Marekani imelitungua puto la kichina

Marekani imelitungua puto la kichina

Waswahili bwana!! Yaani huna hata habari kwamba karatasi unayo tumia hivi sasa wavumbuzi wake walikiwa ni wachina na sio wazungu, pia kalamu na wino wavumbuzi wake ni wachina haya tuje kwenye highly accurate mathematical calculator au tuseme manual komputa (abacus)walikuwa ni wachina na zinafanya kazi mpaka leo, tukija kwenye uvumbuzi wa gunpowder na solid fuel rockets na mizinga wavumbuzi ni wachina vile vile, utangenezaji nguo including silk kwa kutumia manual looms ni uvumbuzi wa wachina, hapo hatujagusia utengenezaji wa saani za chakula, vikombe sourcers,birika za chai etc.

Zipo vile vile manual duplicating machine, unatumia karatasi special na pen una andika alphanumerical charaters zako pamoja na diagrams inclunding graphs and what have you baadae unaweka master kwenye flat surface unatumia wino na roller unatoa copy hata million moja ukitaka. WALIO VIMBUA matumizi ya simaku ni Wachina walizumia kuunda compass kwa ajili ya kuongozea vyombo/Meli kuonyesha mwelekekeo kwenye vyombo vya baharini walikuwa - Haya tuje tuzungumzie masuala ya foundries za ku-forge metal na alloys ukweli ni kwamba mapioneers walikuwa ni Wachina.

Mwisho nataka kuwakumbishe kwa mara nyingine tena kwamba wanadamu wenye IQ kubwa Duniani majority ni wenye asili ya Orientals yaani: Wachina/Wajapan/Wakorea - Wachina walirudishwa nyuma kimaendeleo na kuibiwa uvumbuzi wao na mabeberu walio kuwa wanawavamia mara kwa mara kwa kuendekeza masuala ya vita vita na kuwafsnya Wachina wenyewe kwa wenyewe kuanza kupigana vita wakichonganishwa na mabeberu hao hao ksma mnavyo ona vita Vya Ukraine ni kama ndugu tu lakini wanapigani kwa maslshi ya mabeberu. Ni watu wachache wanao jua kwamba Uchina hapo zamani Uchina ilikiwa imepiga hatua kubwa sana katika masiala ya sayansi hata kuliko hao Wazungu mnao- wasujudu masaa yote!!
Umeeleza vizuri sana mkuu kuhusu vumbuzi za kisayansi zilizo fanywa na wachina, asipo kuelewa atakuwa na matatizo ya uelewa.
 
Porojo tu hizo, hao wavimba macho hawana lolote ni upigaji chabo tu ndio wanajua. Bure kabisa.
 
Sijui nikujibu nini!! Yaani kwa mawazo yako sayansi inamaanisha nini kwako?? Labda tuanzie hapo-kuna imani/dhana nyingine zinashangaza sana sana.
Tukiacha ushabiki, sayansi bora ya kidunia imetokea nchi za ulaya na magharibi. Hata bidhaa zao na huduma zao zinaonekana kuwa bora zaidi.
 
Waswahili bwana!! Yaani huna hata habari kwamba karatasi unayo tumia hivi sasa wavumbuzi wake walikiwa ni wachina na sio wazungu, pia kalamu na wino wavumbuzi wake ni wachina haya tuje kwenye highly accurate mathematical calculator au tuseme manual komputa (abacus)walikuwa ni wachina na zinafanya kazi mpaka leo, tukija kwenye uvumbuzi wa gunpowder na solid fuel rockets na mizinga wavumbuzi ni wachina vile vile, utangenezaji nguo including silk kwa kutumia manual looms ni uvumbuzi wa wachina, hapo hatujagusia utengenezaji wa saani za chakula, vikombe sourcers,birika za chai etc.

Zipo vile vile manual duplicating machine, unatumia karatasi special na pen una andika alphanumerical charaters zako pamoja na diagrams inclunding graphs and what have you baadae unaweka master kwenye flat surface unatumia wino na roller unatoa copy hata million moja ukitaka. WALIO VIMBUA matumizi ya simaku ni Wachina walizumia kuunda compass kwa ajili ya kuongozea vyombo/Meli kuonyesha mwelekekeo kwenye vyombo vya baharini walikuwa - Haya tuje tuzungumzie masuala ya foundries za ku-forge metal na alloys ukweli ni kwamba mapioneers walikuwa ni Wachina.

