Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Jamani, khaaa nhi hi ina laana gani? Hivi kweli kabisa mtu unaweza kusema eti hakukua na sababu ya kamati tu kwasababu rais kasha toa msimamo? Anyway, wengine hatutegemei siasa ili tule, naomba kukuuliza, kipi kilianza kati ya uundwaji au ahadi ya kuundwa kamati na msimamo wa raisi? Kwa kumbukumbu zangu mimi ni hivi, Nape alitoa ahadi hiyo kabla raisi hajatoa hotuba yake, hivi angeacha tu hivi hivi si hapa hapa tungemlaumu Nape kwamba ni mnafiki? Hata alipo ongea na radio German Swahili service, Nape alijibu kwa busara sana, yaani hakua Nape yule wa mipasho Enzi za JK, alijibu huku akili ikiwa imetulia hasa. Hebu pia tuvae viatu vyake sasa, mara baada ya kutumbuliwa the same day ameongea na waandishi wa habari huku pia katoka kutishiwa bastola, ukweli pia angekua mtu mwingine lazima ange panic sana na huenda hotuba yake ingekua imejaa hasira na may be kufikiria kulipiza kisasi but again hapa nampongeza kwa jinsi ambavyo akili yake ilivyo kua imetulia. Mkuu aliposoma magazeti ya jana check alivyo panic, alitegemea mambo ya bandari kushika nafasi ya kwanza but HOLA, magazeti yote ni Nape Nape na aka panic, what if mkuu ndio angekua kafanyiwa hilo alilomfanyia Nape and then atake kuongea na waandishi na atishiwe bastola, unadhani angesema nini!? Nape sijawahi kumpenda hata mara moja kwa mipasho yake kiasi Fulani anavuna alicho kipanda Enzi za JK but kama binadamu siwezi mshukuru Mungu kwa yanayo mtokea, nitamwonea huruma tu. Imeandikwa, "Usifurahi kumwona adui yako anapo adhibiwa" Bravo Nape, umeonesha ukomavu wa kiakili.
 
M
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi
Ni kweli kabisa mkuu..
 
una miss point

uhusiano wa wa Nape na Magufuli ni mtu na bossi wake, usi mu isolate Nape na Magufuli!!!!!! unakosea

nchi zingine nafasi ya Nape inaweza ikachukuliwa na Magufuli, Magufuli akawa rais na akawa waziri pia!!!

Nape kawekwa na Magu na anawajibika kwa Magufuli, kubali kataa, ndie bossi wake ( kama wewe ulivyo bosi au mtumishi wa bosi wako) , huwezi kwenda kinyume na bosi wako

aidha unaacha kazi kama haujaridhika/kisiasa unajiuzulu

Kambona, mtei, mrema n.k washawahi fanya hayo ..kisiasa ndio iko hivyo ( unless haujui protokali)

hii haijalishi unaongea kwa maneno mengi, ghadhabu kubwa au msisitizo....it is a rule

Nape alikuwa anafanya kitu against na bosi wake ( si kaondolewa??) au bado yupo???

Nape alipoona upepo alitakiwa kujiuzulu mpema sana, maana rais aliishalikataza hili

nenda popote duniani iko hivyo

sasa njoo kwenye logic ( uliza akili) , report ya NAPE mwisho wake ingeenda kwa rais au sio?? rais angeamua nini??

