Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Kama ulikuwa hujawahi jua maana ya propaganda angalau leo unekutana nayo usi kwa uso. Ni kweli ukisoma inaonesha ni kama aliyetaka kuuawa ni mzungu so askari mzungu kamtetea mzungu mwenzie kwa kumuua mweusi.

Karibu katika ulimwengu wa kitapeli!
Dah, sasa askari kwenye scenario hiyo anatoka akiwa hero kabisa
 
basi mamwela wa huko wazembe na hawana shabaha kabisa haiwwzekani wakashindwa kupiga mtu risasi ya mguu wakati mi hata jwa jiwe la manati naweza
Siyo uzembe bali nchi imejengwa katika utamaduni wa kutokuaminiana na umimi, ni falsafa tofauti ya "udugu" ya kitanzania.
 
Sasa polisi alikuwa na lengo kuokoa maisha au kuondoa maisha? kwa sababu risasi nne ni nyingi hivyo alikuwa alikwisha kusudia kuuwa.
Wenye falsafa ya kuokoa maisha ni firefighters, polisi Marekani wanafundishwa kuua kwanza kama kuna tishio lolote (mengine baadae), na kama mwenye tishio ni mweusi, hawajiulizi mara mbili.

Pia hua wanalindwa na vyama vyao vya kipolisi na hata wakifanya kosa rekodi zao hazinakiliwi popote, hivyo polisi akikosea anaweza tuu kuhamia department nyingine (ndiyo sababu ya hizi kampeni za kuwapunguzia pesa). Tofauti na raia wa kawaida, ambapo ukifanya kosa lolote (unless you file for diversion) nakala yako inahifadhiwa sehemu. Kila unapofanya kosa, mwendesha mashtaka anaweza kufanya rejea ya makosa yako ya nyuma na kuadhibiwa kutokana na makosa hayo.
 
Wabongo ni hopless kabisa, yani vifua mbele wanamtetea mhalifu kwa kua ni black 😂😂😂
Hapana mkuu wewe ndio humtetea huyo polisi kisa tu blacks wakorofi yani hauangalii mazingira ya tukio lenyewe we ushapitisha tu kuwa ni haki yao tu kuuliwa hao.
 
Hivi kweli askali amepita mafunzo kweli ?ameshindwa hata kumtegua hata mguu tu au mkono alioshika kisu ...lisasi nne zote za nn kwa binadamu tena sio asikari ni raia tu
 
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.

Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!

Akiwa na kisu, hupaswi kumuua, alipaswa kumpiga sehemu nyingine, hususan mkono alioshika kisu.
 
View attachment 1760058

Msichana wa miaka 16 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine

Ma’Khia Bryant amepigwa risasi nne kwa milio iliyosikika kwenye video inayomuonesha Msichana huyo akiwa na kisu. Hata hivyo, tukio lililokuwa likiendelea halipo dhahiri

Polisi aliyefanya tukio hilo ni Nicholas Reardon ambaye aliajiriwa mwaka 2019

====
Yaani lile mwela la kizungu lilomuua yule niga limepatikana na hatia manjagu ya kizungu yamepanic yanaua hadi wanawake kisa weusi hilo liinchi lina sheria za kiboya ingekua bongo tungeyatia tairi za moto
 
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.

Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Acha fujo kwani ni sheria mtu anayetaka kuchoma kisu auliwe yeye kabla? unaweza ata kumjeruhi kwa risasi ya mguu ili naye kuokoa maisha yake, naye ni binadaamu lakini unammiminia risasi 4 kwa sababu ni black., angekuwa mzungu aliyeshika kisu angemgonga risasi ya mguu au mkono sio kifuani., na pengine wakati mwengine sio kisu kweli utakuta ni kisu cha bandia,, wacha sheriza zichukue mkondo wake.,

Mauaji haya nayo ni ya kiwango cha second degree minimum ni 40 yers inprison
 
Sawa. Ngoja tusubirie indictment ya 2nd degree murder!
 
Waarabu inaeleweka mtu mweusi hana nafasi zaidi ya kuwa kijakazi wa ndani tofauti na america weusi wana nafasi ya kuwa wananchi halali kama weupe

Kwani aliekuambia uarabuni hakuna weusi wenye nafasi ya kuwa wananchi halali kama waarabu wenyewe ni nani? Hao vijakazi unaowazungumzia wamelazimishwa kwenda kufanya kazi za ndani uarabuni? Eti wanapewa nafasi ya kuwa halali kama weupe huku wanauliwa 🤣
 
Acha fujo kwani ni sheria mtu anayetaka kuchoma kisu auliwe yeye kabla? unaweza ata kumjeruhi kwa risasi ya mguu ili naye kuokoa maisha yake, naye ni binadaamu lakini unammiminia risasi 4 kwa sababu ni black., angekuwa mzungu aliyeshika kisu angemgonga risasi ya mguu au mkono sio kifuani., na pengine wakati mwengine sio kisu kweli utakuta ni kisu cha bandia,, wacha sheriza zichukue mkondo wake.,

Mauaji haya nayo ni ya kiwango cha second degree minimum ni 40 yers inprison

Ebu igeuze kinyume chake ni hivi "polisi wa arabuni angemshuti mtu mweusi" je! Ingeleta taswira gani kwa hawa watetezi wa mabeberu!!!
 
Naomba takwimu-rasmi za Marekani za mauaji ya:

1. Weusi kuua weusi
2. Weusi kuua polisi
3. Polisi kuua weusi
4. Polisi kuua weupe

Natanguliza shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom