Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Mkuu kama ukifuatilia kwa makini ile ndoto ya mfalme Nebukadneza juu ya sanamu lenye kichwa za dhahabu, kifua cha fedha, tumbo na miguu ya chuma, pamoja na vidole vyenye mchanganyiko wa Chuma na udongo.. Ivyo kuanguka kwa USA kutapeleka kuibuka kwa mataita mengi yenye nguvu na dhaifu...

Labda China ndo mojawapo apo..cheki India, Turkey, Brazil..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichagiza nikachimbe tena[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu kama ukifuatilia kwa makini ile ndoto ya mfalme Nebukadneza juu ya sanamu lenye kichwa za dhahabu, kifua cha fedha, tumbo na miguu ya chuma, pamoja na vidole vyenye mchanganyiko wa Chuma na udongo.. Ivyo kuanguka kwa USA kutapeleka kuibuka kwa mataita mengi yenye nguvu na dhaifu...

Labda China ndo mojawapo apo..cheki India, Turkey, Brazil..

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Umeelewa maana ya "Mfalme wa kusini" na "Mfalme wa kaskazini"? Unadhani Uingereza na Ujerumani kupigana vita za dunia zote mbili kuliibuka tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mtu mwenyewe akili ya kawaida akisoma Biblia kama novel bado HAWEZI kuhitimisha kuwa "Mfalme wa kusini" au "Mfalme wa Kaskazini" watatokea Uingereza au Ujerumani. Biblia iliandikwa Israel ikiwa ndio Central point. Na si Uingereza wala Ujerumani iliyo kusini au kaskazini mwa IIsrael.
 
Mimi naongelea kwa khabari ya matukio ya dunia ..kama hivyo WW1, na WW2 ni matukio yaliyotajwa kwa namna nilivyokuambia .."mfamle wa kusini na kaskazini" ..kumbuka vita hivi vilipigana baina ya pande mbili ..Uingereza pamoja na wenzake, kama Russia, France, baadae akaingia USA ..dhid ya Ujerumani, Italy na mataifa mengine mengne yaliyoungana na kutengeneza pande mbili "Triple allies na " Triple entente " ndo maana khalisi ya "mfalme wa kusini" akijumuisha Uingereza na wenzake "mfalme wa kaskazini" akijumuisha Ujerumani na wenzake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana bro ni kweli iko siku US itaanguka,ila jambo moja la muhimu kuongezea ni kuwa MWISHO WA AMERICA NDIO MWISHO WA ALL POWERFUL SUPER POWERS,hakutakuwa na taifa moja kubwa baada ya hapo.Patakuwa na SERIKALI MOJA DUNIANI na huo ndio mwisho wa enzi kwa Dunia yetu,kiama kitakuwa kinaingia taratiibu mdogo mdogo.
Yuko mfalme mmoja behind all modern superpowers,anaitwa UFALME WA CHUMA.US,RUSSIA,CHINA etc wote ni watumishi wake.
Huyo ataibuka kutawala mwenyewe kama mfalme wa dunia,sio individual state kama zilivyokuwa US,Russia,Persia,Greece etc.
Pale "wenye misimamo yao" duniani kisiasa,kiutamaduni,kidini etc watakapompinga na kutaka kuwa huru ndipo varangati la "Armageddon litakapotokea na mwenyewe mwenye viumbe wake AISHIYE HUKO ANGA ZA MBALI atakuja na kuingilia kati,end of human era.
Sitaki maswali kabisa mie,kwaherini.
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
The Era of america has gone forever and history has written by stone on the hearts of men and what she did
 
Mnajidanyanya nyingi....wapo watu Serikali ya America wanawaza baada ya miaka 50 america itakuwaje....mmekalia humu Jamiiforum porojoporojo hata hujui hatma yako Kesho itakuwaje....

Hivi unajua kuwa U Super Power wa America haujafikisha walau umri wa Karne moja lakin kuna Taifa lilikuwa Super power over Centuries?

Hata U Super Power wa US wa Miaka ya 1990-2010 na wa sasa umepungua?

Miaka 10 ya Nyuma Sasa hivi Tungekua tunahesabu Idadi ya Ndege za Kivita za America ndani ya Anga la Tehran!

Iraq ilipigwa bila ya Kibali cha UN na NATO ikashurutishwa na Us iingie Vitani na ikaingia

Leo hii US inajitoa kwenye Mkataba wa Nuclear wa Iran lakin EU inagoma kujitoa

Nakwambia ingekuwa zamani basi mpaka muda huu kina Ayatollah wangekuwa tayari wapo kwenye Mahandaki kukwepa Makombora

Saddam na Ghadafi hawakufikia walau robo ya ‘ujeuri na Kiburi ‘ cha Mashia wa Iran lakin walipelekewa Moto

Leo hii Congress inapinga Rais kwenda vitani hadharan kwa njia ya kura?
 
Sitaki maswali kabisa mie,kwaherini. [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]dah umenikata kalima nilikuwa nayo mengi tuu.. Umechambua vizuri hata hivyo
Mshana bro ni kweli iko siku US itaanguka,ila jambo moja la muhimu kuongezea ni kuwa MWISHO WA AMERICA NDIO MWISHO WA ALL POWERFUL SUPER POWERS,hakutakuwa na taifa moja kubwa baada ya hapo.Patakuwa na SERIKALI MOJA DUNIANI na huo ndio mwisho wa enzi kwa Dunia yetu,kiama kitakuwa kinaingia taratiibu mdogo mdogo.
Yuko mfalme mmoja behind all modern superpowers,anaitwa UFALME WA CHUMA.US,RUSSIA,CHINA etc wote ni watumishi wake.
Huyo ataibuka kutawala mwenyewe kama mfalme wa dunia,sio individual state kama zilivyokuwa US,Russia,Persia,Greece etc.
Pale "wenye misimamo yao" duniani kisiasa,kiutamaduni,kidini etc watakapompinga na kutaka kuwa huru ndipo varangati la "Armageddon litakapotokea na mwenyewe mwenye viumbe wake AISHIYE HUKO ANGA ZA MBALI atakuja na kuingilia kati,end of human era.
Sitaki maswali kabisa mie,kwaherini.

Jr[emoji769]
 
Nakwambia ingekuwa zamani basi mpaka muda huu kina Ayatollah wangekuwa tayari wapo kwenye Mahandaki kukwepa Makombora

Saddam na Ghadafi hawakufikia walau robo ya ‘ujeuri na Kiburi ‘ cha Mashia wa Iran lakin walipelekewa Moto

Leo hii Congress inapinga Rais kwenda vitani hadharan kwa njia ya kura? [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Back
Top Bottom