charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,000
I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.
dah aisee ww!!aya go on....!
I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.
Duh! Hapa kidume mwenzangu (Mume wa Vannele) jipange tu, kama vipi anza kujisogeza karibu kwa zilipendwa wako au nyumba ndogo mapeema. Huyu dada inaonekana amedhamiria kweli kweli anaweza kukufyeka nyeti zako usiku huyu. Amenitisha sana nahisi hata suala langu la kuoa mwaka huu itabidi nilisogeze mbele duh!
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Sawa ndugu zangu,nimewasikia na nimewaelewa vizuri sana na pia nimetafakari kiundani,siku ya leo ilikuwa ngumu sana...Nawaahidi kubadilika,naachana na visasi na kuufunika huo ukurasa kabisa...Mimi sasa ni mtu mpya...Inawezekana Mungu aliamua kunipitisha huko ili nikomae...Nitaitunza ndoa yangu na kamwe sitotetereka.,
Hatujapata mtoto kwani najizuia
^^
Endelea mbele mama!
Lipiza mabaya yote uliyotendewa,
Lipiza kila nukta ya tusi,maumivu,na kejeli ulizopata,
Hakuna chozi la bure,
endelea tu ikiwezekana umtese au umuachie ulemavu wa maisha,
Nakusihi sana lipiza maana hakuna jema alilokutendea,
Wala usihofu kufanya hivyo, binadamu tuna karama ya ukatili,
Kautende upate ridhiko la nafsi yako,
Ukajawe furaha na amani mpya,
..
Usishangae kwa nini nasema hivi leo,
Ni kuwa uzao wa Delira upo na unadumu,
Wapo wanawake wanatumwa kwa mtu wamuangamize kwa malipo ya fedha hata kama hajamkosea,
Vipi itakuwaje kwako ambae umetendwa?
Umeumizwa? Umejitoa kuolewa si kujenga ndoa bali kubeba maudhi unayotaka kufikia hilo ulilokusudia.
..
Nimenawa mikono
Ombi langu siku ukimaliza kutenda jema ulilopanga uje utuambie ili nasi tufaidike kuwajua wanawake zaidi,na panapowezekana tuepuke kuudhi waliowetu maana wahenga walisema 'Mke ni moto ulalao kitandani na mume'
^^
Sawa ndugu zangu,nimewasikia na nimewaelewa vizuri sana na pia nimetafakari kiundani,siku ya leo ilikuwa ngumu sana...Nawaahidi kubadilika,naachana na visasi na kuufunika huo ukurasa kabisa...Mimi sasa ni mtu mpya...Inawezekana Mungu aliamua kunipitisha huko ili nikomae...Nitaitunza ndoa yangu na kamwe sitotetereka.,
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
huyo inaonekana kaolewa na huyo mwanaume kwa kumuendea kwa waganga na si mwanaume kupenda.mkimsoma tu akili yake kwan laiti mume angeamua kwa akili zake kumuoa yangeshaisha ila huyu dada kaforce marriage ili kuonyesha kaolewa kwan inaonekana alikuwa anajisifia sana kwa rafiki zake.
Na ukute kwenye mahangaiko ya kufanya aolewe kwa lazima kalala hadi na mizimu mbaya zaidi anajua kuna muda litachuja.hana lolote zaidi ya kutaka kumfilisi kabla halijachuja.Tamaa mbele mauti nyuma
Kwa nini umechagua kuwajua wanawake kupitia mleta mada? Na sio wachangiaji wengine kama Kongosho au hata mama yako aliyekuleta duniani, akakunyonyesha akikusafisha maavi pale ulipojinyea au matapishi ulipocheua?
Huwezi wajua wanawake kamwe, waweza mjua kwa kiwango kidogo mwanamke aliye karibu nawe so quit generalizing inaudhi sana.
Vannele,je utakapo fanya hicho kitu kilicho kusudia,roho yako itaridhika?mimi nadhani tatizo lako kubwa ni ile inferiority complex ambayo siku laumu sana...maana hata kama mimi ningekua kwenye nafasi yako enzi za uchumba wenu ningeumia sana..it would hurt my pride...lakini dada angu kuna njia nyingi ambazo umuhimu wako atakuja ku utambua..tu taking into account mistakes are likely to happen on your husbands side(negative habits of married men)...and thats when he will have to feel your revenge vibrations....at that time atakua at your mercy kiasi kwamba it will be up to you.....kimsingi Vannela let life unfold revenge will come naturally...ila wewe usiwe causative agent..i guarentee..YOU WILL HAVE SWEET SUPER REVENGE...Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.