Marekani yafunga Balozi zake Uganda, Rwanda na Burundi

Marekani yafunga Balozi zake Uganda, Rwanda na Burundi

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,657
Reaction score
37,825
Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani umetangaza kufunga Balozi zao nchini Burundi, Rwanda na Uganda.

Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi.

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali barani Afrika.

Sio tu huko ambako Balozi zimefungwa kwa sababu zimefungwa pia katika nchi nyingine mfano Ethiopia na nchi nyingine nyingi.

Itakumbukwa kuwa Mabalozi wa Marekani katika nchi hizo waliitwa hivi karibuni Washington DC kwa agizo la Trump.
 
Back
Top Bottom