Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Nilitamani sana kuepo lakini mke wangu akanambia twende kwa Chris Mauki pale Benjamin tower
 
with due respect, i am real very sorry for what i have done to you.
you know how much you are a good friend to me and how much you deserve the best out of me.

on bended knees with full of respect and love am sorry dear Asprin.
Forgiven and Forgotten.
 
sasa kwa kujiunga tu majuzi umeweza kuwajua wana CC kwa sura?? mnake umesema umekwenda leo tupo hapa sasa umepajuaje?? na ulihakikisha vp kwamba ulowakuta sio wana CC??

Heshima yako mwalimu.
Hivi huyo rafiki yenu mwenye multiple IDs bado tu hamjamjua kweli?
Kila event ya Dar Wing mnakuwa nae tena mstari wa mbele kabisa.
 
Leo tangu mchana nakutwangia simu zako zote hazipatikani, nikajiuliza uko wapi?

Bibie hata hujui umuhimu wa mobile phone usawa huu wa Valentine Day, nikajua umefichwa mahali...........LOL

mi ukanitwangia kwenye pipa kabisa nisinyanyuke kuja huko...... tukionana panachimbika
 
Heshima yako mwalimu.
Hivi huyo rafiki yenu mwenye multiple IDs bado tu hamjamjua kweli?
Kila event ya Dar Wing mnakuwa nae tena mstari wa mbele kabisa.

huyu nshamjua sana mwali wala hanipi tabu kabisaa manake hua namlipua tu kama jinsi huyu nilivyomlipua mwishowe id zikawa merged
 
Back
Top Bottom