CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Umenisuuza roho, haya mwanangu charminglady kamu zisi weyi Vin Diesel anajieleza
Mummy achana na huyo ..... Yupo huku na huko mie hata simtaki!!!
Last edited by a moderator:
Umenisuuza roho, haya mwanangu charminglady kamu zisi weyi Vin Diesel anajieleza
MDOGO WANGU WA MOYONI MARAHABA. HAPPY BELATED VAL'' DAY.
HUYU @nakufa mpenzi wangu ASKUWAZISHE HAWEZ KUSEMA HUBBY ALIKUWA NAITWA NA MTU, KISHA LEO AKASEMA YEYE KALIDESA KUJA KULITUMIA HUYU DEFINITELY NI KE ILA ANATAKA KUPOZI KAMA ME NA HII ID NI FAKE KWANI ANAONEKANA NI MZOEFU WA HAPA JAMVINI.
KANMA SIO KAFIKAJE LEO TUPO HAPA NA SERENA?? NA JE ALIWAJUA VIPI WANA CC?? HIZI NI MIONGONI MWA MULTIPLE ID"S MODS FANYENI KAZI YENU.
Hahahaaaaa..... Nina raha ajeeeeeee..... Inv ashafanya kazi yake... Yeuwiiiii sijui nimpe zawadi gani???
Hahahaaaaa..... Nina raha ajeeeeeee..... Inv ashafanya kazi yake... Yeuwiiiii sijui nimpe zawadi gani???
Niombe samahani Avatar na User name fake kwa kosa gani?
Ukarimu na Ucheshi wa Jf Chit Chat ulinifanye nijiunge na Jamii Forum, nilikua na peruzi kwa kutumia ID ya mfanyakazi mwenzangu yupo humu humu Chit Chat, ila sasa ivi yeye kajitoa kwa mda kwa ajili ya majukumu ya kiofisi mda mwingi anakua nje ya mtandao, ndio maana haijawa shida mie kuzoe mazingira ya humu jamvini.
ah ah ah...!
Hawa baada ya kutoka serena naona wameludi makwao, hapa kwa Mjeda nimetoka kama dk 15 zilizopita hawapo
naomba kujuzwa hivi huyu anayejiita sir kernel ndo @nakufa mpenzi wangu???
Niombe samahani Avatar na User name fake kwa kosa gani?
Hahahaha....kweli nimeamini kwa nini ulikua mkali, next time watch your steps loh!!! "I am dying my love" has been merged with .....
Mummy achana na huyo ..... Yupo huku na huko mie hata simtaki!!!
naomba kujuzwa hivi huyu anayejiita sir kernel ndo @nakufa mpenzi wangu???
Mie bado nakutaka.....yaani tumeshindwa kumalizana wawili hadi tuitishe kikao cha jumuiya?
Jamani mie sikutakiiiii..... Paloma mfuate mmeo.mie simtaki khaaaaa!!!!!!
halafu mdogo wanu huyu Vin Diesel hakufai kabisa mpaka leo hajalipa faini ninayomdai..............muulize anajua alinikosea.
Jaman jaman....mbona unanididimiza kabisa kwenye harakati zangu za kulinda ndoa hapa....
Mie niliahidi kurekebisha makosa yangu....nipe muda na nafasi pulizi
hapana kama hata shemeji ambaye kwa nafasi nyingine ndiye aliyepokea mkaja wa mama unamtenda visivyo huyo mkeo je?? si zaid ya hayo??
Aaaah wapi....huyu charminglady nitamlinda sana kuliko kitu au mtu yoyote.....hebu nitetee kidogo
lipa fine kwanza ndo nikutetee