Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani
Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi.

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali barani Afrika.

Sio tu huko ambako Balozi zimefungwa kwa sababu zimefungwa pia katika nchi nyingine mfano Ethiopia na nchi nyingine nyingi.

Itakumbukwa kuwa Mabalozi wa Marekani katika nchi hizo waliitwa hivi karibuni Washington DC kwa agizo la Trump.

View attachment 3538711
marekani hawana umuhimu wowote katika eneo hilo muhimu la kimkakati Africa Mashariki, waende zao tu wavurugaji hao :NoGodNo:
 
Joker of the jokes.

Trump anavyopenda sifa na pesa.

Angeshafunga.
Kwani wewe unafikiri akitaka kumnyakuwa huyo Samia anaye wanunua nyinyi kama bidhaa hafifu sana atashindwa?
Kwa nini ahangaike na kufunga viubalozi?

Tena kwa Samia, hata nusu saa kuchukuliwa mzobamzoba haifiki; huku watu mitaani wakishangilia.
 
Sasa TANZANIA INGEKUWEPO WALE NYUMBUU zingekua kelele tu sa ivi
Umeona ee? Na yule TEC mchambaji zaidi ya giggy money, kitima, angekuwa ameshaenda kwenye kituo flani Cha tv kulisema hilo. Hata wazee wanafiki wanaotumiwa na lissu km warioba na tibaijuka wangejitokeza haraka kutaka sifa
 
Kwani wewe unafikiri akitaka kumnyakuwa huyo Samia anaye wanunua nyinyi kama bidhaa hafifu sana atashindwa?
Kwa nini ahangaike na kufunga viubalozi?

Tena kwa Samia, hata nusu saa kuchukuliwa mzobamzoba haifiki; huku watu mitaani wakishangilia.
Mtabaki hivyo hivyo km matahiraaaaa, au mindondochaaa!
 
Toka tena barabarani uandamane uone
Haisaidii kitu tena! Subiri tu kuliwa kama kitoweo.

Hizo fikra za kudhani mnaweza kuua, lakini nyinyi msiuliwe sahau kabisa sasa.
 
Kwani Trump akimtaka Samia unafikiri hata nusu saa haitoshi kumkamata huku mitaani kukiwa na shangwe kubwa?
Unafikiri Samia ni kama wewe nyumbu wa lissu?!!!
Kwanza amkamate kwa kosa gani? Ameiba Amerika?!!!!!
 
Hawawezi fungal ubalozi kamwe.

Tanzania inafaida kubwa sana kijiografia kwa nchi za Afrika mashariki.

Ukiwa Hapa bongo unapata access ya nchi nyingi sana. Drc, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda etc.
Pia kuna mradi mkubwa wa madini hivyo uwepo wa wamarekani unategemewa kuwapa faida za muda mfupi na mrefu.
 
Hawawezi fungal ubalozi kamwe.

Tanzania inafaida kubwa sana kijiografia kwa nchi za Afrika mashariki.

Ukiwa Hapa bongo unapata access ya nchi nyingi sana. Drc, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda etc.
Mnajipa umuhimu ambao hamna, na nchi zote hizo nusu ya mizigo yao inapita Kenya au Mozambique na huhitaji bongo kupata access ya nchi hizo kuna options nyingi tuu, ovyo 👎
 
Umeona ee? Na yule TEC mchambaji zaidi ya giggy money, kitima, angekuwa ameshaenda kwenye kituo flani Cha tv kulisema hilo. Hata wazee wanafiki wanaotumiwa na lissu km warioba na tibaijuka wangejitokeza haraka kutaka sifa
Yan tungeshasikia mengi mkuu
 
Unafikiri Samia ni kama wewe nyumbu wa lissu?!!!
Kwanza amkamate kwa kosa gani? Ameiba Amerika?!!!!!
Ukweli ni kuwa Samia huwezi kumlinganisha na mimi kwa aina yoyote ile. Samia ni mhalifu, mtu mwovu kabisa ambaye anasubiri tu kuwajibishwa kwa uhalifu wake.
Wewe nguruwe unayemtegemea mhalifu huyo kupata mlo wa masalia yake haishangazi yeyote kumwona na kumtukuza kama unavyofanya hapa.

Trump alipowatwanga mabomu wale ndugu zenu Boko Haram kule Nigeria, waliiba kitu gani Marekani?
 
US Government Showdown: Kigali Embassy Closes American Center​

written by Daniel Sabiiti February 3, 2026
virtual_williams_college.jpg

The U.S. Embassy in Kigali has announced the temporary closure of the American Center, effective today, February 3, 2026.

The American Center, located within the Embassy compound, has for years provided Rwandan students,, professionals and community members with access to English-language resources, educational programmes, cultural events and networking opportunities.

In a statement, the Embassy said the temporary closure is part of broader operational adjustments.

It is understood that several U.S. government-operated centres in different parts of the world have been temporarily closed, largely due to the ongoing U.S. government shutdown.

The American Center has been a cornerstone of our public diplomacy efforts in Rwanda.

“Though the facility is temporarily closing, our mission to foster mutual understanding and strengthen ties between the people of Rwanda and the United States remains unchanged,” the Embassy noted in a statement posted on it’s website.

A U.S. government shutdown occurs when funding legislation required to finance federal government operations is not enacted before the start of a new fiscal period.

For years, the American Center has provided a space where partnerships and dialogue between Rwandans and Americans could flourish.

While the physical facility will be unavailable during this period, the Embassy said it will continue its outreach and engagement through alternative platforms, including online resources and targeted programmes.

Impact on Kigali residents:

The temporary closure means the suspension of access to physical resources such as books, study spaces and in-person cultural programming.

Students and professionals who rely on the Center’s services will need to seek alternatives through local institutions and online platforms.

The Embassy also indicated it will expand its digital and virtual engagement to maintain educational and cultural outreach.

Looking ahead:

The temporary closure of the American Center marks a short-term disruption to the Embassy’s public engagement activities in Rwanda. While many Kigali residents have expressed disappointment at the pause in services, there is cautious optimism that activities will resume once operations normalise
Wana vituo vya kivita 1000 duniani. Kwanini wasivifunge?
 
Ukweli ni kuwa Samia huwezi kumlinganisha na mimi kwa aina yoyote ile. Samia ni mhalifu, mtu mwovu kabisa ambaye anasubiri tu kuwajibishwa kwa uhalifu wake.
Wewe nguruwe unayemtegemea mhalifu huyo kupata mlo wa masalia yake haishangazi yeyote kumwona na kumtukuza kama unavyofanya hapa.

Trump alipowatwanga mabomu wale ndugu zenu Boko Haram kule Nigeria, waliiba kitu gani Marekani?
Una matatizo mawili na la tatu la nyongeza..........
1. Huna akili
2. Wewe ni lofa (maskini wa kutupwa)

3. Akili Yako imechanganyika na chembechembe za mavi ya kitima, yule mTEC, hivyo udini unakusunbua. Huo udini utatoka tu ukishabanduliwa.
 
Back
Top Bottom