Marriage for revenge

Marriage for revenge

wala sio wachonganishi,siku moja one of my friends alimuweka kwenye loud speaker nikamsikiliza bila yeye kujua.acha ndugu yangu aliropoka maneno sikuamini

Lakini pamoja na kukusema vibaya, mbona kakuoa? Sahau hayo, kama anakupenda sasa endelea naye mpende na badilika, acha roho ya visasi! Nadhani mwanamke mwenye visasi si wife material!
 
Vannele,uliolewa ukiwa na umri gani?Na sasa umri wako ni upi?Umesema unampenda au umemzoea?
Kisasi cha nini kwa mpenzi wako?Kaa chini utafakari mawazo yako,la sivyo utaja jishangaa na kujilaumu bure.Je wengine wakikuonesha makovu ya mapenzi hutakimbia wewe?Tunza ndoa yako!

niliolewa mwaka jana tu, na sasa nina miaka 25.huwa najitahidi kumove one but nikikumbuka tu roho inauma we acha tu kakaangu.Siwezi kuelezea yote ila niliumizwa vya kutosha
 
vannele u never know,the secret revenge plan u hav may end up hurting u twice than your expectations,the best way of dealing wit marriage doldrums is not running away but rather solving them.

I am trying to overcome this situation bu it seems like hii roho imenitawala
 
^^
Endelea mbele mama!
Lipiza mabaya yote uliyotendewa,
Lipiza kila nukta ya tusi,maumivu,na kejeli ulizopata,
Hakuna chozi la bure,
endelea tu ikiwezekana umtese au umuachie ulemavu wa maisha,
Nakusihi sana lipiza maana hakuna jema alilokutendea,
Wala usihofu kufanya hivyo, binadamu tuna karama ya ukatili,
Kautende upate ridhiko la nafsi yako,
Ukajawe furaha na amani mpya,
..
Usishangae kwa nini nasema hivi leo,
Ni kuwa uzao wa Delira upo na unadumu,
Wapo wanawake wanatumwa kwa mtu wamuangamize kwa malipo ya fedha hata kama hajamkosea,
Vipi itakuwaje kwako ambae umetendwa?
Umeumizwa? Umejitoa kuolewa si kujenga ndoa bali kubeba maudhi unayotaka kufikia hilo ulilokusudia.
..
Nimenawa mikono
Ombi langu siku ukimaliza kutenda jema ulilopanga uje utuambie ili nasi tufaidike kuwajua wanawake zaidi,na panapowezekana tuepuke kuudhi waliowetu maana wahenga walisema 'Mke ni moto ulalao kitandani na mume'
^^
 
nilijishusha kwasababu nyingi,kwanza nilimpenda sana pili nijiondolee aibu alizonisababishia na tatu nilipize either kwa kumsababishia aibu na kumuonjesha ladha ya maumivu ya mapenzi

Kwahiyo baada ya kisasi upo tayari kumkosa? Pengine uko tayari kuvunja ndoa yenu?
 
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]kuna vitu vingine wanadamu huwa tunajitafutia presha! unajua Vannele, mpaka huyo jamaa kuamua kukuoa wewe... alishajuta tu!! msamehe bure kwa upumbavu wake bana! kumbuka mafunzo ya kwenye vitabu vitakatifu.. unamkumbuka yule jamaa aliyemtukana mfalme? mkewe si ndie aliyeenda kumuokoa ili asinyongwe?.. si unakumbuka Vannele?
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha upendo upo katika ndoa yako Vannele, and not otherwise, ukiwa na roho ya ulipizaji kisasi, it wont wont help even a single point of a thing! hebu kwanza jiulize! ''mimi Vannele, nitalipiza mangapi kwa mume wangu''?
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
mara leo kalewa, mara kesho kanichapa kibao, mara sijui kachelewa kurudi home, mara sijui kafanya nini..! kuna mengi hapa ya kuongelea besti!
just let it go!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

nimekusikia brother
 
Last edited by a moderator:
Wakati wewe unapanga kufanya "revenge", ujue ile dawa uliyoipata kwa mganga inazidi kuisha nguvu...Sasa ngoja arudi katika akili yake ya kawaida, uone Segere lake...He did it wrong and u r also planning to do it wrong. Remember two wrongs don't make a right!

Muombe Mungu akuepushe na huo ushetani...
 
Vannele kisasi ni kwa walio dhaifu ,wewe Vannele wetu si dhaifu.
What i kno Vannele you can win over those resentment and vengeance.
Kukiri kisasi chako ni hatua moja ya muhimu kuelekea kukishinda kisasi chako.
Zungumza na mwenzio you can make it Vannele,please Vannele doing revenge wont u any good,will have impact on youself!
You can win over vangeance ,najua tu kisasi kizuri zaidi ni kumpenda zaidi yule aliyekukosea:

i will try
 
Mmmh....revenge inayotangazwa JF!
 
