Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Ila risasi nne siyo nyingi kweli kwa mtu mwenye kisu?
Lengo ni kum disable asiue hata kumi kama hazijatimiza lengo sio nyingi. Mfano unataka mwizi asiweze kukimbia risasi tisa zimepiga vidoleni na bado anaendelea kukimbia, ya kumi ya pajani sio excessive.

Marekani ukitishia usalama unakufa simple yani. Askari akisema tupa kisu mikono juu, usijaribu kufanya vinginevyo. We tii tu kama unataka kuishi
 
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.

Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Alishindwa kutumia Taser? Au she deserved a bullet?
 
Alishindwa kutumia Taser? Au she deserved a bullet?
Unaona umbali aliopo? Angeitumiaje?
Naona watu mnajaribu kuangalia kifo cha marehemu mnasahau huyo mwingine pia alikuwa anaelekea kufa. Nadhani wengi mlitamani bora afe huyo mwingine lakini askari ambembeleze mtenda jinai.

Tukio liko justified kisheria na kibinadamu.
 
744df00041da0262.png

Sio weusi wote Amerika ni vichaa. Kuna wenye akili wengi tu!
 
Unaona umbali aliopo? Angeitumiaje?
Naona watu mnajaribu kuangalia kifo cha marehemu mnasahau huyo mwingine pia alikuwa anaelekea kufa. Nadhani wengi mlitamani bora afe huyo mwingine lakini askari ambembeleze mtenda jinai.

Tukio liko justified kisheria na kibinadamu.
Kwa hiyo umbali huo taser hazifanyi kazi? Kwa kuangalia kwako huo umbali ni zaidi ya 40 feet?
 
Hawa Black Americans wenyewe tu ni headache basi tu hamjui...hawa jamaa kwanza wao kwa wao hawapendani kabisa....Ni watu wana roho mbaya makatiri sana.

NA KATIKA hilo wanaumizana sana wao kwa wao...Ila ikitokea Polisi Mzungu amewachukulia hatua wanataka wahurumiwe ilhali wao hawana huruma hata kwa weusi wenzao...

TENA usiombe ukutane nao wewe Msaga sumu kutoka Afrika utalia kama punda jike...Washenzi sana.

Nachotaka kusema Jamii isipolelewa kwenye maadili baadae hugeuka kuwa janga kubwa lisiloweza kuzuilika...

Ni hatari kubwa.
 
Unaongelea ku bet na maisha ya mtu. Taser sio effective kama risasi. Ulishawahi kuwa cornered na ukiwa na sekunde za kuishi? Ukiishajua hili ndio utajua kwenye point hiyo kitu pekee utakachofanya ni kile una uhakika nacho asilimia mia.
Police officers wanapitia training kwa hiyo usinifananishe nao. Taser ina 50,000 volts cycle ya sekunde 5 ilimtosha kabisa huyo binti wa miaka 16 kuzima.
 
Lengo ni kum disable asiue hata kumi kama hazijatimiza lengo sio nyingi. Mfano unataka mwizi asiweze kukimbia risasi tisa zimepiga vidoleni na bado anaendelea kukimbia, ya kumi ya pajani sio excessive.

Marekani ukitishia usalama unakufa simple yani. Askari akisema tupa kisu mikono juu, usijaribu kufanya vinginevyo. We tii tu kama unataka kuishi
Wakati naandika ile comment nilikua sijaiangalia video.

Nimeandika tu nikaenda kucheki video.

Caller ameripoti kuna watu wanatishia kuchoma visu watu wengine, askari anashuka tu kwenye gari (hata hakupata muda wa kutoa onyo) kuna binti anakula mweleka mpaka nguo inapanda juu, kisha kuna jamaa anampiga teke huyu binti aliyeanguka.

Video ikawa inaenda kwa slow motion. Na kwa angle iliyochukuliwa inaonyesha huyu jamaa anarusha teke at the same time binti mwenye kisu ndiyo anampelekea kisu mwenzake mwilini. Mhanga wa kisu nyuma yake amezuiwa na gari so kurudi nyuma kusingemsaidia.

Majirani na wakazi wa eneo hilo wanaamini askari ana makosa.
 
Hivi ukisema binti auwawa kwa kupigwa risasi haitoshi mpaka utaje race yake? Watu weusi tunajibagua wenyewe. Kwahiyo hao watu weusi wavunje sheria bila kuchukuliwa hatua?
Nguvu inayotumika kwa mtu mweusi ni tofauti na mtu mweupe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom