Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

Marekani Yafunga balozi zake za Burundi, Rwanda na Uganda

Pia kuna mradi mkubwa wa madini hivyo uwepo wa wamarekani unategemewa kuwapa faida za muda mfupi na mrefu.
Kwani hizo ndio sababu waTanzania sasa wamezuiliwa kupata visa ya kwenda huko? Mnatafuta hata sababu zisizokuwa na msingi kabisa kana kwamba mnaotaka wazione sababu za kipumbavu kabisa kama hizo hawana akili vichwani.
 
Una matatizo mawili na la tatu la nyongeza..........
1. Huna akili
2. Wewe ni lofa (maskini wa kutupwa)

3. Akili Yako imechanganyika na chembechembe za mavi ya kitima, yule mTEC, hivyo udini unakusunbua. Huo udini utatoka tu ukishabanduliwa.
Matatizo yako wewe yanajulikana siku zote, na yapo wazi kabisa kutokana na maandishi yako mafupi fupi kila unapoingia humu JF.
Sina sababu tena ya kukukumbusha, kwa sababu unayajuwa mwenyewe.
Tanzania haiwezi kuwa nchi kama hiyo unayoiwazia akilini mwako.
 
Hawawezi fungal ubalozi kamwe.

Tanzania inafaida kubwa sana kijiografia kwa nchi za Afrika mashariki.

Ukiwa Hapa bongo unapata access ya nchi nyingi sana. Drc, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda etc.
Kwanini invest6kubwa kwenye mambo ya kimedani WANAFANYA kenya
 
Kwanini invest6kubwa kwenye mambo ya kimedani WANAFANYA kenya
Hiyo ipo rooted tokea enzi za ukoloni,

Kenya walianza kukumbatia sera za kibeberu kitambo sana, huwa hawawezi kukataa lolote wanaloambiwa na West, investment yeyote kubwa itakuwa safe.

Kwa hapa Tanzania, ingawa tunajitahidi kuachana na sera za ujamaa ila zimetukaa na bado chambe chembe zake zipo, ndio maana hata mahusiano na Nchi Kama China na Russia hayayumbi kabisa.

Ingawa Marekani anataka sana kuja hapa kiuchumi ana kazi ngumu kuiondoa falsafa ya kijamaa iliyopo.

Akifanikiwa hilo Kenya hatakuwa na Lake hapa East Africa.

Tanzania ni tishio kwa Kenya na itaendelea kuwa hivyo sikuzote.

Tukipata kiongozi imara tunaweza ipiku kwenye kwa mbali sana chini ya miaka 10 tu.
 
Unapoanzishwa mradi wowote mkubwa wapiga miluzi (wakosoaji) wapo wengi sana Tanzania Bara sababu ikiwa masalia ya ujamaa vichwani mwetu.

Anapoongoza Rais mwenye kuamini katika sera mchanganyiko zenye ubepari ndani yake lazima miluzi itasikika kwa wingi kutoka kwa jamii ya wasomi iliyopo.
 
Back
Top Bottom