Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Its like it was written ......USA will fall the dollar will fall and Russia na China will rise...and then the war then the Jews control the world n bring the Ant-C.
Naona unaongea kiBongoMovie
 
 
Sishangai madai ya ''kudukuliwa'' na Russia kwa DNC na Uchaguzi Mkuu kama ni kweli(conclusively) ama la..Nachoshanga ni the so called ''Greatest Nation On Earth''(Kama tunavyoaminishwa/hata kama ni uhalisia) kubaki kuwa crybaby...Hivi ka nchi kama Libya (enzi za Gadafi) wangefanya hivyo(kuhack)...wangekuwa washafanyiwa kitu mbaya siku nyingi...Na hao Russia ''ubavu'' wanaupata wapi kuichokonoa Marekani kwenye sensitive issue kama uchaguzi wa Rais?
Electronically Russia yuko juu kuliko marekani. Na Maswala ya anga
 
Wachina wamewambia wasije sema hawaja wapa us onyo!! China atakapo jibu wasiombe poo!!
1112455

 
Lakini ukisoma hapo wame andika msambazaji mkubwa kwa marekani na sio kwa dunia mkuu.kwahiyo hapo soko linaweza hama kwa wazalishaji wengine kama vietnam,kongo,Brazili etc
Ni mtazamo tu mkuu
Yange kuwa yana patikana kwa wingi huko kongo na Brazil ingekuwa sio tatizo tatizo yana patina china kwa wingi kuliko sehemu yoyote Duniani!!!!
1112824

About 35% of rare earth global reserves are in China, the most in the world, and the country is a mining machine, producing 120,000 metric tons or 70% of total rare earths in 2018, according to the United States Geological Survey. The U.S. pales in comparison as it mined 15,000 metric tons of rare earths in 2018 and has a total of 1.4 million metric tons of reserves, versus China's 44 million
 
Waliamini katika uzalishaji mali na wakadhani wenzao ni wavivu tu...tukianza kuzalisha mali wanatufunga kamba ..sasa Huawei kaanza nao...Ole wao maana zao lao kubwa for export ni USD ..si wanachapisha?Ngoja tuanze kununua Oil kwa Shiling..hali itakuwa TETE.
 
Waliamini katika uzalishaji mali na wakadhani wenzao ni wavivu tu...tukianza kuzalisha mali wanatufunga kamba ..sasa Huawei kaanza nao...Ole wao maana zao lao kubwa for export ni USD ..si wanachapisha?Ngoja tuanze kununua Oil kwa Shiling..hali itakuwa TETE.
Tatizo linakuja wewe ndio mwenye kuzitengeneza mwenzako anakuwa nazo nyingi kupita kiasi anaweza nunuwa chochote chako!! Na kukukopesha hizo hizo USD Dunia kuna mahesabu makali Sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom