AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Nakubaliana in somewhat unachosema lakini point yangu ni kwamba kuhusu Puzo kama ukifatilia story ya Carlo Gambino au real stories za Mafia Families:-
Bunano, Gambino, Genovese au Lucchese utaona kwamba materials nyingi za kwenye kitabu zimetoka kwenye real life ya mafian life.. na Mario been Italian lazima atakuwa alizipata hizo materials hapo.. Sio kwamba nasema hafai ila kwa hiki kitabu he had an inside scoop / information (worth of telling the story by itself...) si hivyo tu na Franz Ford Coppola akaibadilisha into a movie of all time kwa usaidizi wa genius actors (Marlon Brando, Al Pacino, Robert De Niro, Andy Garcia etc) nothing could go wrong.. but in comparison tukilinganisha na Chase ingawa vitabu vyake they are short and straight forward lakini to write about 90 of them its something of a miracle (ndio maana nikasema maybe with the same mafian information Chase angeweza kuandika a masterpiece... Kwahio kwa uandishi / plot nadhani you can argue about Chase Case, lakini when it comes to waandishi ni vigumu as its a matter of preference, therefore they are all great lakini I can say Chase has done more work / input when it comes to writings.
Sun mwandishi yoyote yule ambae ni mwandishi hakuna ambacho kinakuwa created out of Vacuum. Hata kama ni Sci-fi hata kama ni fantasies at the end of the day story inakuwa ina present real life ilivo no matter kuwa the work is fiction. Nakubaliana partly na hio ya kusema he had the inside scoop; But tell me do not most writers have inside scoop of what they write but still fail kuwakilisha walilolenga katika maandishi the way inatakiwa? As much as hizo factors ulizotaja hapo in blue, hata tu talent alikuwa nayo. Ukitaka kujua hilo kuna novel yake ya "The Fourth K" K as in Kennedy... It is not about the mafia it is about politics za US. The way Puzo ameweza wakilisha both sides of the story from Italy, Uarabuni, Marekani, na Uingereza is Impressive! So amazingly and Intelligently Impressive....
Nakubaliana pia na ulilosema kuhusu Chase... na ndio mana nasema if you have read too much of Chase you can predict most of his stories. Nakubaliana pia in the fact kuwa ni ngumu sana kuwa judge katika uandishi. They guys are Great, wote wawili. They give life to imagery kiasi kwamba the reader in the future ukikumbuka story kama vile you had watched a movie... Superb.
Hivo ni baadhi ya vitabu ambavo huwa natamani kila mmoja around me angependa kusoma vitabu... I feel like they are missing SO much fun!