Marafiki,wapwa na mabinamu kuelekea dodoma!..........

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
Ladies and Gentlemen,

''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono wabunge vijana na kipenzi cha wote siku ambayo watakuwa wanaapishwa rasmi.

Tunaamini kwamba kwa nafasi yetu ndogo tuna mchango mkubwa sana katika mabadiliko makubwa jimbo la kawe na ubungo KWA VITENDO....!

Sisi wanachama hai na wana-jf tusio na stress tulikuwa na kampeni yetu ya BAA-KWA-BAA,GROSARI KWA GROSARI,gesti-kwa gesti tukiwa na picha za wagombea wetu.....!kabla ya kunywa bia yoyote tunaanza na sala

Sisi wanachama wa jf tusio na stress tumekuwa karibu na regia(kila mmoja kwa nafasi yake ndogo).....!na kwa kuliweka hili sawa ni kwamba TUNAWASHA MATUKUTUKU YETU HADI DODOMA KWA HESHIMA YA REGIA!tunampenda sana regia....!

Bila kushuka na nadharia nyingi za laibrale na kwenye journals....tunawathibitishia kwamba sisi tunaenda dodoma.

kwa yoyote anaetaka kuungana nasi kwenda dodoma kuwashika mikono wabunge wetu wapendwa kabisa naomba awasiliane na mimi Baba Gift,au awasiliane na Teamo,au akishindwa kabisa awasiliane na Carina_TI kwa ajili ya taratibu za kiusafiri.....!

Ahsante sana JF,
Ahsante Sana I.S.C
Ahsante sana Mwenyekiti,Mkuu wa Bodi ya wadhamini,Ahsante sana Katibu Mkuu,Ahsante sana Mhazini Ahsante sana wanachama mlioingia kwenye panel moja kwa moja

NIKIRIPOTI KUTOKA BONDENI HOTEL CHUMBA NR 10,mimi ni Baba la Gift-THE SUPER KING
 
hahahahaahh!hahaah!
kat kat ya safar msifanye yale bigrita alifanya wakat anaelekea rombo
the idea z gud n btful enaf i wl chk ma postn on t n i wl lt u knw
roy ataenda eennh???(nimekunong'oneza sikion akijibu nijibu plssssssss)
 
ha ha ha!
kwakuwa tutakuwa tumeenda ''ki-upendo zaidi'',nadhani kuna vitu viwili vitatu ''kutegemea na maamuzi yenu'' itabidi vifanyike kati kati ya safari

roya hawezi kwenda atakuwa na safari ya kikazi tandahimba
 
Watching na watching....someone about to :rip:....
 
U know what.....

tunaweza kuleta change, tukawa sehemu ya change, change kubwa zaidi, kwa kufanya vitu kivitendo zaidi. Kwenye kudifferentiate, tunazungumzia delta....that small change we can make to turn around the whole big thing...

hili ni mojawapo, na niseme tu kwamba ni idea ambayo tumekuwa nayo muda mrefu, so nawaencourage kwa wale ambao watapenda kwenda wawasiliane na The King kwen PM kwa ajili ya logistic zaidi.

Tupo pamoja sana
 
yani kwamba BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THIS WORLD
 
Mi mtanipitia Chalinze ya Dom pale nitatangulia siku mbili kabla
 
Nnaweza kuja na Lilian?
HA HA HA!
my dear,
huu ni mkao wa ''ki-rafiki zaidi''

nakuhakikishia tu unaweza kuja na LILIAN,QUEENKAMI NA DIANA wote kwa pamoja provided you can handle them babies
 
Mi tukutuku yangu ina uwezo wa kubeba Dada mmoja tu....nani anajitolea?:yield:
 
Ladies and Gentlemen,

''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono wabunge vijana na kipenzi cha wote siku ambayo watakuwa wanaapishwa rasmi.

Tunaamini kwamba kwa nafasi yetu ndogo tuna mchango mkubwa sana katika mabadiliko makubwa jimbo la kawe na ubungo KWA VITENDO....!

Sisi wanachama hai na wana-jf tusio na stress tulikuwa na kampeni yetu ya BAA-KWA-BAA,GROSARI KWA GROSARI,gesti-kwa gesti tukiwa na picha za wagombea wetu.....!kabla ya kunywa bia yoyote tunaanza na sala

Sisi wanachama wa jf tusio na stress tumekuwa karibu na regia(kila mmoja kwa nafasi yake ndogo).....!na kwa kuliweka hili sawa ni kwamba TUNAWASHA MATUKUTUKU YETU HADI DODOMA KWA HESHIMA YA REGIA!tunampenda sana regia....!

Bila kushuka na nadharia nyingi za laibrale na kwenye journals....tunawathibitishia kwamba sisi tunaenda dodoma.

kwa yoyote anaetaka kuungana nasi kwenda dodoma kuwashika mikono wabunge wetu wapendwa kabisa naomba awasiliane na mimi Baba Gift,au awasiliane na Teamo,au akishindwa kabisa awasiliane na Carina_TI kwa ajili ya taratibu za kiusafiri.....!

Ahsante sana JF,
Ahsante Sana I.S.C
Ahsante sana Mwenyekiti,Mkuu wa Bodi ya wadhamini,Ahsante sana Katibu Mkuu,Ahsante sana Mhazini Ahsante sana wanachama mlioingia kwenye panel moja kwa moja

NIKIRIPOTI KUTOKA BONDENI HOTEL CHUMBA NR 10,mimi ni Baba la Gift-THE SUPER KING

The Following User Say Thank You to Baba Gift For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom