MEDIA NOTESiku zao zimekwisha
Kwa ujumla Hali ya kisiasa Tanzania,Haina tofauti na Afghanistan. UN waingie TU kunusuru wanasiasa. CDM wamekuwa kama dikidiki kwenye nchi Yao.
uliwaona wapi?Chanzo ni ugaidi ili nao waanze kujihami kwa mbinu zao.
Wazungu wanaasili moja ya kukusifia kiongozi wakiwa pamoja,wakitoka hukaa wazungu wenyewe wanaanza kukuteta kwa kukuchambua kama mtoto.Ukikutana nao kesho wanakualika wewe nafamilia yote kwa dinner.
Over the years, Guantánamo has held nearly 800 people, but now just 40 men are imprisoned there, and almost three-quarters of them have never been criminally charged. They're known as "forever prisoners" and they're being detained indefinitely. Some have been there for almost two decades.10 Jul 2021Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kufuatia mkutano wake na Rais Samia na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapo jana.
Waziri huyo alisema miongoni mwa mambo aliyozungumza na Rais Samia ni hofu ya Marekani kwenye utaratibu uliotumika kumkamata na kumshitaki Mbowe, huku akiomba Serikali ifuate misingi ya haki na sheria katika kesi hiyo.
“Ni muhimu kabisa kwamba hali hii itatuliwe kwa njia itakayofuata sheria kwa uharaka na uwazi. Hiyo ni muhimu katika kukuza nguvu ya demokrasia nchini Tanzania,” alisema.
Nuland alisema ana matumaini kuwa suala hilo litapatiwa ufumbuzi kwa majadiliano baina ya pande zote mbili, baada ya wote kuonyesha utayari wa kukutana na kulizungumza.
“Kwa mtazamo wangu pande zote mbili ni wazalendo na wana malengo mema, kwa hiyo ni vyema wakatumia nafasi hii ya utayari walionao kupata ufumbuzi wa kidemokrasia,” aliongeza.
Waziri huyo pia amemuomba Rais Samia kujenga kasi ya hatua zilizochukuliwa wakati wa siku za kwanza za urais wake ambako alijitahidi kuondoa vizuizi kwa vyombo vya habari na kutangaza mazungumzo makubwa na asasi za kiraia.
Pia alimsihi Rais Samia, kuhakikisha ulinzi wa haki za binadamu na raia wote watendewe haki chini ya sheria, bila kujali ushirika wao kisiasa.
“Wakati anaanza na matamanio makubwa kidemokrasia na wapinzani pia walionyesha utayari kumuunga mkono, hatua nzuri sana zilishachukuliwa mwanzoni,” alisema.
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Balozi, Liberata Mulamula alisema Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana.
Chanzo: MWANANCHI, 5 AUGUST 2021
My take:
Sarakasi za wahafidhina wanaomshinikiza Samia ndani ya CCM zinaelekea ukingoni. Soon
Nimefanya nao kazi kama gardeneruliwaona wapi?
Makamu wetu wa rais atakapo kwenda marekani akawashauri na pia kuwapa maelekezo kina Joe biden ya namna bora ya kuwaongoza wamarekani!Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kufuatia mkutano wake na Rais Samia na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapo jana.
Waziri huyo alisema miongoni mwa mambo aliyozungumza na Rais Samia ni hofu ya Marekani kwenye utaratibu uliotumika kumkamata na kumshitaki Mbowe, huku akiomba Serikali ifuate misingi ya haki na sheria katika kesi hiyo.
“Ni muhimu kabisa kwamba hali hii itatuliwe kwa njia itakayofuata sheria kwa uharaka na uwazi. Hiyo ni muhimu katika kukuza nguvu ya demokrasia nchini Tanzania,” alisema.
Nuland alisema ana matumaini kuwa suala hilo litapatiwa ufumbuzi kwa majadiliano baina ya pande zote mbili, baada ya wote kuonyesha utayari wa kukutana na kulizungumza.
“Kwa mtazamo wangu pande zote mbili ni wazalendo na wana malengo mema, kwa hiyo ni vyema wakatumia nafasi hii ya utayari walionao kupata ufumbuzi wa kidemokrasia,” aliongeza.
