Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
Well said
 
kwakweli big brother huko mbelen mambo yanaweza kuwa magumu kwake.....ingawa bado ana pumzi ndefu na ataendelea kusumbua kwenye nyanja za kichumi,kiushawish na kijeshi katika kizaz hiki lakin kwe kizaz kijacho nadhan naye atashuka kuwa wa kawaida kama wenzake kina japan na german na russia amabo nao walisumbua pia sidhan kama china ataweza kurise kuwa superpower kwakuwa mataifa makubwa kama russia,japan,US na india watampa wakati mgumu kwakuwa wote watakua na ambition kama zakwake..pengine dunia itabaki kuwa na regional powers tu enzi za superpower zitakuwa zimekwisha na nadhan usalama wa dunia utakuwa mkubwa zaid kwakuwa kutakuwa na balance of power
Nadhani pigo la kwanza kwa china ni hili dubwasha linaloitwa tabia nchi na mkataba walio ingia kuhusu hewa chafu.
 
Mi natamani Africa tuungane na kutengeneza mataifa matano tu tukayaita majimbo na tukawa na rais wetu mmoja mwenye nguvu,utaona wazungu watakavyotuamkia shikamoo kila kukicha, UNITE STATE OF AFRICA itatisha
Na Raisi awe mugabe hah hah hah hah hah
 
Elimu ni Muhimu sana hasa inapofanya kazi yake kusudiwa.yaani kufungua na kufumbua ufaham. Kuna watu kutokana na udumavu wa fikra na chuki kweli wanaweza kufikiria kuwa America isn't a great Nation? hapo ndo tunajua kuna tatizo kubwa sana katika mifumo ya akili zetu. inawezekana kabisa ukawa unaichukia america but that doesn't hide the fact that it is the great nation. whether we like or not, and we have seen her impact in other worlds. you can run, you can hide but you cant run from the truth. i said once "when our minds are so crowded with ignorance we tend to take that ignorance as part and parcel of our way of living"

lets not argue like fools , List of modern great powers - Wikipedia

kuna vitu wewe au mimi kama mimi siwezi kubadili. nipende nisipende vipo hivyo. nitake nisitake. MAREKANI NI DOLA KUBWA. yakiwepo na Mataifa Mengine ya Ulaya na Asia. Ni ukweli usiopingika.

When was it "great"?
 
Elimu ni Muhimu sana hasa inapofanya kazi yake kusudiwa.yaani kufungua na kufumbua ufaham. Kuna watu kutokana na udumavu wa fikra na chuki kweli wanaweza kufikiria kuwa America isn't a great Nation? hapo ndo tunajua kuna tatizo kubwa sana katika mifumo ya akili zetu. inawezekana kabisa ukawa unaichukia america but that doesn't hide the fact that it is the great nation. whether we like or not, and we have seen her impact in other worlds. you can run, you can hide but you cant run from the truth. i said once "when our minds are so crowded with ignorance we tend to take that ignorance as part and parcel of our way of living"

lets not argue like fools , List of modern great powers - Wikipedia

kuna vitu wewe au mimi kama mimi siwezi kubadili. nipende nisipende vipo hivyo. nitake nisitake. MAREKANI NI DORA KUBWA. yakiwepo na Mataifa Mengine ya Ulaya na Asia. Ni ukweli usiopingika.

= dola
 
Why America will not die cheaply. We are in a cobweb of American hegemony...No nation can easily get away from it. Here is the reason:

1) It has significant influence over SWIFT CODE. The Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication (SWIFT) provides a network that enables financial institutions worldwide to send and receive information about financial transactions in a secure, standardized and reliable environment.

2) It is the owner of World Wide Web: an information system on the Internet that allows documents to be connected to other documents by hypertext links, enabling the user to search for information by moving from one document to another.

3) It is the owner of Internet: The Internet is the global system of interconnected computer networks that use the Internet protocol suite (TCP/IP) to link devices worldwide.

