Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,394
Reaction score
7,241
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi.

Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.

Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.

IMG_20230204_205222.jpg

Wanataka walikamate wajue lilikuwa linakusanya nini kumbuka lilikuwa eneo lenye nuclear weapons and facility so debris zinaweza kuleta shida ,wale wanaakili sio nyie wazee wa Papara

USSR
Debris ni Chaka la kuponea..hakuna kitu kama hicho
 
Wanataka walikamate wajue lilikuwa linakusanya nini kumbuka lilikuwa eneo lenye nuclear weapons and facility so debris zinaweza kuleta shida ,wale wanaakili sio nyie wazee wa Papara

USSR
Nimeona lina Solar - so linaweza kuwa na satelite link au 4/5G network with roaming facilities na pia likawa linatuma data back to China in realtime! Ukilitunguwa linajiharibu lenyewe na upati data za maana! Jamaa sio wajinga kuangukiwa na jumba bovu
 
Wakwea madafu bana eti solar,wacheni ujuaji wa kishamba apa
 
Habari za sasa hivi.
ulicho post ni sihasa(uwongo)
kwenye video ndicho kinachojiri, maana kapost mwananchi na flashes za missile zinaonekana
 
Back
Top Bottom