Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 19,860
- 42,054
Mtanganyika analiona hili ila mchina halioni. Unadhani USA ana kitu gani anafanya kinachofanya hili unaloliona ww wachina wasilione?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 China naichukulia sawa na kijana muoga aliyeko kwenye ajira ya mshahara mdogo ila anaogopa kuacha ili ajiajiri.
China ameshikilia soko la electronics za kampuni nyingi sana ulimwenguni hasa kwenye uundaji.
Marekani ni mikwara tu na hizo bosheni za vikwazo ila China anaweza akamkazia vizuri tu.