4) It has significant influence over United Nations and its related bodies

5) It has the largest number of military bases worldwide. Hence, its readiness to fight wars is high.

6) World Bank and IMF are US's financial strategic weapons to exert its power in the world.

7) The very fact that US Dollar is the reserve currency of the world gives it a lot of power to influence the world economy and shape it in a way that fits its global objectives.
 
Sasa fact zako ziko wap hasa?hauna data zozote,yaani siasa zako ni sawa na stori za vijiweni
 
Sasa fact zako ziko wap hasa?hauna data zozote,yaani siasa zako ni sawa na stori za vijiweni
Halafu na wewe unapoteza muda chaji na MB zako kuzifuatilia...huoni kuwa ni uendawazimu daraja la kwanza?
 
Baada ya kusikia jiji la Aleppo vita imeisha na vibaraka wa USA wakiomba pooh ya kuachwa waondoke kwa amani, moja kwa moja hii ni aibu kubwa ya kushindwa kwa USA

Bado haijawa sababu ya USA kupoteza Power yake ya Uchumi na Siasa Duniani.Kumbuka USA imeshawahi kushindwa sehemu nyingine vilevile kama Somalia na Vietnam.
 
Mi natamani Africa tuungane na kutengeneza mataifa matano tu tukayaita majimbo na tukawa na rais wetu mmoja mwenye nguvu,utaona wazungu watakavyotuamkia shikamoo kila kukicha, UNITE STATE OF AFRICA itatisha

Hata tukiungana wote bado hatuwezi kufanya chochote.Ukubwa wa pua sio wingi wa Makamasi.
DRC ni nchi kubwa sana lakini inasumbuliwa na Rwanda kama mtoto.
Afrika bado tuna safari ndefu sana ya kuweza kuifikia USA.
Naamini USA inaweza kuporomoka karne nyingi zijazo lakini siamini kwamba nafasi yake itachukuliwa na nchi za Mashariki.Nina imani nafasi yake huwenda ikachukuliwa na nchi kama Somalia ambazo kipindi hicho zitakuwa zimeshatulia na kufanya mambo kwa kuheshimiana.
 
Ila kiukweli marekani ya Leo sio ile ya miaka 20 iliyopita kadiri siku zinakwenda ndio inazidi kuporomoka
 
Kwa taarifa yako Africa ingeungana ingekua ni dola kubwa,swala la kuifikia America lingekua ni swala la nyakati,kadri siku zinavyokwenda na mipango mkakati + bidii tungetoka,hata wao America wametoka mbali,miaka ya 1800 huko walianza kupiga hatua,na sisi tungeungana mafanikio yangeonekana hata kwa vitukuu vyetu japo tutapata vikwazo lakini tunaweza kuvishinda kwa sababu ni dola kubwa.inawezekana bhana.
 
Ila kiukweli marekani ya Leo sio ile ya miaka 20 iliyopita kadiri siku zinakwenda ndio inazidi kuporomoka
Sio kweli kama unaongelea Economy...US is more stronger kiuchumi kuliko miaka ya nyuma angalia number zako vizuri zipo all over the net educate yourself
 
Kwa taarifa yako Africa ingeungana ingekua ni dola kubwa,swala la kuifikia America lingekua ni swala la nyakati,kadri siku zinavyokwenda na mipango mkakati + bidii tungetoka,hata wao America wametoka mbali,miaka ya 1800 huko walianza kupiga hatua,na sisi tungeungana mafanikio yangeonekana hata kwa vitukuu vyetu japo tutapata vikwazo lakini tunaweza kuvishinda kwa sababu ni dola kubwa.inawezekana bhana.
Kenya na TZ tuu imeshindikana jee yule jujuman wa Banjul atakubali kweli? dini,ukabila,ujinga etc ni kikwazo kikubwa sana Africa isiungane,angalia tuu arguments za wasomi wa kukariri wa UD or wabunge wajaa vitambi wakati wa debate ya uraia pacha or East African federation utagundua unachoongea ni ndoto kwa Africa
 
Back
Top Bottom