Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Waberoya,

..JPM ameharibu ku-side na Makonda wakati kashfa yake ina ushahidi mpaka video.

..mimi nilidhani Nape alikuwa anamsaidia JPM kuona ni jinsi gani jumuiya ya wanahabari na wananchi kwa ujumla wanakichukulia kitendo cha Makonda kuvamia studio za clouds tv.

..JPM alipaswa kutulia, kuipokea na kuifanyia kazi ripoti ya Tume iliyoundwa na Nape.
Ruge anatuambia kuwa Makonda ni rafiki yake na mara nyingi anaendaga hapo clouds...sasa sijafahamu RC huwa anaendaga peke yake bila walinzi au hata mchana wa hiyo siku RC hakuwa na walinzi wenye bunduki mpaka tuambiwe ule usiku kuwa makonda ndo kaenda kuvamia,sawa kama kaenda kuvamia na wala sio kama yale matembezi yake mbona hatujaona hata igizo la mfanyakazi yoyote kujeruhiwa.
 
Ikiwa raisi sio malaika kwa mujibu wako iweje asema kuwa yeye hapangiwi neno hapangiwi yaweza kufasilika kuwa hayuko yeyari kushauliwa
Na je ikiwa Waziri kila jambo atakololifanya ni lazima apige simu kwa mkuu kuna haja gani ya kuaminiwa kupewa uwaziri kwa nini asifanye mwenyewe tu kazi zote kama vile pale meanzo alipokaa kipindi kilefu kabla ya kufanya uteuzi huo.
Na kwanini ufanye kazi woga kiasi hicho hivi kuna faida gani kuwa na baraza za mawaziri ambao wako kimya hamna ambae anafanya kazi akihofia kuipoteza nafasi hiyo ?

Tanzania ni yetu sote wasijitokeze wachache wakaona wao ndio kila kitu hii sio kweri watatupeleka ndiko siko
 
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi
Sio kweli mkuu mbona kuna mawaziri wanapiga kazi zao kwa uhuru kabisa na hatujasikia wameingiliwa?

Makonda alianzisha operesheni ya kupambana na dawa za kulevya ndani ya mkoa wake ndio maana alipomtaja Mbowe alisema japo "Mhe Mbowe ni mbunge wa Hai lakini anaishi Dar es Salaam"hivyo alikuwa-consistent.

Suala la waziri mwenye dhamana kutoshirikishwa hilo nalo halina uzito kwani Serikali inafanya kazi kwa pamoja baada ya mkuu wa mkoa Dsm kuanzisha operesheni ndani ya mkoa wake baraza la mawaziri lilitakiwa limuunge mkono mkuu wa mkoa matokea yake aliyesikika ni Rais peke yake.
 
Mkuu Waberoya salaams!
Ni tafakuri nzuri na swali jema kwanini Nape hakutulia!?

Chini ya pazia kuna mengi ambayo hatuwezi kuyajua.

Nazingatia kauli mbili katika maneno ya Mh. Nape pale nje ya Protea
 
Tatizo la watanzania ni ubinafsi sana kutaka kula wewe kama ww sheria inasema nn hapo ndipo unaweza kuanzia hapo leo kosa la nape ni nn kuismamia kweli?je mskonda hakuvamia? Kunakitu kinaweza kuumizw unapokuwa umeamua kusimamia kweli eti angenyamaza !!pumbavu kabisa nyie eti mnajiita marafiki wa nape haswa ww mwnye kuandika haya mjinga ulitakiwa kuusema ujasiri wa name ww!!who tamaa ya madaraka kofia ya kipuuzi hayo lkn nataka nikwambie nchi hii inaharibiwa na huyu rais na hata yeye kesha jua anakoelekea nazani ungemskiliza vizuri jana ungeona nn anasema so mpongeza Nape c upuuzi huo
 
Dah......
2f5d4d323bbbb48863d1783984e635a5.jpg

......si mchezo
 
Yaani hivi sasa ndivyo alivyo,that's the reason why mama Janet alikupa hacheki wala kutabasamu kwenye kampeni,alikupa anaongea na nanyi viumbe ambao hamkuelewa kwa non verbal way. Mnakazana kupiga push up mke wake Hata jino haonyeshi,na hamkushtuka tu. Lowasa hakukosa urais ila waTz wamekosa rais. Hivi wa Kenya si walikuwa wanamtaka huyu jamani. Mpelekeni bureeeee
Watz si vichwa ngumu....
Mama Janet alikua anatuonea huruma mno
magu-pushups.jpg
 
Rejea bandiko langu ambalo halikutimia.

Mh. Nape alitoa baadhi ya maneno katika tamko lake ndio natafakari namnukuu ili tujaribu kufunua hilo busati.

"Mimi ni mmakonde" " nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" "ninasimamia ninachokiamini" "wakati tunapigania chama... wao walikuwa wanakunywa bia baa" mwisho wa kunukuu vipengele. Nadhani Mh. Nape ana mengi moyoni kuliko hayo na hata kama ni kushauriwa huenda alishauriwa lakini akawa na maamuzi yake. Nape anakijua Chama chake kama kinavyomjua yeye. Nape ana uchungu ambao sisi hatuwezi kuujua.

Kuna kitu kikubwa kinaendelea na nina hakika tutarajie kusikia na kuona mengi awamu hii.

Acheni tufanye uzalendo kwenye mitandao na magazeti huku tukitoa sifa hitajika
 
Utoto ndio unamsumbua, Magu alitofautiana na JK kipindi fulani, alitaka kuvunja nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya barabara nadhani ni Morogoro road, akazimwa na Pinda na jk,
Akaamua kukaa kimya, mbona kawa Rais wa TZ juzi kati kazipiga chini, tena bila fidia. KUKAA KIMYA NI UUNGWANA PIA,

Ingekuwaje mama Anna kilango angebwabwaje alivyopigwa chini ukuu wa mkoa, mara nyingi watu wazima, na waungwana wanachunga midomo yao.
hapa umebase sana ktk maslahi binafsi (ubinafsi)..je ni jambo zuri kukaa kimya wakati kuna kitu kinakukera?
 
mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa

I totally agree, unajua nimesema mahali wapo wanasiasa wetu ambao ni the best in politics but worst in strategies.
 
Muanzisha uzi kuna jambo nimekuelewa kwa kina sana, sisi watanzania tujifunze kutokuendeshwa na mihemko, swala la kuvamiwa kituo cha Clouds sina hakika kama kuna mtu analifurahia. Walionekana maaskari pale ila kwa taaluma na weledi wa kazi sikumsikia kamanda Sirro akiongea chochote kuhusu vijana wake. Nape alikuwa anahusika na wizara ile, kwa nin aunde tume yenye wajumbe wa habari tu bila kuhusisha vyombo vya usalama? Ruge alichukua hatua gani kiusalama baada ya kuvamiwa na mkuu wa mkoa akiwa na maaskari wenye silaha? Tufikiri kwa kina
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Unless ww unayeandika ndio mteuzi....kusuggest kwamba Nape angekaa kimya wkt yeye ni waziri wa habari linaweza kueleweka na mteuzi wake tu.
 
Sidhani kama Nape alihitaji kupata baraka za Rais katika suala la Bashite, nini maana ya kuwa Waziri mwenye dhamana? Hivi utaongea na Rais mambo mangapi yaliyopo kwenye job description kama Waziri?
Mawaziri wakifikia hatua hiyo inamaa watakuwa wanafanya kazi kwa manufaa ya Rais na sio umma uliowapa kazi, kitu ambacho ni hatari sana. Kumbuka Rais ni mwajiriwa wa wananchi na anaowateua wanawajibika kwa maslahi ya wananchi.
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Makonda hatolewi katu hata kwa hizo mahakama uzijuazo wewe. Hizi za kupewa mwongozo na rais.
 
Mlitaka atulieje?

Hivi ninyi mnajifanya mnajua sana kuliko Nape aliyekaaa porini kwa ajili ya kupigania chama chake?

Mnajua sana kuliko yeye alizunguka na Magu nchi nzima kuhakikisha anashinda?

Acheni unafiki
 
Kuna somo nimejifunza. Ila naomba wale wenye kupata taarifa, wafuatilie kwa karibu na watujuze hatua zitakazo chukuliwa kwa yule askari aliye tishia bastola, kama kweli ametenda kosa.
 
Sio kweli mkuu mbona kuna mawaziri wanapiga kazi zao kwa uhuru kabisa na hatujasikia wameingiliwa?

Makonda alianzisha operesheni ya kupambana na dawa za kulevya ndani ya mkoa wake ndio maana alipomtaja Mbowe alisema japo "Mhe Mbowe ni mbunge wa Hai lakini anaishi Dar es Salaam"hivyo alikuwa-consistent.

Suala la waziri mwenye dhamana kutoshirikishwa hilo nalo halina uzito kwani Serikali inafanya kazi kwa pamoja baada ya mkuu wa mkoa Dsm kuanzisha operesheni ndani ya mkoa wake baraza la mawaziri lilitakiwa limuunge mkono mkuu wa mkoa matokea yake aliyesikika ni Rais peke yake.

Kaka mkoa wa Dar uko Tanzania na kiusalama upo chini ya Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba , issue ya madawa Waziri alikuwa phased out na Makonda alikuwa anaact kama ndio IGP na pia ndio Waziri wa mambo ya ndani

Hivi kaka huoni kuwa tunajenga mnara wa Babeli? Muhongo alikuja na nguvu sana sasa keshachemsha, tangu "aambiwe" amtengenezee Mramba wa Tanesco figisu la kumtoa kazini, na jinsi Alivyodharirishwa kwenye issue ya dangote sasa hana say tena, yuko kimya
Simbachawene alipigana sana Wamachinga waondolewe sehemu za mijini na kweli Zoezi likaanza na waliondolewa lakini kama kawaida ya Mnara wa Babeli, Mkulu akasema waachwe.

We unafikiri Makamba yupo happy?, Majaliwa na Samia je? We huoni? Sina muda ningekuelezea mawaziri wote na nini kiliwakwaza/kinawakwaza kwenye uongozi huu

Bro hii nchi sasa ni one man show, kama hutaki unaacha
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Mkuu...huitaji PHD, kujua, Rais huyu anasema, atakachokifanya, na hatanii...mapungufu yake zaidi ni ktk siasa...lkn ktk utendaji wake...ktk utekelezaje wa majukumu yake kama Rais, yuko sawa, ktk kiwango cha kufikisha simulizi za "utendaji wake uliotukuka, nje ya mipaka ya nchi yetu"....lkn mbaya zaidi, kwa wapinzani wake, wa ndani ya chama, na wa ktk vyama vingine, kimkakati, keshawatangulia na kuwaacha mbali mno....
Subiri uone tamthilia zao ktk uchaguzi wa wabunge wa EALA...
...Nchi, imebadilika, lkn bahati mbaya, wengi wanasubiri, na kusikiliza uongozi toka kwa upinzani ambao kimkakati, bado umelala usingizini...
 
Nape yuko right kabisa. Yeye ndi waziri mwenye dhamana na mshambuliaji wa kituo mbali ya kuwa ni kiongozi lakini ni mhalifu aliyepaswa kuwa lupango saa hizi. Isitoshe kutumia madaraka yake vibaya kwa bifu binafsi. Kaunta ongeza kiroba
 
Back
Top Bottom