Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.
Binti, hakika hujui utamanilo kufanya....Mungu akuepushie na vishawishi hivi vibaya
I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.
Nadhani hukutendwa vizuri na kama ulitendwa kiasi cha kumuwazia mabaya usingekubali kuolewa nae....ur too much in love na may be huna washauri wazuri cuz kama walidhubutu kuweka loud speaker ukamsikia unadhani wao hawaweki akakusikiliza? Just grow up and dont try to do stupid things in the name of fake revenge! SWEET REVENGE IS U TO STAY REAL AND BE A GUD WIFE AND MOTHER.....i went through a lot dada,naogopa kuanika kila kitu hapa pengine yeye ama rafiki zake ni members humu akaniwahi,ila tu ujue kwamba hakuna mtu asiyependa kuwa na familia bora na yenye amani.mimi si chizi nikafikiria kutenda,ujue yaliyonikuta ni makubwa
Najua kuwa ninachokikusudia
sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki
kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii
ndoa nilijisacrifice namna gani...
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
believe in god , hilo ndiyo suluhisho la mwisho acha ubinadamu ukae pembeni na wewe muweke mungu katika mambo yote na ndiyo maana hadi sasa ukampata , believe it was god's plan kuwa naye mpaka sasa otherwise utafeli na kulia usijue cha kufanya .Wala sitokei machame.Na sifikirii kuua hata kidogo but I want to do something
^^
Endelea mbele mama!
Lipiza mabaya yote uliyotendewa,
Lipiza kila nukta ya tusi,maumivu,na kejeli ulizopata,
Hakuna chozi la bure,
endelea tu ikiwezekana umtese au umuachie ulemavu wa maisha,
Nakusihi sana lipiza maana hakuna jema alilokutendea,
Wala usihofu kufanya hivyo, binadamu tuna karama ya ukatili,
Kautende upate ridhiko la nafsi yako,
Ukajawe furaha na amani mpya,
..
Usishangae kwa nini nasema hivi leo,
Ni kuwa uzao wa Delira upo na unadumu,
Wapo wanawake wanatumwa kwa mtu wamuangamize kwa malipo ya fedha hata
kama hajamkosea,
Vipi itakuwaje kwako ambae umetendwa?
Umeumizwa? Umejitoa kuolewa si kujenga ndoa bali kubeba maudhi unayotaka
kufikia hilo ulilokusudia.
..
Nimenawa mikono
Ombi langu siku ukimaliza kutenda jema ulilopanga uje utuambie ili nasi
tufaidike kuwajua wanawake zaidi,na panapowezekana tuepuke kuudhi
waliowetu maana wahenga walisema 'Mke ni moto ulalao kitandani na mume'
^^
^^mmmh! umebarikiwa moyo unaosamehe
umenigusa rafiki
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Mtafutie ile dawa ya masai ya kusafisha tumbo umpe as breakfast af aende kazini ikafanye kazi mumo kwa mumo!teh
pili mwekee pilipili kwenye dawa ya mswaki af utafute sababu yoyote as to why pepper on the tpaste...
tatu mkiwa mnafanya jifanye mzuka umepanda umng'ate au umzabe vibao..
:decision::decision::decision:
sounds funny right?better and harmless heheheh
wala sio wachonganishi,siku moja one of my friends alimuweka kwenye loud speaker nikamsikiliza bila yeye kujua.acha ndugu yangu aliropoka maneno sikuamini