5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,290
- 2,430
Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kileMchina ndio future ya hii dunia. Atakuja kalia kiti cha marekani soon baada ya hii vita.