ukiangalia vizuri sio kwenye uchumi tuu hata freedom to some extent inaendana na capitalism,one thing ninachokubaliana na Marx is his view in religion!