ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
U.S.A hakuna chuki na ubaguzi ? Duuuh!USA ni mfano halisi namna binadamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanavyoweza kuishi pamoja kwa amani bila ubaguzi wala chuki baina yao.
U.S.A hakuna chuki na ubaguzi ? Duuuh!USA ni mfano halisi namna binadamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanavyoweza kuishi pamoja kwa amani bila ubaguzi wala chuki baina yao.
Unavyo ielezea China ni kwa namna ya kufurahisha kwa kweli 😀Ungefuatilia huo utaalamu wa kuunda hizo electronics kautolea wapi, na usishangae kwenye kiwanda ukamkuta top ni mzungu toka US., nikupe hadithi moja
Rafki yangu alipoenda china kufanya masters fulani alipoingia darasani alimkuta mmarekani ndio lecture akashangaa sana hivi china wanakwama wapi ata elimu ya vyuo vikuu wanakodi walimu toka US?
US hawana mkwara jana wameshatungua puto huko ingekuwa china ingekuwa wanakimbizana tu vipi tulipige au tuliache, tukifyatua itakuwaje, US halazi damu
Nani hao walio husika na ku jam mfumo ?Not too late, according to The United States Department of Defense.
Wanasema, waliingilia (jam) mfumo wake wa mawasiliano siku kadhaa kabla ya utunguaji.
Namna nyingine bora ya kuli chunguza ni ipi uki ondoa ya kuli daka au kuli shusha ?Kuna namna nyingi za kulichunguza. Sio lazima ulidake kwanza ndipo ulichunguze.
Walifanya makusudi na ni fedheha na aibu kwa US kwamba walishindwa kuliona mapema?Too late. Wachina washasave info. Ila Wachina nao bwana. Wamechemsha, walitakiwa waliset ili lisionekane.
Ndio mkuu, ndio mana lile Puto halikuchukua muda limepasuliwa pasuliwa ili kama kuna mchina aje juu alete ngebe zake aoneWewe unge tungua ?
Ndio maana wewe sio Rais wala kiongozi yoyote yule wa taifa kubwa especially China, hauna ufahamu wowote kuhusu masuala ya uongozi haujui madhara ya maamuzi mabaya kwa taifa na dunia kwa ujumla.Ndio mkuu, ndio mana lile Puto halikuchukua muda limepasuliwa pasuliwa ili kama kuna mchina aje juu alete ngebe zake aone
Jeshi la anga (USAF).Nani hao walio husika na ku jam mfumo ?
Electronic warfare.Namna nyingine bora ya kuli chunguza ni ipi uki ondoa ya kuli daka au kuli shusha ?
Hiyo ni taarifa ya maafisa wa wizara ya ulinzi (DOD). Kulingana na taarifa, USAF iliingilia mfumo wa mawasiliano uliobebwa na hilo puto ili kuzuia ukusanywaji wa taarifa nyeti.
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
US ndio bure kabisa yaani Balloon ambalo halina sihala za kujilinda unatuma ndege unayoisifia ndio bora kabisa F22 kwenda kuliangusha, wakati angetuma hata helicopter tu ingetosha 🤣🤣🤣🤣Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.
USSR View attachment 2506511View attachment 2506512
Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu .
Mchina ndio future ya hii dunia. Atakuja kalia kiti cha marekani soon baada ya hii vita.
Unatakiwa utumie kifaa ambacho hata adui yako akiona anaona hauna utani. Kitu kinatakiwa kiwe jivu kbsa. Siku nyingine hata akituma ndege anajua itabaki kuwa majivuUS ndio bure kabisa yaani Balloon ambalo halina sihala za kujilinda unatuma ndege unayoisifia ndio bora kabisa F22 kwenda kuliangusha, wakati angetuma hata helicopter tu ingetosha 🤣🤣🤣🤣
BruneiNchi gani yenye utu?
Wapi ni salama waende wakaishi?
- Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
- Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
- China anataka kuipa Taiwan
- Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
- Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
- Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
- Somalia Alshabab hao
- Nigeria unakutana na boko Haram
Puto lipo nchini kwako halina ulinzi wowote unatumiaje f22🤣🤣🤣 lingekuwa na ulinzi si ndo wangechanganyikiwa kabisa? Hala wana kuja na a lame excuse eti lilikuwa juu ya nuclear facility 🤣🤣🤣 ni mjinga tu ndio ataamini hii, US kwa masatelaiti hakuliona toka awali na wanasema limekuwapo US kwa.muda wa.kutosha? Kama limetokea China hadi kufika US koooote huko hawakuliona?.Unatakiwa utumie kifaa ambacho hata adui yako akiona anaona hauna utani. Kitu kinatakiwa kiwe jivu kbsa. Siku nyingine hata akituma ndege anajua itabaki kuwa majivu
Hakuna wakati utakaokaribiaUkiona matetesi ya vita Kila mahali ujue wakati umekaribia
China atasubiri sana kwasababuMchina ndio future ya hii dunia. Atakuja kalia kiti cha marekani soon baada ya hii vita.