Marriage for revenge

Mie nakushauri tumia ushauli vizuri uliopewa samehe 7x70 , mpe adui yako chakula ale kisasi ni changu mimi (Mungu) naye atasikia aibu kama amewekewa kaa la moto kichwa mwake. Ndivyo Mungu anavyotuamuru .
 
Hahaha i had a bad day mpaka nliposoma hi comment...haha so funny
 
Forgiveness is for yourself, lady!. Jamaa hana hata habari ya chuki uliyonayo, ana amani na furaha wewe unakufa na hasira. Life is too short. Shimo unalochimba utatumbukia mwenyewe, Karma is a bi*ch!
 
Yaan we hao rafiki zako ndo unawaamini sana?hujawahi sikia rarfiki kavunja ndoa ya mwenzie? huyo mume asingetaka kukuoa hata ungefanya nini asingekuoa.kama kuna vitu vilikukera ongea naye ajue na atakuomba msamaha na maisha yataendelea nawe umekiri unampenda ,,unawezaje kuwaza kumuumiza mtu unayempenda?
 
Wala sitokei machame.Na sifikirii kuua hata kidogo but I want to do something

Usihukumu wanawake wote...Huu ni msimamo wangu binafsi.

kuumia lazima aumie...Wanaume mkome kuchezea hisia za wanawake.

I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.



Huna matatizo makubwa na unahitaji msaada wa kiroho na kisailojia.
 
mh haga hapanifai...kwanini ukubal kuoana nae?me always nko against na kufanya kitu watu waone am a winner!
Na unakaa nae ndan vzur tu,mnapanga mipango vzur na mnalala kitanda kimoja?dah cpat picha nahis hauna furaha kabsa
 
Duh! Hapa kidume mwenzangu (Mume wa Vannele) jipange tu, kama vipi anza kujisogeza karibu kwa zilipendwa wako au nyumba ndogo mapeema. Huyu dada inaonekana amedhamiria kweli kweli anaweza kukufyeka nyeti zako usiku huyu. Amenitisha sana nahisi hata suala langu la kuoa mwaka huu itabidi nilisogeze mbele duh!
 

Weak people revenge strong ones forgive and forget! You are very weak my dear....
 
kuna ubaya gani ukamfanyia mema ndani ya ndoa kisha aje kuconfess kwamba alitaka afanya maamuzi yasiyosahihi kwa kukuacha?
 
ibilisi kazini. seek revenge kwa unaempenda?
 
daaaah! namuonea huruma huyu jamaa maana revenge ambayo haivumiliki kwa wanaume ss ni kut..mbewa. nahisi hii itakuwa ivyo. na kwa sababu ulikwenda tu kwa kisasi najua umejiandaa kuachwa.
 
Mimi nashauri hachana na kisasi Mungu atakulipia tu hayo ni mapito na huwezi jua hyo ndie uliepangia na ai kwamba umefrce kuolewa nawe ni mipango ya Mungu.Hacha visasi
 
huyo inaonekana kaolewa na huyo mwanaume kwa kumuendea kwa waganga na si mwanaume kupenda.mkimsoma tu akili yake kwan laiti mume angeamua kwa akili zake kumuoa yangeshaisha ila huyu dada kaforce marriage ili kuonyesha kaolewa kwan inaonekana alikuwa anajisifia sana kwa rafiki zake.
Na ukute kwenye mahangaiko ya kufanya aolewe kwa lazima kalala hadi na mizimu mbaya zaidi anajua kuna muda litachuja.hana lolote zaidi ya kutaka kumfilisi kabla halijachuja.Tamaa mbele mauti nyuma
 
Wewe ndiye mwenye makosa walipataje number ya
shem wao?kwenye mahusiano hatufanyi mambo kwa kufuata yale unayoyasikia.
 
Ivi kwa thread hii ya huyu dada, nyie wanaume mmejifunza nini?
 
Haya fanya hiyo unayoita revenge na ulete mrejesho hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…