Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
Hivi kwani lazima umpige risasi za juu
Huyo angepigwa risasi za miguu sidhani Kama angekufa
Huyo angepigwa risasi za miguu sidhani Kama angekufa
Ok, bye!SIO KILA ANAYECHOMWA KISU ANAKUFA.
Ila huyo kapigwa RISASI KAFA.
Polisi alipima hayo yote, mwenye kisu alikua karibu sana kwa risasi moja isingeweza kumzuia kufanya uhalifu wake, lengo number moja ni kuokoa roho zisizo na hatia.Hata kama aliyeuwawa alikuwa kashika kisu bado sio sababu ya kummiminia risasi nne, hoja ilikuwa kum-neutralise aidha au kwa kushoot not to kill. And one round was good enough to neutralise her.

Neno subiri lifute kwenye akili yako.Subiri siku kisu kikiwa karibu kuzama tumboni ndio utaelewa. Kwa sasa endelea ku comment JF
Polisi alichofanya ni sawa kwani aliondoa mwovuAlichofanya askari na alichokuwa anataka kufanya Dada mwenye kisu hakuna tofauti...huwezi kuokoa maisha ya mtu mmoja kwa kuua mtu mmoja.
Huu ndio ujinga wa hawa watu yaani polisi ache jambazi litoe roho za watu?
Kama hao weusi wachache tu huko wanaonekana kusumbua hivyo je vp huku afrika kwenyewe palipojaa weusi usumbufu wake ukoje?Watu weusi wanasumbua sana america kiukweli na watakufa sana mpka wapaone pachungu
Waarabu inaeleweka mtu mweusi hana nafasi zaidi ya kuwa kijakazi wa ndani tofauti na america weusi wana nafasi ya kuwa wananchi halali kama weupeMatukio kama haya, sipati picha yatokee nchi za kiarabu wehthough hayawezi kutokea, ila kwa mabeberu tu.
Kwa angle aliyokuwa amekaa huyo polisi basi angemshona risasi moja tu japo ya tako, ilikuwa inatosha kumpunguza makali. Silaha iliyotumika ni pistol, na umbali si zaidi ya mita 10...TIZAMA VIDEO KWA UMAKINI
BILA OFISA HUYU KUFANTA HIVI, MTU ANGEKUWA ASHAPOTEZA MAISHA,
TUTAFAKARI,
Unazani usumbufu wa uku ni mdogo si unaona matukio ya ajabu kila kukicha tuje kwenye ukweli tu watu weusi hatuna ustaarabu hata kidogo waroho wanyimi wabinafsi na wakatiliKama hao weusi wachache tu huko wanaonekana kusumbua hivyo je vp huku afrika kwenyewe palipojaa weusi usumbufu wake ukoje?
Sasa mbona hakuna mauaji ya polisi hata kwa kiwango kama hicho cha Marekani? maana huko polisi anaweza kukusimamisha tu njiani mara ghafla anaanza kukufyatulia risasi, kitu ambacho matukio kama hayo hatuna huku japokuwa ndio weusi tulipojaa.Unazani usumbufu wa uku ni mdogo si unaona matukio ya ajabu kila kukicha tuje kwenye ukweli tu watu weusi hatuna ustaarabu hata kidogo waroho wanyimi wabinafsi na wakatili
SawaNguvu nyingi inatumika kwao ndio kwa sababu wanajulikani hawatii sheria ni kama vichaa,ndo wavuta bangi so ili ili polisi na wao wawe salama inabidi wawafyatulie masasi kwanza.
Angeweza kutumia taser ku neutralize situation na wangefanikiwa ila wametumia excessive and violent force kumtia risasi nne. Anyway wacha mahakama ifanye yake sisi wengine ni watazamaji tu.Mkuu kwahiyo ulitaka aachiwe amchome mwenzie kisu?