Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
^^
Katika kufanya Research kuna dhana inaitwa sample and sampling, ambapo watu wachache wanaweza kutumika ku-represent majority reality, ikiwa njia hiyo ni scientific basi taarifa zinazopatikana husaidia kupata ukweli, mf. Rasimu ya Katiba mpya imechagua maoni ya watu zaidi ya laki tatu kuwakilisha maoni ya watanzania zaidi ya milioni 30,
Back to topic.
Nimemsihi atupe mrejesho hasa kwangu mimi mwenye kiu ya kujifunza, majibu yake yatanisaidia sana, na kwake yeye tu hatoshi, wapo waliomtangulia ambao ktk jibu nililompa mwallu mwanzo, mmoja wake alimuua kwa sumu rafiki yangu,
Kuhusu kujifunza kupitia comments za wengne ni wazo jema ila nimekuwa interested na huyu aliyeingia ktk ndoa kwa nia ya kulipa kisasi.
^^
Sampling yako ni more than purposive, badilisha basi lengo la research yako maana kuwajua wanawake unahitaji random au stratified random sample. Hapo ndipo ninaposhangaa biases zako, na ndio maana kwenye uzi mwingine wakati namjibu watu8 nilisema people decide to hear na naongeza kuona what they choose to hear or see.
Last edited by a moderator: