Marriage for revenge

Marriage for revenge

Kuna mdau alishawahi kusema humu ndani kua "Usimuamini mwanamke hata kama kafa", nikamuona mjinga flani.
Ila kumbe kila mtu hua anasababu ya kila neno linalomtoka!!.
Aseeh!.
 
Najua kuwa ninachokikusudia sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii ndoa nilijisacrifice namna gani...

Kwanini ukubali kuumia kwa kiasi hicho...!???? Mna watoto/mtoto? Umewaza mustakabali wao?? Ni ngumu kwa hali uliyonayo sasa hivi kushirikisha akili yako kwani ni hisia pekee ndo zilizoujaza moyo wako...kama unapenda kuishi kwa amani let it go of the past kwani umejiweka ndani ya gereza lako mwenyewe. Na amini nakuambia hiyo revenge haitamuumiza kiasi udhaniacho, ukibisha you just wait and see..!

Nakuombea hiyo hatred ikutoke uwe huru ufurahie maisha ya hapa duniani mamito..!
 
Back
Top Bottom