Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Pande za Mwanza kuna special valentine event ina happen maeneo flan hivi. Ni full ku enjoy...
Nikija hapo naweza pata hubby wa kuniliwaza?
Hebu njoo pande hizi, ukifika uliza Mzee Mtambuzi utanipata niko kaunta nakamata Gin and TonicJuliana Shonza nampenda sana tu kama ana weza tukutane hapa Southen Sun
So sad... Haya.mwaya enjoy... ama kweli fimbo ya mbali haiui nyoka!!!
![]()
Nimekumiss je?
Hebu njoo pande hizi kwanza maana tukitoka hapa tutakesha kwa Mjeda
Huyo yuko ZNZ, hapa kuna Mr. SambaiMsalimieni Charles Mbuya hapo! !
Mbona vitisho tena...!Una kesi ya kujibu....
Watu wa R Chuga mtanunaje....
Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu....
Mzee Mtambuzi anamwaga stori zake za kufumaniwa na vituko vya uswahilini, yaani tunacheka hadi watu wanatushangaa.......
Wapi Madam B, gfsonwin, mwaJ, Swts, Nyamayao, Erickb52, Filipo, Mungi, Don Mangi, Arushaone, Asprin, Ruttashobolwa, Fidel80, amu, snowhite, kipaji halisi, watu8, Mamndenyi, MadameX, Lisa, nivea, King'asti... Hebu njooni pande hii tusongeshe......
Mbona vitisho tena...!
Hapa ni mwendo wa vimiminika tu
Halafu bila kusahau ku dance na LIVE BAND
Wote waume za watu bidada.... Angalia usijechezea vitu vyenye ncha kali ohooooo!!!!!
Hebu njoo pande hizi, ukifika uliza Mzee Mtambuzi utanipata niko kaunta nakamata Gin and Tonic
Yeah, ndio tunajiandaa kuondoka sasa.....mtakua hapo hadi saa ngapi? maana naona kuna mtu kaandika mnaelekea kwa Mjeda...
Mpe hi huyo mkenya best yangu mbayaa!!Huyo yuko ZNZ, hapa kuna Mr. Sambai
Hapa ni mwendo wa vimiminika tu
Halafu bila kusahau ku dance na LIVE BAND
shida ni nii tena my love....umesahau nafasi uliyonayo moyoni mwangu?