Mario Puzo v/ James hadley chase

Mario Puzo v/ James hadley chase

Wakuu mmeongea nimewapenda kwani navutiwa sana na novel nilianza na James hardley Chase ya kwanza 1973 na kufika 1977 nilikuwa nimepitia zote zilizokuwa madukani(around 50) then, nikawasoma na kina Nick Carter, Mickey Spillane, Perry mason na wengine wa ngazi hizo 'nilipokua' nikahamia kwa kina Mario Puzo, Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey, Harold Robins, Fredrick Forsyth etc. Kwa hivyo nilichojifunza kwa kuanzia J Hardley ni mzuri sana, easy flow na interesting plots- i still read them todate kwa marudio. Mario kidogo anafaa apambanishwe na kina Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey.

ama kweli kusoma novel ni raha tupu, Jana nilimaliza kurudia one of my favorite James hardley - This way for a shroud - Vito frerrari(pint size)
Kwa wanaotaka kukuza kiingereza this is a sure way.

Mkuu, umetoka mbali .. Lol!!

Nimependa growth cave yako ya usomaji ....

Kwa kina na mapana ya undani wa kuyaelewa matukio ya maisha nk ni dhahiri "Mario Kidogo anafaa apambanishwe na kina Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey."

... Nick Carter, Perry mason, Athur hailey ... Hah hah ... long time memory!!In my opinion... hivi vingweza kushindanishwa na Chase!!

Fredrick Forsyth

Mkuu hapa ... The day of the Jakal, The Odessa file, The Dogs of War .... http://www.amazon.com/Frederick-Forsyth/e/B000APF22Q
 
tofauti ya chase na wenzio ipo njenje we kwa mfano ona title 'i'll burry my dead' yani hadi udenda unakutoka bt puzo mara nyingi alitumia title nyepesi sana

Dah umenikumbusha hii kitu ya MARIO PUZO ya Omerta.....the Sicilian code of silence!
 
Kuna swali moja humu hatujajiuliza
watoto wa siku hizi hawasomi kabisa vitabu
wanakosa uhondo kwa kweli

Kwa kweli sidhani ...! Kwa sababu nafikiri kuna a lot kwenye mitandao ...

No sidhani wana huo muda kabisa ...

Unajua nini nawaangalia tu ile attitude wanayokuwa nayo wanapojiandaa kwa mitihani ... na how i used to do ni kichekesho ..mwalimu wake ananishauri anasema ... wala usipoteze muda kumlinganishia na wakati wako, ati hizi ni nyakati tofauti ..!!
 
The Godfather is a relic, a masterpiece, something you can read over and over and still get excited...
 
Kuna swali moja humu hatujajiuliza
watoto wa siku hizi hawasomi kabisa vitabu
wanakosa uhondo kwa kweli

Haya ni maneo ya kweli, mimi wanangu tuna deal, ukimaliza novel moja ukatusimulia you have 5,000/= wanazipiga chase kwa kwenda mbele kamekuwa kamradi kwao, and they enjoy telling the story
 
Mkuu, umetoka mbali .. Lol!!

Nimependa growth cave yako ya usomaji ....

Kwa kina na mapana ya undani wa kuyaelewa matukio ya maisha nk ni dhahiri "Mario Kidogo anafaa apambanishwe na kina Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey."

... Nick Carter, Perry mason, Athur hailey ... Hah hah ... long time memory!!In my opinion... hivi vingweza kushindanishwa na Chase!!

Fredrick Forsyth

Mkuu hapa ... The day of the Jakal, The Odessa file, The Dogs of War .... Amazon.com: Frederick Forsyth: Books, Biography, Blog, Audiobooks, Kindle

Mkuu acha tu kwa Odessa file na day of the jackal Fredrick F ni balaa, pembeni anakuja Sidney na DOOMSDAY na star waker -commander Bellamy.
Strange, some characters na hata phrases i could remember them decades later - can you forget for Vitos words(this way for a shroud) when given the assignment to eliminate the witnesses "It is not impossible but difficult and i believe iam the only one in the world who can do it"
 
You want a real book with real life experiences of real life suckers and sucked both books are Great. You want to learn from the book and apply that knowledge Mario Puzo is the man.

