Marekani imelitungua puto la kichina

Marekani imelitungua puto la kichina

Nchi gani yenye utu?
  • Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
  • Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
  • China anataka kuipa Taiwan
  • Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
  • Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
  • Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
  • Somalia Alshabab hao
  • Nigeria unakutana na boko Haram
Wapi ni salama waende wakaishi?
Ukiona matetesi ya vita Kila mahali ujue wakati umekaribia
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
Hata Tanzania Kuna raia wengi ambao ni WaTanzania na wametoka nchi mbali mbali ulitakiwa kusema marekani ina diversity kubwa ya watu tofauti that's all
 
Kwa kuwa limetunguliwa ni muda sahihi wa China kujibu mapigo kwa kutunguliwa puto lao. Tusubiri Mchina apeleke fighter jets in American airspace.
Hawawezi,kwanza ni aibu kwao kukamatwa .Nia yao ilikuwa hilo puto lisionekane kabisa,ndo maana wakaona aibu ikabidi wasingizie kuwa lilikuwa linachukua météorologiques data.
 
America is a foreigners land. Only the red Indians identify as indigenous Americans, wengine wote ni wakuja.

Hata wewe ukishatia mguu Marekani unakuwa Mmarekani. So usishangae kuona muhindi au mtu mweusi kuwa na cheo.
Kweli kabisa,hata hao wazungu wote chimbuko lao ni Europe.
 
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.

USSR View attachment 2506511View attachment 2506512


WhatsApp Image 2023-02-05 at 07.08.13.jpeg









 
Hawawezi,kwanza ni aibu kwao kukamatwa .Nia yao ilikuwa hilo puto lisionekane kabisa,ndo maana wakaona aibu ikabidi wasingizie kuwa lilikuwa linachukua météorologiques data.
Mambo mengine bwana? Nani kakwambia puto kubwa ililo jazwa helium alionekani Dunian by
naked eye likiwa kwenye layer ya stratosephere - nani? - Nimebandika humu kuhusu wanasayansi wa Kichina wanavyo weza kuongoza maputo ya Helium kwenda popote Duniani - wana sayansi wa Uchina si wakuchukuliwa kimchezo mchezo hata kidogo.
 
Mambo mengine bwana? Nani kakwambia puto kubwa ililo jazwa helium alionekani Duniani with naked eye likiwa kwenye layer ya stratosephere - nani? - Nimebandika humu kuhusu wanasayansi wa Kichina wanavyo weza kuongoza maputo ya Helium kwenda popote Duniani - wana sayansi wa Uchina si wakuchukuliwa kimchezo mchezo hata kidogo.
Mchina na sayansi wapi na wapi?Wawashukuru wazungu kwa kuwafundisha sayansi. China bado sana ,wao wanachojua ni kucopy tu.
 
Nchi gani yenye utu?
  • Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
  • Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
  • China anataka kuipa Taiwan
  • Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
  • Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
  • Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
  • Somalia Alshabab hao
  • Nigeria unakutana na boko Haram
Wapi ni salama waende wakaishi?
Walokole huwa mna uelewa/mentality ya ajabu
 
Too late. Wachina washasave info. Ila Wachina nao bwana. Wamechemsha, walitakiwa waliset ili lisionekane.
Isije ikawa USA ndo amechukua taarifa maana haw watu wana power bank zao zinachukua chaji kwenye simu badala ya kupeleka chaji.
 
USA wameonyesha udhaifu, kwanini walishindwa kulidaka hilo puto ili walichunguze zaidi?
Wewe mpuuzi sana ukisikia puto hilo unadhani ni puto la birthday? wanalopuliza watoto kwenye sherehe
 
Back
Top Bottom