Mnaopenda kujua mrusi alidukua nini ndo mtashangaa mkijua,
kumbe hilaly na group walikuwa wanatoa makafara watoto wadogo wa kike,wanafanya ibada za kishetani.
Nenda thetruthseeker.com
ukajisomee ushangae.
Mwenyewe hilaly anadai ni fake news.
Lakini kuna ushahidi mkubwa tu wa msimamizi wake wa kampeni amehusika kuteka watoto,kuwanajisi na kisha wanauliwa

Hahahaha
Cheki hii
Ndiyo mambo ya kuigaBreathless![]()
![]()
![]()
Mimi ni mtanzania.Mbona hamzamii kwenda Moscow?
Sasa kama hujaelewa ndugu kama ulivyokiri mwenyewe kwanini uanze kurukaruka kama bisi kikaangoni...ukisikia kuanguaka kwa taifa unadhani ni kitu cha karne moja? Au kilichokuchanganya ni hizo picha za Trump?Mbona una hoja nyepesi kama za mashabiki wa Hilary?
Marekani inaweza kupotea ktk ramani kama Dola ya Persia, Greece na Rome.
Ila sababu zako hazina mashiko na ni za kuokoteza.
Kama Trump atafanya alivyoahidi (uteuzi wako unaonesha kama atafanya) basi tarajia Amerika yenye nguvu sana kuliko nyakati za Obama.
Sijaelewa kwa nini Unadhani Marekani ni weak. Au kwa sababu ya udhaifu wa Rais Obama?
Rhetorics huwa hazina msaada katika majadiliano ya maana. Hakuna sababu uliyotoa ya maana hapo yenye ukweli kuwa Marekani itaanguka kwa sababu hiyo. Sijaelewa kwa nini unadhani kwa sababu dhaifu hizo zina justify hitimisho lako.Sasa kama hujaelewa ndugu kama ulivyokiri mwenyewe kwanini uanze kurukaruka kama bisi kikaangoni...ukisikia kuanguaka kwa taifa unadhani ni kitu cha karne moja? Au kilichokuchanganya ni hizo picha za Trump?
Hebu weka basi hizo hard facts kuwa kwasasa marekari haichechemei! Nyuma ya hizo picha unazoita za kitoto zimebeba ukweli mwingi ambao wale diehards wa marekari hawawezi kuona! Si unajua ukipenda chongo huona kengeza?Rhetorics huwa hazina msaada katika majadiliano ya maana. Hakuna sababu uliyotoa ya maana hapo yenye ukweli kuwa Marekani itaanguka kwa sababu hiyo. Sijaelewa kwa nini unadhani kwa sababu dhaifu hizo zina justify hitimisho lako.
Usihamishe magoli. Hakuna mahali nimesema ni kitu cha karne moja au nimesema chochote kuhusu picha za kitoto ulizoweka. Hizo ni picha tu.
Uje na hard facts na sio Blah Blah!
WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisaMfamaji kamwe haishi kutapatapa marekani hatakubali kushindwa kirahisi lakini ndio hivyo tena wakati si milele
Waliomtangulia nao walisema hivyo. Ungewahi fikiri uingereza ingekuja kufulia hivyo?Mfamaji kamwe haishi kutapatapa marekani hatakubali kushindwa kirahisi lakini ndio hivyo tena wakati si milele
Itafanyiwa fitina hiyo mpaka keroMi natamani Africa tuungane na kutengeneza mataifa matano tu tukayaita majimbo na tukawa na rais wetu mmoja mwenye nguvu,utaona wazungu watakavyotuamkia shikamoo kila kukicha, UNITE STATE OF AFRICA itatisha