To me Puzo's Books is life where as Chase is just fun out of reading books. If you read too much Chase you can Predict his books and be right, but you can rarely be right with Puzo... A master of suspense... A Great Story teller.

Wakuu nashukuru kwa uzi huu. nimesoma Novel nyingi lakini za kusisimua ni za Mario Puzzo, Fredrick Forth na Sheldon Sidney. Kwa kweli wote wapo juu ila Mario Puzo anakupa kitu cha kukuza ubongo wako katika dunia ya leo ambayo fomula yake ni “Survival is for the fittest”.
Anakupa mbinu za kufanya kazi behind the enemy line – hapa siongelei kuwa mhalifu bali kujipanga katika kila kitu na jinsi ya kuipanga familia yako. Katika Godfather kuna siku akina Selazo (ama kitu kama hicho) walikuja na ombi la kutaka familia yake ishiriki ktk biashara ya madawa ya kulevya. Kosa moja alilofanya mwanae Santino nusura limgaharimu Don maisha yake. Anatoa mafunzo mengi sana.
Vitabu vyake uwa navirudia kila mara ingawa sasa jamaa aliazima kaingia navyo mitini.

Hawa wengine wawili nao wazuri FF katika the DOGS OF WARS alieleza jinsi wazungu walivyo wabaya, nimesoma vingine pia kama Days of the Jackal, The fist of God, the Negotiator na kingine nimeshau title yake, Jamaa ni mzuri ni mzuri sana.

Upande wa Sheldon naye ni mzuri nimesoma vitabu vyake vingi yupo juu kweli kweli (If tomorrow Comes, the Doomsday conspiracy, wind mills of God, Stars shine down, Naked Face, Dark side of Midnight, a stranger in the mirror n.k) – Hivi nilikuwa naviazima pale British Council pamoja na vya FF. Nasikia siku hizi wameacha wameanza kufundisha kiingereza. Hii ni mbaya kwa vijana wa Sekondary si rahisi kuvinunua hivi.

Kwa Ujumla naweza sema wa kwanza Mario Puzzo, FF na SS wanashika nafasi ya pili kwa pamoja. Chase naye nimesoma Novel zake lakini sikuzipenda sana too fiction hata hivyo kajitahidi ingawa huwa hawatendei haki wahusika wake wakuu na pia wale wenye tabia nzuri sometimes huwa wanaishia pabaya katika novel zake
 
By the way kwenye not knowing about the end nadhani Sydney Sheldon na Agatha Christie au Erie Stanley Gardner they do a better job.., sometimes hujui ni nini kimetokea mpaka ukimaliza page ya mwisho.. (always the one who you thought was impossible is always the culprit)


Siku hio naingia kwenye hii thread I had a long day and my urge ikanisukuma nisome threads za JF only to note ya kwanza kunivuta ni heading ya hii. Namshukuru Parrie for this useful thread. Genuienely sasa hivi ndio nimesoma comments ambazo ni za mwanzo na nilikuwa sijasoma. What I can say is....

Upande wa Ndahani kama kweli hujawahi soma kabisa JHC basi una bahati aisee... You have a lot in store ya kufurahia utunzi wa one of the BEST writters. Hilo naamini kwa wote waliopita hapa na hasa wale walio msoma Puzo watakubaliana na mimi kuwa kama you have enjoyed Puzo you will definately enjoy Chase.

The Boss for many reasons not one nikimsoma Puzo na nikifikiria writter huyo na vitabu vyake huwa sisahau kabisa kuwa you are among watu wanao mkubali. After all ninasoma Puzo siku zote but I never new the qoute "sum of all wisdom" till you mentioned it to me almost a year ago (time flies eeh? lol). Na pia hapo hapo lazim nikumbuke Azimio Jipya na ndio mana nilimtag kwa njia ya kum mention. AJ Pal hapa maliza kiu yako yote... hahaha!

Sun wu, nimebahatika kumsoma Harold Robbins... Splendid. Huwa sichoki kurudia vitabu vyake, na naungana na wewe ni one of the Great writers. Huwa natafuta sana vitabu vyake sababu sijasoma vingi na ni mwandishi wa kale vitabu vya adimu sana. So far vitabu vyake nimesoma ni kama 6 tu. I wish I could have access to another of his book. I know I made a promise to you kuwa nitamsoma Sheldon na nitowe my opinions ya uandishi wake ila unfortunately I have not fulfilled hio promise. Hata kimoja bado sina hivo hilo swala ni still pending...
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha,samahani kwa hilo kwakweli,sitorudia,ndio nimesoma the godfather,the sicilian na dark arena


Parrie nakushukuru sana kwa uitikio wako... niambie what it the best part in the God father kwa upande wako? The dark arena sijasoma ila Sicilian tayari pia.
 
Chase is good lakini kilichoniboa kwenye novel zake ni endings. His pieces kweli ni of top class and the thrill one gets while reading em is un imaginable lakini happy ending is something i have not seen in his novels so far. Zote zinaisha sadly and the good guy is left for dead.

Good Guy why do you think ni one of the reasons that these writers are considered Great? Mie naona it lies katika uhalisia wao. Hawana kupamba, hawa waandishi wote pamoja na akina Puzo, wanaonesha mwanadamu jinsi alivyo na that is no body is perfect. Wakimsifia mtu awe wakike ama wakiume watakuonesha flaws, watakuonesha weakness na watakuonesha strength.

Ukiangalia sana heroes/heroines wa Chase ni wale wa maisha ya kati na kawaida. Wale ambao ndio wengi katika jamii... Kuwa wana hope ya kutoka na sometimes they are ready to do anything ili watoke na wawe kama wale wakubwa wajuu wenye pesa zao. I like this about these guys... And I think ni moja ya eneo mhimu ambayo huwafanya wawe great.
 
Last edited by a moderator:
Indeed the thread brought back my old good days za chase and this other great Dude ... enzi hizo no Internet, no face book, hata movie ... ujichimbie kiukweli ... the only solution? Unakachukua Ka chase kamoja weekend ... you go al the way through ... jumatatu watakukoma ... unawaelezea hadi ... Lol ...wanakuona wewe sio wa kawida!!

Hah hah ..Remember we talked a lot of God father before ... ngoja kwanza ni some posts!!


Akili zilikuwa so creative then... hahaha!
 
Kwa wale wasomaji wa novel hasahasa "crime fictions" hayo majina hayatakua mageni kwenu,wote wawili ni marehemu kwa sasa
baadhi ya kazi za puzo ni 'the godfather','the dark arena'the sicilian etc
baadhi ya kazi za chase ni 'no orchids for miss blandish','i'll get you for this',safer death etc.
Je,kwa mtazamo wako kazi za nani ni nzuri zaidi na ni mwandishi yupi alikua mzuri zaidi(the best)?

Puzo's story was knowledgeable which based on certain belief ,ukifuatilia utakubaliana kuwa alikuwa ana base zaidi kwenye kusearch from various sources ili kutengeneza story zake . Naweza sema "he was a Researcher",most of his great work based on observation and nonfiction

James Hadley Chase is one of the best known thriller writers of all time

So nashindwa kuwalinganishwa coz kila mmoja ana utamu wake based on how,where and when ur reading their storiez kama umewasoma wote
 
JHC ni nouma wakuu mi nimewahi kupitia vitabu vyake kama "A lotus for miss quon" In a vain shadow,Hit Them Where It Hurts, Not My Thing na vingine vingi huyu ni noma yaani acha kabisa
 