Waziri huyo pia amemuomba Rais Samia kujenga kasi ya hatua zilizochukuliwa wakati wa siku za kwanza za urais wake ambako alijitahidi kuondoa vizuizi kwa vyombo vya habari na kutangaza mazungumzo makubwa na asasi za kiraia.
Pia alimsihi Rais Samia, kuhakikisha ulinzi wa haki za binadamu na raia wote watendewe haki chini ya sheria, bila kujali ushirika wao kisiasa.
“Wakati anaanza na matamanio makubwa kidemokrasia na wapinzani pia walionyesha utayari kumuunga mkono, hatua nzuri sana zilishachukuliwa mwanzoni,” alisema.
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Balozi, Liberata Mulamula alisema Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana.
Chanzo: MWANANCHI, 5 AUGUST 2021
My take:
Sarakasi za wahafidhina wanaomshinikiza Samia ndani ya CCM zinaelekea ukingoni. Soon
Mambo ya ndani yapi hayo kama mpaka mipira ya kiume mnapewa bure,mkipata Ukimwi mnaomba ARV,mkiishiwa Chakula mnaenda kutembeza bakuli?Marekani wasituingilie mambo ya ndani ya nchi kule kwao kuna watu mpaka wanakimbilia nchi nyingine mbona hatuingilii mambo yao
Good observation, their days are numbered!Justice delayed is Justice denied. CCM need to learn hard way,slow learners.Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.
Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kufuatia mkutano wake na Rais Samia na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapo jana.
Waziri huyo alisema miongoni mwa mambo aliyozungumza na Rais Samia ni hofu ya Marekani kwenye utaratibu uliotumika kumkamata na kumshitaki Mbowe, huku akiomba Serikali ifuate misingi ya haki na sheria katika kesi hiyo.
“Ni muhimu kabisa kwamba hali hii itatuliwe kwa njia itakayofuata sheria kwa uharaka na uwazi. Hiyo ni muhimu katika kukuza nguvu ya demokrasia nchini Tanzania,” alisema.
Nuland alisema ana matumaini kuwa suala hilo litapatiwa ufumbuzi kwa majadiliano baina ya pande zote mbili, baada ya wote kuonyesha utayari wa kukutana na kulizungumza.
“Kwa mtazamo wangu pande zote mbili ni wazalendo na wana malengo mema, kwa hiyo ni vyema wakatumia nafasi hii ya utayari walionao kupata ufumbuzi wa kidemokrasia,” aliongeza.
Waziri huyo pia amemuomba Rais Samia kujenga kasi ya hatua zilizochukuliwa wakati wa siku za kwanza za urais wake ambako alijitahidi kuondoa vizuizi kwa vyombo vya habari na kutangaza mazungumzo makubwa na asasi za kiraia.
Pia alimsihi Rais Samia, kuhakikisha ulinzi wa haki za binadamu na raia wote watendewe haki chini ya sheria, bila kujali ushirika wao kisiasa.
“Wakati anaanza na matamanio makubwa kidemokrasia na wapinzani pia walionyesha utayari kumuunga mkono, hatua nzuri sana zilishachukuliwa mwanzoni,” alisema.
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Balozi, Liberata Mulamula alisema Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana.
Chanzo: MWANANCHI, 5 AUGUST 2021
My take:
Sarakasi za wahafidhina wanaomshinikiza Samia ndani ya CCM zinaelekea ukingoni. Soon
Boxer lazima liwe zito hapo,he need external efforts to escape.Siro sijui huko aliko anajiskiaje
Kwa uelewa wangu mdogo, Tanzania ni sehemu ya jumuia ya kimataifa, siyo kisiwa. Hata Rais wetu Samia amesisitiza hilo.Chadema wanastahili kubinywa mbupu zao mpaka zitoe damu....wameona mbabe kaondoka wameanza kuleta vurugu,wakati wa magu walitulia kama hawapo aliposema hakuna siasa walielewa....sasa kaja huyu mama wanaona wamepata mteremko chadema heshimuni sheria kuweni wastaarabu,movement wakati wa jiwe mlisitisha sasa acha mbowe apate joto la jiwe huko aliko huku lissu anakula bata ulaya.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mmarekani ukimkaribisha sebuleni, atatamani kuona unapolala pia na kukukosoa utandikaji wa kitanda na aina ya mapazia yaliyowekwa madirishani.Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani.