Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Nikija hapo naweza pata hubby wa kuniliwaza?
Ulisema wewe ni ME. Leo unataka hubby wa kukuliwaza? Au wewe ni ndugu yake Boflo?
Last edited by a moderator:
Nikija hapo naweza pata hubby wa kuniliwaza?
Ulisema wewe ni ME. Leo unataka hubby wa kukuliwaza? Au wewe ni ndugu yake Boflo?
Nimetoa ufafanuzi wa kwanini hilo neno nimeandika, sioni tija wala mantiki ya nyie kulikazania huku nikiwa nimetoa ufafanuzi tayali...
hahahahaha. Ngastuka. Machale kundesa.
measkron.....your daughter charminglady is my number one girl....hajiamini tu na anaona umbali wetu kuwa kikwazo...tafadhali ongea nae
sema kijana naona binti amesikia
Duh, hawa mabinti watanivunjia ndoa..
Mbona mmesahau kumtaja mama Ngina kuwa na yeye yuko hapa.....
King'asti akiona hii maneno lazima atajifanya FBI,
Kwanini hujibu sms zangu?khaaa! inamaana mie ndo sikustahili huu mwaaliko ama???
Happy Valentine's day my love.....
Kwanini hujibu sms zangu?
Hebu njoo PM mpenzi nikuambie kitu kitamu.Babu nilikukosa sana!
Hebu njoo PM mpenzi nikuambie kitu kitamu.
Nakupenda sana, and I mean it.Nshafika ujue huku kwa Prime Minister!!Fanya haraka unijuze hicho kitu kiamu..
Samahani mkuu.... Hapo kwenye RED ulimaanisha nini??? Huenda sikuelewa!!!!
Nisubiri hapo hapo....I have an announcement to make
mambo mtumishi