Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

Watu wa R Chuga mtanunaje....
Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu....

Mzee Mtambuzi anamwaga stori zake za kufumaniwa na vituko vya uswahilini, yaani tunacheka hadi watu wanatushangaa.......

Wapi Madam B, gfsonwin, mwaJ, Swts, Nyamayao, Erickb52, Filipo, Mungi, Don Mangi, Arushaone, Asprin, Ruttashobolwa, Fidel80, amu, snowhite, kipaji halisi, watu8, Mamndenyi, MadameX, Lisa, nivea, King'asti... Hebu njooni pande hii tusongeshe......
....hahahahahaha..naona hii ilikua kimya kimya....wengine ilikua hatuhusiki nini..?
 
vp jamani pale Kebb's ndo hamrudi tena? Nilifurahi sana siku ile kuwahudumia vinywaji yaani hapa najua nani anapendelea kunywa nini, siku yoyote mkipata fursa kuja Kebb's ombeni muhudumiwe na Zanta
 
Back
Top Bottom