Mwisho nataka kuwakumbishe kwa mara nyingine tena kwamba wanadamu wenye IQ kubwa Duniani majority ni wenye asili ya Orientals yaani: Wachina/Wajapan/Wakorea - Wachina walirudishwa nyuma kimaendeleo na kuibiwa uvumbuzi wao na mabeberu walio kuwa wanawavamia mara kwa mara kwa kuendekeza masuala ya vita vita na kuwafsnya Wachina wenyewe kwa wenyewe kuanza kupigana vita wakichonganishwa na mabeberu hao hao ksma mnavyo ona vita Vya Ukraine ni kama ndugu tu lakini wanapigani kwa maslshi ya mabeberu. Ni watu wachache wanao jua kwamba Uchina hapo zamani Uchina ilikiwa imepiga hatua kubwa sana katika masiala ya sayansi hata kuliko hao Wazungu mnao- wasujudu masaa yote!!
Yakianza kuzungumzwa yaliyovumbuliwa ulaya na america thread haitatosha. Tukubali tu kuwa magharibi wako mbali kwa kila kitu. Sio pesa, siasa, teknolojia n.k
 
Porojo tu hizo, hao wavimba macho hawana lolote ni upigaji chabo tu ndio wanajua. Bure kabisa.
Watanzania bwana!! Sasa unawatukana Wachina waliwahi kukwaza nini kimaisha?? Nina uhakika kwamba asili mia karibu 90.8% ya vitu unavyo vitumia nyumbani kwako vinatoka Uchina - naona ungekuwa walao umekwenda shule na kusoma kuhusu masuala ya sayansi na teknolojia - husingeweza kuleta lugha za mitaani hata kidogo - FYI, Wachina wanatumia mbongo zao katika kuchangia masuala ya sayansi na teknolojia Duniani na kuchapisha tafiti zao za kisayansi ambazo ni mpya kabisa na za kushangaza - wafatiliaji wa masuala haya wala hatushangwazwi na maendeleo ya kisayansi na teknolojia kuhusu Taifa la Uchina - nyinyi endeleeni na dharau zenu.

Siku moja kwenye mkutano huko Merikani waliwahi kuhojiwa Wamerikani wenye chuki binafsi kuhusu Uchina na watu wake - kwamba kama kuna Mmerika yeyote ambaye hana kifaa chochote nyumbani kwake ambacho hakikuundwa Uchina anyoshe mkono juu - wote walikaa kimya i.e hakuna aliye nyoosha mkono hata mmoja.
 
Wajinga kama wewe ndio mtaji wa CCM katika kung'ang'ania madaraka pamoja na kutokuwa na uwezo wala akili. Hivi unajua kuwa ukimtaja Mmarekani na Mchina yupo tena wale wenye akili ambao hawakuweza kuvumilia ujinga nchini mwao wakahamia Marekani kwenye uhuru zaidi, fursa zaidi na akili zaidi!

1675956897130.png
1675957084502.png
1675957136673.png
1675957222409.png

1675957434213.png
1675957466666.png

Hapo juu usidhani uko China, uko mjini San Francisco Marekani. Marekani ni ya wote hata Wakwere na Wasukuma wapo!
 
Wajinga kama wewe ndio mtaji wa CCM katika kung'ang'ania madaraka pamoja na kutokuwa na uwezo wala akili. Hivi unajua kuwa ukimtaja Mmarekani na Mchina yupo tena wale wenye akili ambao hawakuweza kuvumilia ujinga nchini mwao wakahamia Marekani kwenye uhuru zaidi, fursa zaidi na akili zaidi!

View attachment 2511759 View attachment 2511764 View attachment 2511765 View attachment 2511767
View attachment 2511772 View attachment 2511773
Hapo juu usidhani uko China, uko mjini San Francisco Marekani. Marekani ni ya wote hata Wakwere na Wasukuma wapo!
China town zipo nchi nyingi sana mkuu na wala sio hiyo sababu uliyo sema wewe.

Wachina wapo sehemu mbalimbali duniani kutafuta maisha lakini sio hicho ulichosema wewe huku Afrika katika nchi mbalimbali wame jazana sana.

Angalia Singapore na Malaysia walivyo jazana.
 
Back
Top Bottom