Mtafutie ile dawa ya masai ya kusafisha tumbo umpe as breakfast af aende kazini ikafanye kazi mumo kwa mumo!teh
pili mwekee pilipili kwenye dawa ya mswaki af utafute sababu yoyote as to why pepper on the tpaste...
tatu mkiwa mnafanya jifanye mzuka umepanda umng'ate au umzabe vibao..
:decision::decision::decision:
sounds funny right?better and harmless heheheh

Hahahaaaa,so funny best
 
----kn AssH.Ole...najua unataka kumuua mmeo...full blood...I hate U
 
Mtoa mada,maybe tuelezee zaidi kdogo about your story isije ikawa tyunaku'judge tuu hapa
WHAT HAPPENED,EM TEMA NYONGO YAKO YOOOOTE HAPA,tujue vizuri,na tujoifunze perhaps

i went through a lot dada,naogopa kuanika kila kitu hapa pengine yeye ama rafiki zake ni members humu akaniwahi,ila tu ujue kwamba hakuna mtu asiyependa kuwa na familia bora na yenye amani.mimi si chizi nikafikiria kutenda,ujue yaliyonikuta ni makubwa
 
Kama una hulka ya kuwanyanyasa na kuwafanyia vitimbi vya ajabu na udhalilishaji na kucheza na hisia zao kama mume wa huyo dada mtoa thread, basa hata mimi nakushauri, NEVER TRUST A WOMAN!! Ila kama huna hizo tabia mbofu mbofu, JUST BE AT PEACE WITH THEM.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

umenena vyema kabisa
 
Tatizo si tatizo bali kutatua tatizo kunaweza kuibua tatizo. Kuwa makin na uwazacho na malipo yake yatakuwaje
 
Chondechonde mama! Hata ukilipiza kisasi sio dawa, najua unadukuduku moyoni na litakusumbua hata hutafurahia maisha yenu ya ndoa!
Tafuta siku nzuri muende vacation japo nje ya mji mkakae huko mueleze kinacho kuuma na ulichonacho moyoni myamalize muanze upya ufurahie ndoa maana ndoa ni Zawadi toka kwa muumba, muumba anaweza kukupa adhabu ambayo utajuta maisha yako yote!
Fanyeni reconciliation ili ufurahie hilo tunda la ndoa! Haya yapo maana alikuwa anachagua moja ktk maelfu na ww umeshinda!

ntaifanyia kazi
 
Hebu tulia halafu tafakari zaidi, hisia zisiongoze maamuzi yako bali fikra. Toka nje ya box halafu jitazame (jitathmini) upya. Je ni sahihi kufanya hilo unalotaka kulifanya? Lengo la kulipa kisasi ni nini? Unadhani utapata furaha ya dhati baada ya hicho kisasi? Kwanini umuadhibu leo kwa kosa alilolifanya mwaka arobaini na saba? Na huenda hakumbuki kutenda kosa hilo. Kwanini umtese mumeo ambaye umekiri kuwa unampenda? Kwanini unataka kuirudisha historia mbaya? Kama ni muhimu sana kulipa kisasi basi leo mpe penzi motomoto ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na kati kisha mwambie hiyo ilikuwa ni adhabu kwa yote mabaya aliyofanya zamani.
 
Nmeisoma hii post nkaogopa,ila mwsho nmepata faraja kwamba umekubali kujarbu kusahau na kusonga mbele,I'm sure furaha yako ulioikosa kwa mda mrefu itarejea tena.Hio itaprove kwa wale walikuwa wanadhan hutaolewa naye kwamba wao ndo waliokuwa wrong na sasa una happy marriage,alafu mpe na zawad ya mtoto,teh teh teh teh.
 
Hebu tulia halafu tafakari zaidi, hisia zisiongoze maamuzi yako bali fikra. Toka nje ya box halafu jitazame (jitathmini) upya. Je ni sahihi kufanya hilo unalotaka kulifanya? Lengo la kulipa kisasi ni nini? Unadhani utapata furaha ya dhati baada ya hicho kisasi? Kwanini umuadhibu leo kwa kosa alilolifanya mwaka arobaini na saba? Na huenda hakumbuki kutenda kosa hilo. Kwanini umtese mumeo ambaye umekiri kuwa unampenda? Kwanini unataka kuirudisha historia mbaya? Kama ni muhimu sana kulipa kisasi basi leo mpe penzi motomoto ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na kati kisha mwambie hiyo ilikuwa ni adhabu kwa yote mabaya aliyofanya zamani.

umenigusa rafiki
 
Nmeisoma hii post nkaogopa,ila mwsho nmepata faraja kwamba umekubali kujarbu kusahau na kusonga mbele,I'm sure furaha yako ulioikosa kwa mda mrefu itarejea tena.Hio itaprove kwa wale walikuwa wanadhan hutaolewa naye kwamba wao ndo waliokuwa wrong na sasa una happy marriage,alafu mpe na zawad ya mtoto,teh teh teh teh.

napenda kuifurahia ndoa yangu.Lakini kumbukumbu zinanitesa
 
Back
Top Bottom