Wakuu mmeongea nimewapenda kwani navutiwa sana na novel nilianza na James hardley Chase ya kwanza 1973 na kufika 1977 nilikuwa nimepitia zote zilizokuwa madukani(around 50) then, nikawasoma na kina Nick Carter, Mickey Spillane, Perry mason na wengine wa ngazi hizo 'nilipokua' nikahamia kwa kina Mario Puzo, Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey, Harold Robins, Fredrick Forsyth etc. Kwa hivyo nilichojifunza kwa kuanzia J Hardley ni mzuri sana, easy flow na interesting plots- i still read them todate kwa marudio. Mario kidogo anafaa apambanishwe na kina Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey.

ama kweli kusoma novel ni raha tupu, Jana nilimaliza kurudia one of my favorite James hardley - This way for a shroud - Vito frerrari(pint size)
Kwa wanaotaka kukuza kiingereza this is a sure way.

umenikumbusha mbaali sana.nilikua niko addicted sana na novel.
Nilikua naziagiza from kenya,NAKUMAT SUPERMARKET.
Hivi kwa bongo unazipatia wapi novel?
 
Mkuu, umetoka mbali .. Lol!!

Nimependa growth cave yako ya usomaji ....

Kwa kina na mapana ya undani wa kuyaelewa matukio ya maisha nk ni dhahiri "Mario Kidogo anafaa apambanishwe na kina Ludlum, Sidney, John Grisham, Athur Hailey."

... Nick Carter, Perry mason, Athur hailey ... Hah hah ... long time memory!!In my opinion... hivi vingweza kushindanishwa na Chase!!

Fredrick Forsyth

Mkuu hapa ... The day of the Jakal, The Odessa file, The Dogs of War .... Amazon.com: Frederick Forsyth: Books, Biography, Blog, Audiobooks, Kindle

Mbona mmesahau MILLS & BOONS?...Wengi tulijifunzia ''mapenzi'' mle
 
Siku hio naingia kwenye hii thread I had a long day and my urge ikanisukuma nisome threads za JF only to note ya kwanza kunivuta ni heading ya hii. Namshukuru Parrie for this useful thread. Genuienely sasa hivi ndio nimesoma comments ambazo ni za mwanzo na nilikuwa sijasoma. What I can say is....

Upande wa Ndahani kama kweli hujawahi soma kabisa JHC basi una bahati aisee... You have a lot in store ya kufurahia utunzi wa one of the BEST writters. Hilo naamini kwa wote waliopita hapa na hasa wale walio msoma Puzo watakubaliana na mimi kuwa kama you have enjoyed Puzo you will definately enjoy Chase.

The Boss for many reasons not one nikimsoma Puzo na nikifikiria writter huyo na vitabu vyake huwa sisahau kabisa kuwa you are among watu wanao mkubali. After all ninasoma Puzo siku zote but I never new the qoute "sum of all wisdom" till you mentioned it to me almost a year ago (time flies eeh? lol). Na pia hapo hapo lazim nikumbuke Azimio Jipya na ndio mana nilimtag kwa njia ya kum mention. AJ Pal hapa maliza kiu yako yote... hahaha!

Sun wu, nimebahatika kumsoma Harold Robbins... Splendid. Huwa sichoki kurudia vitabu vyake, na naungana na wewe ni one of the Great writers. Huwa natafuta sana vitabu vyake sababu sijasoma vingi na ni mwandishi wa kale vitabu vya adimu sana. So far vitabu vyake nimesoma ni kama 6 tu. I wish I could have access to another of his book. I know I made a promise to you kuwa nitamsoma Sheldon na nitowe my opinions ya uandishi wake ila unfortunately I have not fulfilled hio promise. Hata kimoja bado sina hivo hilo swala ni still pending...

AshaDii, with this discussion, I see the need to increase my reading time.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom