Niko naye hapa tunapiga stori, jamaa ni mtu poa sana huyuMpe hi huyo mkenya best yangu mbayaa!!
Pole mkuu, mie mwenyewe wamenistukiza aiseeMuwe mnasema mapema...ona sasa nishafika nyumbani na mbaya zaidi hapo ni karibu mno na ofisini
measkron.....your daughter charminglady is my number one girl....hajiamini tu na anaona umbali wetu kuwa kikwazo...tafadhali ongea naewewe Vin Diesel ndo tukuulize shida nini mwanangu charminglady anatoa machozi....
Hahaha pole wangu
Dah..Haya bana mu enjoy..Mimi nitajiunga na CHADEMA family tukafanye usafi mwananyamala hospital..jirani tu na kwa mjeda hapo
Muwe mnasema mapema...ona sasa nishafika nyumbani na mbaya zaidi hapo ni karibu mno na ofisini
Asante mwaya,ila nimekumiss
Duh¡ mmeniuza nyie binadamu aisee hasa Mtambuzi nimepita kote sijawaona lol! na sasa ivi ndio natoka hapa kwa Leo tupo hapa pub