Marekani imelitungua puto la kichina

Marekani imelitungua puto la kichina

Puto lipo nchini kwako halina ulinzi wowote unatumiaje f22🤣🤣🤣 lingekuwa na ulinzi si ndo wangechanganyikiwa kabisa? Hala wana kuja na a lame excuse eti lilikuwa juu ya nuclear facility 🤣🤣🤣 ni mjinga tu ndio ataamini hii, US kwa masatelaiti hakuliona toka awali na wanasema limekuwapo US kwa.muda wa.kutosha? Kama limetokea China hadi kufika US koooote huko hawakuliona?.

Usiwe maandazi tumia akili kidoooogo
USA ni akili kubwa huwa haikurupuki. Hapa nilipo nafanya mchakato mtoto wangu awe raia wa Marekani.
 
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.

USSR View attachment 2506511View attachment 2506512
Distance from Shanghai to Los Angeles ni miles 6400 almost 10400 km hivyo puto umbali wote huo USA hawakuliona mpaka limefika katikati ya nchi ndio wanahangaika nalo. Eti wanasuburi lifike kwenye eneo la Bahari???
 
China atasubiri sana kwasababu
1. China teknolojia yake ni copy na paste. Hawana ubunifu kbsa. Software karibia zote tunatumia za Marekani. Hiyo simu unayotumia inatoka China ila Operating system ni ya Marekani.
2. China inaongozwa na watu wenye akili za kichina lkn Marekani inaongozwa na watu waliotoka katika mataifa mbalimbali. Kuna viongozi wenye asili ya tanzania, china, japani, india, israel, uingereza, iraq n.k wote wapo Marekani wanafanya kazi
3. Mashirika makubwa dunia kama UN, FAO, IMF n.k yapo Marekani.
4. Nguvu ya USD. Ukitaka kununua kitu chochote lazima utumie dola ya marekani. Ushawahi kununua kitu kwa Yuan mtandaoni?
5. Misaada ya kifedha na dawa. Marekani anatoa sana misaada ya kifedha na wakati mwingine anasamehe mikopo.
6. Entertaiment
Mieleka, muziki, Kikapu, kampuni kubwa za filamu zipo Marekani tena zinatumia teknolojia kubwa. Hollywood. Wanamuziki wakubwa duniani wapo Marekani wote hao wanakusanya pesa kutoka kwenye nchi mbalimbali wanapeleka kwao. Hata Wacheza filamu wakubwa wa China wapo Marekani kwa sasa.
Umejiunga Tiktok?
Sijajiunga sina bando la mchezo
 
Acheni utani basi, mchina alihitaji dubwana lote hilo kwenda usa kufanya upelelezi huku akijua kuwa risk ya kutunguliwa ni kubwa?

Kipo msichokijua lkn nitakuwa wamwisho kuamini kuwa hilo puto ni la upelelezi.
 
Ndio maana wewe sio Rais wala kiongozi yoyote yule wa taifa kubwa especially China, hauna ufahamu wowote kuhusu masuala ya uongozi haujui madhara ya maamuzi mabaya kwa taifa na dunia kwa ujumla.

Kuongoza nchi sio kuji ongoza mwenyewe kutokana na hisia zako zinavyo kusukuma.
Rais wa China ni kiongozi aliye madarakani kwenye mfumo uliojaa udikteta, ndio maana mtu wao wa ndani siku zote akidai demokrasia wanamla risasi on the spot., madhara makubwa na hofu aliyonayo rais wa China kwa US ni technolojia aliyopewa anawaza siku akijaribu ataumizwa vibaya sana yeye na watu wake ndio maana maamuzi ya China dhidi ya US siku zote ni negative

Alipopewa wataalamu na technolojia kutoka US alifurahi sana na kuona anapendwa sasa shida inakuja wakati huu, China mpaka leo wameshindwa hata kuwa na mfumo wao wa technolojia ya simu za mikononi bado wanatumia Android ama iOS ambayo inamilikiwa na US,
 
Rais wa China ni kiongozi aliye madarakani kwenye mfumo uliojaa udikteta, ndio maana mtu wao wa ndani siku zote akidai demokrasia wanamla risasi on the spot., madhara makubwa na hofu aliyonayo rais wa China kwa US ni technolojia aliyopewa anawaza siku akijaribu ataumizwa vibaya sana yeye na watu wake ndio maana maamuzi ya China dhidi ya US siku zote ni negative

Alipopewa wataalamu na technolojia kutoka US alifurahi sana na kuona anapendwa sasa shida inakuja wakati huu, China mpaka leo wameshindwa hata kuwa na mfumo wao wa technolojia ya simu za mikononi bado wanatumia Android ama iOS ambayo inamilikiwa na US,
Una zungumzia mambo makubwa kwa level ya chini sana.
 
Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu .
"Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu ."


Kumbe Marekani ni wa hovyo hivi? So hata Rais kila kitu anakikuta kimeshapangwa?
 
Wanasayansi wa Kichina matata sana, kama una interest na masuala ya sayansi na teknolojia ebu jaribu kusoma chapisho lao la kisayansi ingawa ni refu kidogo lakini utajifunza mengi kwamba wanasayansi wa Kichina hawana mchezo - wana uwezo mkubwa wa ku-control puto liende popote wanako taka wao - binafsi sioni ajabu kwa nini USA ilihamua kulitungua, ingawa linaweza kuwa lilikuwa kwenye mission ya utafiti wa hali ya hewa na OZONE layer - who knows??

Mchina alivumbua nini?
 
Back
Top Bottom