Tunachojiuliza hapa kosa hili la NAPE ni la wazi kabisa ....je NAPE hakumuuliza bosi wake ( kirafiki-kuwa 'nafanyaje katika situation kama hii??"} -'wananchi wanataka majibu' hizi zilitakiwa kuwa hoja za NAPE kwa rais......Magufuli angetoa baraka yasingetokea haya

nasisitiza NAPE kawekwa pale na rais, anamsaidia rais, nape ni mtumishi au jicho la rais....KOSA ALILOLIFANYA NI INSUBORDINATION liko so clear!!!

so sio kuwa NAPE analaumiwa ila katenda kosa la wazi kabisa kuwa kinyume na mkuu wake, habari ya kamati angeiachilia mbali

angebadili approach na methodology
 
Kaka mkoa wa Dar uko Tanzania na kiusalama upo chini ya Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba , issue ya madawa Waziri alikuwa phased out na Makonda alikuwa anaact kama ndio IGP na pia ndio Waziri wa mambo ya ndani

Hivi kaka huoni kuwa tunajenga mnara wa Babeli? Muhongo alikuja na nguvu sana sasa keshachemsha, tangu "aambiwe" amtengenezee Mramba wa Tanesco figisu la kumtoa kazini, na jinsi Alivyodharirishwa kwenye issue ya dangote sasa hana say tena, yuko kimya
Simbachawene alipigana sana Wamachinga waondolewe sehemu za mijini na kweli Zoezi likaanza na waliondolewa lakini kama kawaida ya Mnara wa Babeli, Mkulu akasema waachwe.

We unafikiri Makamba yupo happy?, Majaliwa na Samia je? We huoni? Sina muda ningekuelezea mawaziri wote na nini kiliwakwaza/kinawakwaza kwenye uongozi huu

Bro hii nchi sasa ni one man show, kama hutaki unaacha
Kwanza si kweli ati ktk mkoa wa DSM, kiusalama uko chini ya wizara ya mambo ya ndani....usipotoshe ukweli na kama hujui, jifunze kwa kusoma, au la nyamaza...kiusalama, ktk tanzania, kila mkoa, unakuwa na "kamati ya ulinzi na usalama", ambayo mwenyekiti wake ni mkuu wa mkoa... vyombo vyote vya ulinzi vinakuwa chini yake....
 
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi

Very 'interesting' observation...'interesting' indeed....
Kwanza nisahihishe neno moja ....wajihudhuru.......>>>>>>>>>>>>wajiuzulu

Ikiwa mtu unataka kufanya analysis kwa jambo ni vema uwe sober na objective....usitangulize hisia zako mbele kwani hisia hizo zitakupofusha katika uchambuzi wako...Hilo la kusema eti 'mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini' ni hisia zako wewe.....Aidha kwamba eti Nape 'anawasilisha malalamiko ya Braza la Mawaziri' ni hisia na pia matamanio yako ukiombea hali iwe hivyo...

Ukweli ni kuwa ukitaka kuchambua suala la Mhe. Nape ni kuangalia taratibu, kanuni na utendaji wa Baraza la Mawaziri ...ukifanya hivyo utagundua kuwa Mhe. Nape alitenda kosa la insubordination (au dharau mbaya) kwa bosi wake ambaye ni Rais...

Kama Rais ametamka kuwa wewe 'Makonda chapa kazi', Nape hakuwa na sababu tena ya kuendelea na kamati ile 'uchwara'...natumia neon 'uchwara' kwa kuwa kamati ile in the first place haikustahili iwepo...

Kamati ile imeteuliwa na Waziri kuchunguza issue ya Mkuu wa mkoa....utaona kabisa kuwa kuna walakini hapa....Ninavyoelewa mimi mabosi wa wakuu wa mikoa ni Rais na Waziri Mkuu na siyo mtu mwingine....Kwa maoni yangu hao ndio wanaopaswa kuunda kamati...Halafu wajumbe wa kamati ni lazima wawe na nyadhifa nzito wakiwemo majaji na hata makamishna wa polisi na wengineo wazito na siyo waandishi wa habari wenye 'maslahi' na suala lenyewe....kamati ni lazima iwe huru.

Kamati 'uchwara' ya Nape ilihusisha wengi wa waandisi wa habari wa print media, je wakati suala lenyewe linahusu televisheni....hii ni kasoro nyingine ya kamati hiyo 'uchwara'...

Jambo jingine Mhe. Nape hata hiyo kamati 'uchwara' haijatoa taarifa yeye alishasema kuwa Mhe. Makonda amenajisi tasnia ya habari...maana yake ni kuwa tayari ameingilia kazi za kamati hiyo aliyoiunda mwenyewe...
Jambo jingine ni namna waandishi wa habari wenyewe walivyokosa weledi kwa kutanguliza kuwa mhe. Makonda 'alivamia' Clouds bila hata ripoti ya kamati haijatolewa...

Aidha hakukuwa na sababu yoyote kutoa taarifa ya upande mmoja bila kumhoji mtuhumiwa ambaye ni Mhe. Makonda....
Kwamba Mhe. Makonda 'hakuhojiwa' na kamati hiyo 'uchwara' ni jambo lililotarajiwa na wajuzi wa mambo...Mhe. Makonda asingeweza kukubali 'kuhojiwa' na kamati hiyo isiyo na kichwa wala miguu.

Suala hili la Mhe. Makonda na Clouds limejaa ushabiki zaidi kuliko uhalisia...uko ushabiki wa kisiasa, ushabiki wa chuki kutoka makundi mbalimbali na pia njama...

Mtu hahitaji kuwa mjuzi wa mambo kutambua kuwa yapo makundi mbalimbali yenye njama dhidi ya Mhe. Makonda....namna suala hili lilivyochukuliwa inadhihirisha kuwepo kwa njama hizo...

Makonda anaweza kuwa ana makosa kwenda clouds na kuingia studio, lakini namna wabaya wake walivyolishupalia jambo hili wamekosa 'weledi' wa kuandaa njama....

Kinachojitokeza ni kuwa makundi ambayo ni wabaya wa Mhe. Makonda wanafanya shinikizo kwa Rais ili amuondoe Makonda....Kiongozi mzuri hawezi kukubaliana na shinikizo la aina hiyo....

Mhe. Makonda anaweza akaondolewa Dar es Salaam lakini siyo katika kipindi hiki, anaweza kuondolewa 'wakati muafaka' siyo sasa...

Wako wanaosema kuwa Nape ni shujaa...binafsi sioni hivyo....Mhe. Nape alifanya insubordination kwa Rais kwa hiyo kutumbuliwa kwake ni halali....huwezi kwenda kinyume na Rais halafu ukaachwa...

Na katika historia ya nchi hii hakuna Waziri ambaye ameondolewa madarakani aliyewahi kujaribu kuitisha mkutano wa waandishi wa habari kuelezea kuondolewa kwake kwenye Baraza la Mawaziri kama alivyofanya Mhe. Nape....Hili nalo ni tukio la aina yake, na inaonesha kwamba Mhe. Nape bado hajaiva sawasawa kiutendaji na kisiasa.
 
una miss point

uhusiano wa wa Nape na Magufuli ni mtu na bossi wake, usi mu isolate Nape na Magufuli!!!!!! unakosea

nchi zingine naasi ya Nape inaweza ikachukuliwa na Magufuli, Magufuli akawa rais na akawa waziri pia!!!

Nape kawekwa na Magu na anawajibika kwa Magufuli, kubali kataa, ndie bossi wake ( kama wewe ulivyo bosi au mtumishi wa bosi wako) , huwezi kwenda kinyume na bosi wako

aidha unaacha kazi kama haujaridhika/kisiasa unajiuzulu

Kambona, mtei, mrema n.k washawahi fanya hayo ..kisiasa ndio iko hivyo ( unless haujui protokali)

hii haijalishi unaongea kwa maneno mengi, ghadhabu kubwa au msisitizo....it is a rule

Nape alikuwa anafanya kitu against na bosi wake ( si kaondolewa??) au bado yupo???

Nape alipoona upepo alitakiwa kujiuzulu mpema sana, mana rais aliishalikataza hili

nenda popote duniani iko hivyo

sasa njoo kwenye logic ( uliza akili) , report ya NAPE mwisho wake ingeenda kwa rais au sio?? rai angeamua nini??

Tunachojiuliza hapa kosa hili la NAPE ni la wazi kabisa ....je NAPE hakumuuliza bosi wake ( kirafiki-kuwa 'nafanyaje katika situation kama hii??"} -'wananchi wanataka majibu' hizi zilitakiwa kuwa hoja za NAPE kwa rais......Magufuli angetoa baraka yasingetokea haya

nasisitiza NAPE kawekwa pale na rais, anamsaidia rais, nape ni mtumishi au jicho la rais....KOSA ALILOLIFANYA NI INSUBORDINATION liko so clear!!!

so sio kuwa NAPE analaumiwa ila katenda kosa la wazi kabisa kuwa kinyume na mkuu wake, habari ya kamati angeiachilia mbali

angebadili approach na methodology
kweli hii ni kwa wenye kufanya tafakari huru ya kina!...na si ya kina "bongo fleva" walojazana JF kuimba kauli, za wanaowafanyia tafakari
 
Very 'interesting' observation...'interesting' indeed....
Kwanza nisahihishe neno moja ....wajihudhuru.......>>>>>>>>>>>>wajiuzulu

Ikiwa mtu unataka kufanya analysis kwa jambo ni vema uwe sober na objective....usitangulize hisia zako mbele kwani hisia hizo zitakupofusha katika uchambuzi wako...Hilo la kusema eti 'mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini' ni hisia zako wewe.....Aidha kwamba eti Nape 'anawasilisha malalamiko ya Braza la Mawaziri' ni hisia na pia matamanio yako ukiombea hali iwe hivyo...

Ukweli ni kuwa ukitaka kuchambua suala la Mhe. Nape ni kuangalia taratibu, kanuni na utendaji wa Baraza la Mawaziri ...ukifanya hivyo utagundua kuwa Mhe. Nape alitenda kosa la insubordination (au dharau mbaya) kwa bosi wake ambaye ni Rais...

Kama Rais ametamka kuwa wewe 'Makonda chapa kazi', Nape hakuwa na sababu tena ya kuendelea na kamati ile 'uchwara'...natumia neon 'uchwara' kwa kuwa kamati ile in the first place haikustahili iwepo...

Kamati ile imeteuliwa na Waziri kuchunguza issue ya Mkuu wa mkoa....utaona kabisa kuwa kuna walakini hapa....Ninavyoelewa mimi mabosi wa wakuu wa mikoa ni Rais na Waziri Mkuu na siyo mtu mwingine....Kwa maoni yangu hao ndio wanaopaswa kuunda kamati...Halafu wajumbe wa kamati ni lazima wawe na nyadhifa nzito wakiwemo majaji na hata makamishna wa polisi na wengineo wazito na siyo waandishi wa habari wenye 'maslahi' na suala lenyewe....kamati ni lazima iwe huru.

Kamati 'uchwara' ya Nape ilihusisha wengi wa waandisi wa habari wa print media, je wakati suala lenyewe linahusu televisheni....hii ni kasoro nyingine ya kamati hiyo 'uchwara'...

Jambo jingine Mhe. Nape hata hiyo kamati 'uchwara' haijatoa taarifa yeye alishasema kuwa Mhe. Makonda amenajisi tasnia ya habari...maana yake ni kuwa tayari ameingilia kazi za kamati hiyo aliyoiunda mwenyewe...
Jambo jingine ni namna waandishi wa habari wenyewe walivyokosa weledi kwa kutanguliza kuwa mhe. Makonda 'alivamia' Clouds bila hata ripoti ya kamati haijatolewa...

Aidha hakukuwa na sababu yoyote kutoa taarifa ya upande mmoja bila kumhoji mtuhumiwa ambaye ni Mhe. Makonda....
Kwamba Mhe. Makonda 'hakuhojiwa' na kamati hiyo 'uchwara' ni jambo lililotarajiwa na wajuzi wa mambo...Mhe. Makonda asingeweza kukubali 'kuhojiwa' na kamati hiyo isiyo na kichwa wala miguu.

