Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Hata mimi nashangaa....

naomba kukuuliza swai wewe umejiunga juzi tu umesha pajua leo tupo hapa pub?? kwa siku tatu na post zako 50 umesha make friends na kuwa mwenyeji kiasi hiki?? samahan kama ntakuudhi mpendwa
 
Kwanini hujibu sms zangu?
with due respect, i am real very sorry for what i have done to you.
you know how much you are a good friend to me and how much you deserve the best out of me.

on bended knees with full of respect and love am sorry dear Asprin.
 
Last edited by a moderator:

Nipe copy mimi pia kwa sababu nami ni muhanga.
 
Last edited by a moderator:
NAONA UNAVUKA MIPAKA SASA, NIMEKUELEWESHA KWANINI NILILIANDIKA, ILA BADO UNAKOMALIA. ujawai kuona mtu anaandika kitu au neno kutokana kulisikia wakati anaandika? Pls nakuomba uondoe iyo post hapo tena uliyo ikoleza rangi, na hii ambayo nai quote..

Acha mikwara weweee....kwani si we mwenyewe umeandika ulichoandika khaaa!!!....kama umekosea unaomba samahani sio kutishitishia watu.
Kama umekasirika basi meza hiyo dadavuzi yako
 
Niombe samahani Avatar na User name fake kwa kosa gani?
Acha mikwara weweee....kwani si we mwenyewe umeandika ulichoandika khaaa!!!....kama umekosea unaomba samahani sio kutishitishia watu.
Kama umekasirika basi meza hiyo dadavuzi yako
 
ahahahaaaa...........lile bana tumuachie mweyewe....nahisi limeshanyauka..........
msalimie mamy!!!
Kwa hiyo lile lilikuwa ni analogia? Mie nataka la digitali kama ndio hivyo!!!
Mamy hajambo,naye anakusalimia
 
mie mzima tu! majukumu ndo yananifanya nabipbip humu! vipi hali yako na famile yako?

tu wazima kabisa mamii ila tu wewe umenipotezea ile mbaya ama umesusa kuja kijijini?? karibu bana his time ule japo bata lolz!
 
tu wazima kabisa mamii ila tu wewe umenipotezea ile mbaya ama umesusa kuja kijijini?? karibu bana his time ule japo bata lolz!

usijali kipenzy. mie napendaga za kijijini, kutaaamu ati...manake kama ni bata unampata orijino1
ngoja niweke mambo sawa ntakucome that way soon!
 
Ukarimu na Ucheshi wa Jf Chit Chat ulinifanye nijiunge na Jamii Forum, nilikua na peruzi kwa kutumia ID ya mfanyakazi mwenzangu yupo humu humu Chit Chat, ila sasa ivi yeye kajitoa kwa mda kwa ajili ya majukumu ya kiofisi mda mwingi anakua nje ya mtandao, ndio maana haijawa shida mie kuzoe mazingira ya humu jamvini.
sasa kwa kujiunga tu majuzi umeweza kuwajua wana CC kwa sura?? mnake umesema umekwenda leo tupo hapa sasa umepajuaje?? na ulihakikisha vp kwamba ulowakuta sio wana CC??
 
Kwa hiyo lile lilikuwa ni analogia? Mie nataka la digitali kama ndio hivyo!!!
Mamy hajambo,naye anakusalimia

lile analojia haswaaa..........afu Jeska naye naskia aliopoa la kidijitali....simuwezi! muulize hiyo dijito channel zinashika vizuri au zingine hazionekani? maana malalmiko ya dijito yalikuwa mengi ati.........
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo dada mkubwa... Happy Valentine... Kiukweli hata mie kanichanganya kama sio kunimix.. Kuna mahali kaandika "Nikija hapo (yaan serena) nitapata hubby wa kuniliwaza"

Mie nikamjibu "Wote waume za watu bidada".... Mwee kidogo anitoe majicho.....
Hivi nini maana ya neno "hubby"????

MDOGO WANGU WA MOYONI MARAHABA. HAPPY BELATED VAL'' DAY.
HUYU @nakufa mpenzi wangu ASKUWAZISHE HAWEZ KUSEMA HUBBY ALIKUWA NAITWA NA MTU, KISHA LEO AKASEMA YEYE KALIDESA KUJA KULITUMIA HUYU DEFINITELY NI KE ILA ANATAKA KUPOZI KAMA ME NA HII ID NI FAKE KWANI ANAONEKANA NI MZOEFU WA HAPA JAMVINI.

KANMA SIO KAFIKAJE LEO TUPO HAPA NA SERENA?? NA JE ALIWAJUA VIPI WANA CC?? HIZI NI MIONGONI MWA MULTIPLE ID"S MODS FANYENI KAZI YENU.
 
usijali kipenzy. Mie napendaga za kijijini, kutaaamu ati...manake kama ni bata unampata orijino1
ngoja niweke mambo sawa ntakucome that way soon!

karibu sana my dearest.
 
Hahahaaaaaa...... Hajui kucheza na multiple IDs.... :becky: :becky:

watu kama hawa huwa wanakera sana jamani yaani anatuhadaa hapa eti @nakufa mpenzi wangu huku ana pozi kama me kumbe ni ke hana lolote huyu sasa dawa yake namkera hadi akimbie mwenyewe kama kwa AP nilivyomkera
 
Back
Top Bottom