America ilibarikiwa, ubaya wao wakaenda against the nature!
United States of America ni kwishney walahi!
Amen Ra
Ni kweli kabisa mkuu, kuna kitabu namalizia kukiandika ni riwaya inaitwa.hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!![]()
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!![]()
Watakinunua kwa wingiNi kweli kabisa mkuu, kuna kitabu namalizia kukiandika ni riwaya inaitwa.
The last chance for the US citizens
Based on a true story
Kinahusu anguko kuu la marekani Kwa miaka ijayo, nitakiuza kwenye kampuni zao wenyewe.
WACHA WAFU WAZIKANE... NAMSHUKURU MUNGU. ILE DHAMBI YA KUWAGOMBANISHA NA KUWASAMBARATISHA MATAIFA MENGINE SASA INAWATAFUNA WAO WENYEWE. SYRIA TULIIII. LIBYA TULIII, IRAN TULIII. na wala hatusikii tena sijui MAGAIDI KUMBE WENYEWE WANAFADHILI ILI WAUZE SILAHAA NYAMBAFUUU ZAOOOO.hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!![]()
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!![]()
Pambavu kabisaWACHA WAFU WAZIKANE... NAMSHUKURU MUNGU. ILE DHAMBI YA KUWAGOMBANISHA NA KUWASAMBARATISHA MATAIFA MENGINE SASA INAWATAFUNA WAO WENYEWE. SYRIA TULIIII. LIBYA TULIII, IRAN TULIII. na wala hatusikii tena sijui MAGAIDI KUMBE WENYEWE WANAFADHILI ILI WAUZE SILAHAA NYAMBAFUUU ZAOOOO.
hii ngozi ya kitimoto good observation!kwakweli big brother huko mbelen mambo yanaweza kuwa magumu kwake.....ingawa bado ana pumzi ndefu na ataendelea kusumbua kwenye nyanja za kichumi,kiushawish na kijeshi katika kizaz hiki lakin kwe kizaz kijacho nadhan naye atashuka kuwa wa kawaida kama wenzake kina japan na german na russia amabo nao walisumbua pia sidhan kama china ataweza kurise kuwa superpower kwakuwa mataifa makubwa kama russia,japan,US na india watampa wakati mgumu kwakuwa wote watakua na ambition kama zakwake..pengine dunia itabaki kuwa na regional powers tu enzi za superpower zitakuwa zimekwisha na nadhan usalama wa dunia utakuwa mkubwa zaid kwakuwa kutakuwa na balance of power
Wenye mahaba niuwe na marekani hawataki kulikubali hili
Wenye mahaba niuwe na marekani hawataki kulikubali hili
Qwi Qwi Qwi... Hii imenifanya nicheke kwa Sauti. Anataka kuitabiria na kuilogha US ilhali ameshindwa kulogha Chama cha Mapinduzi (CCM)we uganga wako ni hapahapa, hauwezi kuiloga US.