Marriage for revenge


Ndo ujikague
Kama ulimnyodoa jipange
 

Vannele listen up.

Don't dare do what u said Revenge!
Kwasababu inaweza kuwa sio Revenge bali wewe ndio unaanza uwasama,,.

Let me said huyo mwanaume alikuwa type ya wale domo zege, muoga kwa wanawake au mwenye aibu nyingi, so

So defence yake kwa wale waliokuwa wanakugombania ,na wewe ukawa unamsimamo wa kuwa unampenda yeye,, sasa unadhani angefanya vipi wakati yeye muoga.

Point ilikuwa anakupaka matope while nafsi yake inaumia kwa jinsi alivyokuwa anakupenda.

Unajua ubavu ukiwa mdogo na kuna mwenye ubavu zaidi yako anafukuzia kitu kizuri. Una asilimia 200% kuongopa atakapo kuuliza kuhusu hiko kitu mnachofukuzia utajibu ili umkatishe na yeye tamaa, kwa kumuambia ( hakifai, kibaya, hakina uzuri na n.k.) kupaka matope ili akiache ubaki peke yako uweze kumiliki!

Sasa nakusihi labda alitumia akili ya sungura ( Sitaki mbichi hizi) wakati angepata cha kumuweza kufikia mdizi angekula ndizi zote.
Sasa yeye alisubiri muda maalumu awashinde waliokuwa wanakufukuzia then atangaze ndoa na wewe mpaka leo mumeoana.

Be careful usije ukachekwa, mbaya zaidi tambua maji yakishamwagika hayazoleki!
Kila la kheri!
 
Sawa ndugu zangu,nimewasikia na nimewaelewa vizuri sana na pia nimetafakari kiundani,siku ya leo ilikuwa ngumu sana...Nawaahidi kubadilika,naachana na visasi na kuufunika huo ukurasa kabisa...Mimi sasa ni mtu mpya...Inawezekana Mungu aliamua kunipitisha huko ili nikomae...Nitaitunza ndoa yangu na kamwe sitotetereka.,
 
unachezea maisha unafikiri unavuta pumzi ili uichezee
 

Good to hear that, it sounds u r a real woman! Gud 9t!
 
dah!
bora nimeisoma hii thread leo.
ningeisoma juzi kati hii maisha ya watu kadhaa yangekuwa magumu.
ahsante Mungu wangu.
Vannele dear u knw wat to do!
umeshavuka mstari wa chuki mamii.ishi ndoa yako kwa amani lovie.
maisha ni haya haya tunayoishi sasa!!
 
Last edited by a moderator:
kumbuka ulijitisha huruma ukapata ndoa sasa kafanye malipiz ili umpe sababu ya kukumwaga kama alivyosema kipind kile
 

Kwa nini umechagua kuwajua wanawake kupitia mleta mada? Na sio wachangiaji wengine kama Kongosho au hata mama yako aliyekuleta duniani, akakunyonyesha akikusafisha maavi pale ulipojinyea au matapishi ulipocheua?

Huwezi wajua wanawake kamwe, waweza mjua kwa kiwango kidogo mwanamke aliye karibu nawe so quit generalizing inaudhi sana.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine huwa natambuwa kuwa shetani anaishi kupitia mawazo na maamuzi ya watu...

Young lady unatumiw.a tu na shetani, lakini mwisho wa siku dhambi hiyo ya chuki i juu yako...
 

Thnks,umefanya jambo jema kusamehe.Mungu akutie nguvu.
 

If it is that painful !
I advice you to get a good mental health specialist (Psychiatrist)to look into your troubles, you don't need a revenge you need a help.
I hope you will survive this !
 
Nilikuwa nafuatilia huu uzi toka umeanza ila naingia faraja kuona kuwa dada yetu hakusudii tena kufanya revenge..

Kwani yote hayo ni mapito ya kidunia tu na mungu anatoa majaribu tofautitofauti sana..usilaumu mtu yeyote hata huyo mumeo kwani hata yeye mungu kamjaribu kivingine( kaoa mtu ambaye alimkana kwa kejeli)

Kuhusu huyo rafiki yako aliekusikilisha simu huku aliekua mchumba wako ambaye sasa ni mumeo akiwa anakutolea kashfa, huyo si rafiki kabisaaaa. Kaa naye mbali kama ukoma.

Shukuru mungu kwa yote
 

Mkuu upo sahihi kabisa. Mambo ya mganga hayo.
 
ktk hii dunia binadam wanaojiita wanaume wanaudh sana. haswa wa kusini mwa Tanzania. i hate those guys.
 
Ha ha ha ha, watu wanadhani binadamu tunafanana kama embe? Human bevarior is very complex, kusema kawafahamu wanawake wote kwa ajili yamtoa mada ni kutukana jinsia ya ke.

 
Vannele,je utakapo fanya hicho kitu kilicho kusudia,roho yako itaridhika?mimi nadhani tatizo lako kubwa ni ile inferiority complex ambayo siku laumu sana...maana hata kama mimi ningekua kwenye nafasi yako enzi za uchumba wenu ningeumia sana..it would hurt my pride...lakini dada angu kuna njia nyingi ambazo umuhimu wako atakuja ku utambua..tu taking into account mistakes are likely to happen on your husbands side(negative habits of married men)...and thats when he will have to feel your revenge vibrations....at that time atakua at your mercy kiasi kwamba it will be up to you.....kimsingi Vannela let life unfold revenge will come naturally...ila wewe usiwe causative agent..i guarentee..YOU WILL HAVE SWEET SUPER REVENGE...
 
Mwanamke pambaf huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…