Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
You sure😂😂😂😂😂😂
 
Mimi sio msabato ..kasome kitabu cha Daniel juu ya pembe ndogo mbili..

Sent using Jamii Forums mobile app

Danieli 7:7 “Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana; alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi.”

Danieli 7:8 “Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang’olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho kama macho ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu.”

Haya Marekani imetajwa wapi hapo boss?

Ayo macho mkuu ..endelea kusoma, zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuibuka kwa State kuwa Super power hakujaja hiv hiv tu mkuu ..ndo tafsiri ya ile pembe ndogo kweny ndoto za Nabii Daniel ..uyu alioneshwa hadi kuibuka kwa vita vya dunia ..wakati huo yeye anaishi Yesu bado hajazaliwa...ivyo alipata neema ya kuona mambo ya miaka mingi badae ..angalia pia kuhusu mfalme wa Kusini na Kaskazini ..(Uingereza na Ujerumani vita ya dunia)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

IMG-20200109-WA0098.jpeg

Jr
 
Waingereza wapo kusini/kaskazini mwa Ujerumani? Jiografia ya wapi hiyo?
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
tusitumie nguvu sana kuwabeza hawa jamaa, wako vizuri , walikuwa wa kwanza kwenda mwezini miaka ya kusini, naona wanaenda kuwa wa kwanza tena kujiwekea kijeshi hukoo anga la mbali
 
Okay.. Ila huu ni mjadala huru
tusitumie nguvu sana kuwabeza hawa jamaa, wako vizuri , walikuwa wa kwanza kwenda mwezini miaka ya kusini, naona wanaenda kuwa wa kwanza tena kujiwekea kijeshi hukoo anga la mbali

Jr
 
Likianguka hili taifa dunia itapumua angalau

Cha ajabu sasa litaibuka tu
Taifa lingine from no where......
Litaanza chokochoko
Na hapo ndipo usemi wa Dunia Tunapita ndio utaonekana hapo
Yaani hapa ni kama vile tupo Darasani!!! Hawakosekani wa2ku2
 
Kuna wakati usione kila kitu ni porojo za mitandaoni labda tu kama hufuatilii nini kinaendelea marekani kuanzia marekani ya Bush Jr mpaka kufikia sass
Kama wenyewe wanakiri kuwa mambo si mambo....lakini wewe unasema ni porojo mmh!

Usiumize kichwa
Hapo mwanzo ulishasema
" wapo watakao chukizwa"

So utabir wako upo sawa
 
Wewe ni mjuzi wa maandiko, umesoma biblia hata elimu dunia haijakupita, Je hukusoma wewe kuwa dunia na vyote vitapita?

Tusubiri hayo mabadiliko mtambuka.
Yaani Urusi itakuwa kimbilio la wanyonge???
MUNGU atufanyie wepesi katika aliyotupangia
Kwaiyo ninyi wanyonge wa bawacha kimbilio lenu no Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom