Zimebaki siku89 kuicheki superman legacy ya James gunn

Zimebaki siku89 kuicheki superman legacy ya James gunn

omega effect

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
93
Reaction score
83
Dc ilianza mwaka 1930 na marafiki wawili harry donenfield na jack Leibowitz ,dc ilikuwa ni magazine inayachapicha habari za kijamii na pornografia hii ikapelekea baadhi ya watu ktk kampuni kufungwa jela kwa sababu wakati huo porn ilikuwa haikubalik ,mwaka 1935 Nicholson wheeler aliamua kuanzisha comics zinazobase katika superheros genre ,ndipo January 11 1935 Joel Siegel na joe shuster wakamcreate superman ,sababu kuu ya kumcreate super man ilikuwa ni k uwapa matumaini watu wa america juu ya great economic depression, comic book ya kwanza iliuza milion of copies .

filamu yake ya kwanza iliachiwa 1978 , mwaka 2013 dceu ilipoanza na man of steel film director Snyder alimpotray superman kama most powerful hero and not sign of hope to the people of earth hapo ndipo alipo fail anawasaidia lakini wanamtreat negatively pia yeye ni hope lakini kwenye kund la justice league bat man ndiye kiongoz na sio yeye pia darker tone anazotumia zinaboa kinoma ,na msubir Gunn nimuone na yeye kaz yake......

Hapa Gunn kafanya kitu kikubwa sana, first trailer ilipoachiwa ilipata views 243 million ndani ya wiki Moja na siku kumi zilzopita aliachia sneak peak imepata you tube views 10 million in ten days naisubiri kwa hamu kinoma ,movie ina masaa 2 na 20minutes ,japo mwezi wa pili DC walipata mkosi hii movie imezuiliwa kuonyeshwa u.k,Canada,Australia etc ni baada ya designer wa suit kufukuzwa na james Gunn Kwa sababu ya suit ni mbaya na chupi haikutakiwa kuwepo ,itaonyeshwa Philippines na Japan na usa. Super man legacy ni filamu inayoelezea maisha ya super man (Kal jor El or Clark Kent ) kipind bado ni kijana,wameonekana superheros kama Mr terrifics kiongozi wa kundi la terrifics,metamorpho,green lantern (guy Gardner),hawkgirl,ultra man,lex luthor,the engineer,krypto the super dog.

James Gunn ni perfectionist movie za super heros zote alizo direct Zina tomatometer score kuanzia 80 percent ziko vizuri guardian of Galaxy vol 1,2,3,suicide squad2021 ,peacemaker ,creature comandos,ila hapa karudia kosa la justice league 2017 , black Adam,suicide squad 2016-2021 kutambulisha characters wengi kwenye movie Moja bila kutuonyesha origin story zao ,kuhusu lantern usichanganyikiwe Kuna lantern corps 9 in DC ,nguvu zao zinatokana na kuharness emotion electromagnetic spectrum ni nguvu za kihisia, Kuna red lantern ,blue ,yellow,orange,black,white,green,indigo,violet,ultra violet lanterns corps .the most famous lantern corp ni green lantern,Pete yao inarepresent hisia za hiari(will power) wanafanana kama whales ama fish kiongozi wao wa kwanza yaan gur aliuwawa na darkseid rejea justice league 2017 -2021.kwa binadamu lanterns wapo saba (Hal Jordan,john Stewart,Kyle Rayner,Alan Scott,Jessica Cruz,guy Gardner,Simon baz,sojourner j mullein:metamorpho yeye ana sifa kama za plastic anachange shape at his will,Mr terrific ye ni genius scientist anatumia t sphere kama silaha zake anazikontrol kwa akili yake,engineer ni kiongozi la majambaz (anti justice league) yeye mwili wake una nano technology ana weza form any weapon at her will na ndiye villain wa movie,hawkgirl ni demu wa hawkman wa kwenye black Adam, anatumia spiked hammer(mace)iliyotengenezwa kwa nnth metal ndio chanzo Cha nguvu zake halafu Kuna unknown Kaiju monster pia ultra man huy ana same origin story kama superman na same power like super man ila yey ni evil super man ni kiongoz wa crime syndicates,lex luthor Mr kipara huy ni adui mkubwa wa super man ni billionaire na genius scientist, ana mhate super man for ni reason shida anataka kumuona super man akiteseka tu ................kwa up coming dcu projects zijazo naisubiri cyborg series ,lantern,gold booster,blue beetle,super girl. ............ the eeeeend
 

Attachments

  • Screenshot_20250417-024347.png
    Screenshot_20250417-024347.png
    266.4 KB · Views: 39
  • Screenshot_20250417-024315.png
    Screenshot_20250417-024315.png
    774.8 KB · Views: 33
  • Screenshot_20250417-024249.png
    Screenshot_20250417-024249.png
    421.6 KB · Views: 39
  • Screenshot_20250417-024210.png
    Screenshot_20250417-024210.png
    529.4 KB · Views: 39
  • Screenshot_20250417-024102.png
    Screenshot_20250417-024102.png
    1.2 MB · Views: 32
  • Screenshot_20250417-024017.png
    Screenshot_20250417-024017.png
    310.4 KB · Views: 35
  • Screenshot_20250417-023941.png
    Screenshot_20250417-023941.png
    426.4 KB · Views: 34
Back
Top Bottom