Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

US anakoromewa na nchi ambazo hapo awali hazikiluthubutu kutoa kauli yoyote kwa US... US sio wa kuomba mazungumzo na NK au Iran sasa yanatokea haya. Marekani amekata kauli mda ndo umebaki kusema
 
.
tapatalk_1578137512168.jpeg


Jr
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
Hii mada yako unaikumbuka?
Haikuumizi kichwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhhh
Mi natamani Africa tuungane na kutengeneza mataifa matano tu tukayaita majimbo na tukawa na rais wetu mmoja mwenye nguvu,utaona wazungu watakavyotuamkia shikamoo kila kukicha, UNITE STATE OF AFRICA itatisha
Wengi 2na like k2 kma hiki one day ki happen ila tunajua kbsa nijambo ambalo haliwezekaniki or liko mbali mnoo


Waafrica cjui 2nakwamia wap na kkwamishwa na nn


Ila unafiq una2maliza mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somalia ipi !!??
Hata tukiungana wote bado hatuwezi kufanya chochote.Ukubwa wa pua sio wingi wa Makamasi.
DRC ni nchi kubwa sana lakini inasumbuliwa na Rwanda kama mtoto.
Afrika bado tuna safari ndefu sana ya kuweza kuifikia USA.
Naamini USA inaweza kuporomoka karne nyingi zijazo lakini siamini kwamba nafasi yake itachukuliwa na nchi za Mashariki.Nina imani nafasi yake huwenda ikachukuliwa na nchi kama Somalia ambazo kipindi hicho zitakuwa zimeshatulia na kufanya mambo kwa kuheshimiana.
Umeanza vyema mnooo ila kumalizia ss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom