Kwa nini umechagua kuwajua wanawake kupitia mleta mada? Na sio wachangiaji wengine kama Kongosho au hata mama yako aliyekuleta duniani, akakunyonyesha akikusafisha maavi pale ulipojinyea au matapishi ulipocheua?
Huwezi wajua wanawake kamwe, waweza mjua kwa kiwango kidogo mwanamke aliye karibu nawe so quit generalizing inaudhi sana.
but I want to do something
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Mkomeshe....yeye si alikuona wewe sio wife material....lol
Then utupe mrejesho...
Ila tungependa kujua utamkomesha kwa lipi hasa....
bado naheshimu mawazo ya mzee wangu " better invest on stones than invest on a woman"
naomba nikutukane
^^
Tatizo la kutoa comment kwa mtu ambaye tayari umejengea negativity (biased with)
Hivi neno "wapo" ni general? Ni wapi nimetaja nawajua wanawake?
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu awezae kukaa chini na kusema amemjua mwanamke,,hapo ni sawa na kujua rangi halisi ya kinyonga.
^^
ngoja nikuchagulie tusi " i love you"
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
^^
Tatizo la kutoa comment kwa mtu ambaye tayari umejengea negativity (biased with)
Hivi neno "wapo" ni general? Ni wapi nimetaja nawajua wanawake?
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu awezae kukaa chini na kusema amemjua mwanamke,,hapo ni sawa na kujua rangi halisi ya kinyonga.
^^
You are right, ni tatizo kucomment au kuwa objective kwa assumptions ulizozizoea.
Umemwambia mtoa mada akifanikiwa alete feedback ili ikusaidieni "kuwajua wanawake zaidi"; swali langu ni kwanini umeamua maisha ya mleta mada ndio yawe kiwakilishi cha kuwajua WANAWAKE (general term) zaidi? Na sio kumjua mtoa mada? Au kwanini posts (maisha) za wachangiaji wengine zisiwe msaada wa kuwajua 'wanawake'?