Suala hili la Mhe. Makonda na Clouds limejaa ushabiki zaidi kuliko uhalisia...uko ushabiki wa kisiasa, ushabiki wa chuki kutoka makundi mbalimbali na pia njama...

Mtu hahitaji kuwa mjuzi wa mambo kutambua kuwa yapo makundi mbalimbali yenye njama dhidi ya Mhe. Makonda....namna suala hili lilivyochukuliwa inadhihirisha kuwepo kwa njama hizo...

Makonda anaweza kuwa ana makosa kwenda clouds na kuingia studio, lakini namna wabaya wake walivyolishupalia jambo hili wamekosa 'weledi' wa kuandaa njama....

Kinachojitokeza ni kuwa makundi ambayo ni wabaya wa Mhe. Makonda wanafanya shinikizo kwa Rais ili amuondoe Makonda....Kiongozi mzuri hawezi kukubaliana na shinikizo la aina hiyo....

Mhe. Makonda anaweza akaondolewa Dar es Salaam lakini siyo katika kipindi hiki, anaweza kuondolewa 'wakati muafaka' siyo sasa...

Wako wanaosema kuwa Nape ni shujaa...binafsi sioni hivyo....Mhe. Nape alifanya insubordination kwa Rais kwa hiyo kutumbuliwa kwake ni halali....huwezi kwenda kinyume na Rais halafu ukaachwa...

Na katika historia ya nchi hii hakuna Waziri ambaye ameondolewa madarakani aliyewahi kujaribu kuitisha mkutano wa waandishi wa habari kuelezea kuondolewa kwake kwenye Baraza la Mawaziri kama alivyofanya Mhe. Nape....Hili nalo ni tukio la aina yake, na inaonesha kwamba Mhe. Nape bado hajaiva sawasawa kiutendaji na kisiasa.

Ulizaliwa huu mwaka 1954?? ha ha ha,lovely

uko sahihi sana, people are missing these kind of observations

na unapoongea haya unaweza kuonekana uko upande fulani, kumbe ni kujadiliana tu

Magu angemtoa makonda kwa presha ile, asingekuwa kuwa kiongozi katu!!! angekuwa robot maana siku ingine angeondolewa hata yeye kwa presha zile zile...what he did was right at that time, ila nakubaliana na wewe Makonda ataondoka tu muda fulani

inahuzunisha sana unaona watu wanakwepa kabisa kujadili vitu kama marefarii na washa take side fulani, ni hatari kujadili mambo kwa hisia au mahaba, hatari sana!! siku zote napenda niwe hivyo

Asante kwa post
 
Mkuu Waberoya salaams!
Ni tafakuri nzuri na swali jema kwanini Nape hakutulia!?

Chini ya pazia kuna mengi ambayo hatuwezi kuyajua.

Nazingatia kauli mbili katika maneno ya Mh. Nape pale nje ya Protea

Long time rafiki, umejificha mnooo

acha tuendelee kuwaza, kinachoendelea kitajulikana tu
 
Ikiwa raisi sio malaika kwa mujibu wako iweje asema kuwa yeye hapangiwi neno hapangiwi yaweza kufasilika kuwa hayuko yeyari kushauliwa
Na je ikiwa Waziri kila jambo atakololifanya ni lazima apige simu kwa mkuu kuna haja gani ya kuaminiwa kupewa uwaziri kwa nini asifanye mwenyewe tu kazi zote kama vile pale meanzo alipokaa kipindi kilefu kabla ya kufanya uteuzi huo.
Na kwanini ufanye kazi woga kiasi hicho hivi kuna faida gani kuwa na baraza za mawaziri ambao wako kimya hamna ambae anafanya kazi akihofia kuipoteza nafasi hiyo ?

