Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 796
Watu wa R Chuga mtanunaje....
Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu....
Mzee Mtambuzi anamwaga stori zake za kufumaniwa na vituko vya uswahilini, yaani tunacheka hadi watu wanatushangaa.......
Wapi Madam B, gfsonwin, mwaJ, Swts, Nyamayao, Erickb52, Filipo, Mungi, Don Mangi, Arushaone, Asprin, Ruttashobolwa, Fidel80, amu, snowhite, kipaji halisi, watu8, Mamndenyi, MadameX, Lisa, nivea, King'asti... Hebu njooni pande hii tusongeshe......
siku nyingine mrudi tena Kebb's tumewamiss