Tanzania ni yetu sote wasijitokeze wachache wakaona wao ndio kila kitu hii sio kweri watatupeleka ndiko siko

sio kila jambo, lile swala halikuwa dogo kabisa

Nape anawajibika kwa rais, rais ni bosi wa nape na amuweka pale NAPE amsaidie yeye!!! si vinginevyo...nchi zingine rais angeweza pia kuwa waziri wa habari!!

Nape alitakiwa kujua msimamo wa bosi wake na haukuwa wa siri na aliishausema pale ubungo, tena kukiwa na presha kubwa kuwa Makonda aondoke baada ya kuvamia clouds!! NAPE hata kama angekuwa na nguvu kias gani aliishaijua hii picha kuwa alichokuwa anafanya kina kinzana na bosi wake...n

report ya Nape mwisho ingepelekwa kwa rais ambaye aliishatoa msimamo wake, so NAPE alikuwa anafanya nini?? kumfurahisha nani??

Kama aliona kabisa kuwa hajapendezwa angeomba ushauri kwa rais kusikia maoni yake

Kwa mfano ninge kuwa mimi NAPE ningemuuliza rais '' mheshimiwa kwa hili lililotokea naona kama wananchi wanahitaji majibu, naona niunde tume kuchunguza hili, kisha ikuletee majibu, au mheshimiwa unasemaje??"

angejua msimamo wa bosi wake right there, unajua hata kama Magufuli ana matatizo fulani JAMANI ifikie kuelewa uhusiano wa NAPE na MAGUFULI ni mtu na bosi wake!!! NAPE ana report kwa magufuli kwanza .....kisha magufuli ndio ana report kwetu wananchi!!! tunamjua magufuli kwanza na sio NAPE kwanza!!!

sasa kikubwa baada ya NAPE kuona hana amani, hajafurahi swala hili jinsi ambavyo rais ka i handle ana JIUZULU, yametokea hayo kwa MTEI NA KAMBONA NCHI hii......unapotofautiana na bosi wako unajiuzulu, yeye kafukuzwa kijinga

NAPE angejiuzulu ingekuwa ndio ushujaa zaidi, na hapo kusingekuwa na unafiki

pia NAPE alijua anafanya nini na aliishasema kuwa atajiuzulu kama hajafikia kutoa suluhisho la hili

HATA WEWE UNGEKUWA MAGUFULI UNGEMFUKUZA MTU WA AINA HIYO, maana najua unamfukuza housegirl wako, au dereva wako au shamba boy wako, achilia mbali wa ofisini mwako !!

au na wewe kesho jaribu ofisini kwako kwenda kinyume na bosi wako, kwa lolote tena kwa uwazi kabisa....kisha utanipa feedback nini kimekutokea

kusema haya sina maana nafurahishwa na kilichotokea.....!!!!
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa

Kweli ulivyoongea ila na Nape nafikiri aliamua hivyo na alijua lazima ataondoka nadhani amejua akifanya hivyo uma utamjua Mkulu ila mkuu mae kafanya haraka mbona kwa mabaiskel hajachukua uamuzi wa haraka
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa

What Nape did was right 100%. I call it counter attack and counter-reaction! ANAJIAMINI, na anajua maisha yapo nje ya uwaziri:

Quote.jpg
 
Balile ambaye aliwatuma watu kijijini kwa Makonda kuchunguza habari zake ili azidi kumwaibisha naye anakuwa kwenye tume tena msemaji katika kuwasilisha ripoti.Nape aliharibu vibaya mno.
Ajabu kwelikweli. Huyu huyu Balile wa gazeti la Jamhuri alete credible taarifa inayomhusu Makonda. Hata ningekuwa mimi, nisingekubali kuhojiwa na kamati ile.
 
Ulizaliwa huu mwaka 1954?? ha ha ha,lovely

uko sahihi sana, people are missing these kind of observations

na unapoongea haya unaweza kuonekana uko upande fulani, kumbe ni kujadiliana tu

Magu angemtoa makonda kwa presha ile, asingekuwa kuwa kiongozi katu!!! angekuwa robot maana siku ingine angeondolewa hata yeye kwa presha zile zile...what he did was right at that time, ila nakubaliana na wewe Makonda ataondoka tu muda fulani

inahuzunisha sana unaona watu wanakwepa kabisa kujadili vitu kama marefarii na washa take side fulani, ni hatari kujadili mambo kwa hisia au mahaba, hatari sana!! siku zote napenda niwe hivyo

Asante kwa post
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na uchambuzi wako makini. Umeelimisha jukwaa kwa kiwango kikubwa na nadhani umeeleweka.
Pamoja na kukubaliana nawe kwa kiasi kikubwa, je Makonda aka Bashite anastahili kuendelea kukalia ofisi ya umma hadi lini ili hali amedanganya kuhusu uasili wake na kwamba je damage aliyosababisha na anayoendelea kusababisha nani atabeba gharama yake pasipo kuathiri utendaji wa Mkuu wa kaya?
 
Kwanza si kweli ati ktk mkoa wa DSM, kiusalama uko chini ya wizara ya mambo ya ndani....usipotoshe ukweli na kama hujui, jifunze kwa kusoma, au la nyamaza...kiusalama, ktk tanzania, kila mkoa, unakuwa na "kamati ya ulinzi na usalama", ambayo mwenyekiti wake ni mkuu wa mkoa... vyombo vyote vya ulinzi vinakuwa chini yake....

Kka acha ujinga basi, hao watu wote wa Unga walikuwa wanaitwa kituo kikuu cha polisi, kuna uhusiano gani kati ya Waziri wa mambo ya ndani na Polisi?
Watu kama Gwajima walienda kukaguliwa na polisi mpaka majumbani mwao, Waziri wa mambo ya ndani anahusikaje na hao polisi,
Acha ujuaji wa kijinga
 
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na uchambuzi wako makini. Umeelimisha jukwaa kwa kiwango kikubwa na nadhani umeeleweka.
Pamoja na kukubaliana nawe kwa kiasi kikubwa, je Makonda aka Bashite anastahili kuendelea kukalia ofisi ya umma hadi lini ili hali amedanganya kuhusu uasili wake na kwamba je damage aliyosababisha na anayoendelea kusababisha nani atabeba gharama yake pasipo kuathiri utendaji wa Mkuu wa kaya?
Mkuu...nimevutiwa na mchango wako ktk hili...kabla ya swali kuna kitu tukitazame, kisha tukitafakari...ni sawa hisia zetu kuzifanya ndo ushahidi?
Ushahidi usio na shaka wa tuhuma zinazomkabili "ara sii", upo wapi?
..mi nahisi, "ara sii" kuna kitu, "tofauti na kawaida", ktk maisha, na safari yake kielimu, ...lkn nahisi, ni vitu ambavyo, "kisheria, aliwahi, akarekebisha", lkn sasa ktk "uadilifu, wa siasa za kiuadilifu", hivyo vitu vinamtoa nje...
Sasa, siasa yetu ni ya aina gani?
Tuna "siasa ya uadilifu ktk TZ?"
Majungu, hujuma, na kutumia upeo mdogo wa watu wetu, sbb ya mapungufu yao ya kutokufanya, tafakari huru na za kina, ni sehemu ya siasa ya wanasiasa wetu!
...naamini, "ara sii", atatolewa, lkn si kwa mashinikizo, yalokosa ushahidi thabiti, ktk mitandao na magazeti...
...lkn pia, niseme, mkuu, sintashangaa ushahidi thabiti, na usotia shaka kwa tuhuma zake ukiwekwa hadharani...dalili zinashabihiana na hisia...
 
Back
Top Bottom