Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Hata mahakamani bado zoezi lisingefanikiwa, kutokana na muhimiri wa mahakama unasimamiwa na kaimu jaji mkuu. So angeshitakiwa huko, tungesikia uteuzi wa Jaji mkuu mpya iki kuizima hiyo mission.
 
Hoja nzuri kaka, lakini ukimsoma Nape kwa makini ni kana kwamba alikuwa anawasilisha malalamiko ya Baraza la Mawaziri, ni kama inaonyesha Mawaziri wengi hawako happy na jinsi Raisi anavyoendesha nchi, sio kwa issue ya Makonda pekee bali pia kwenye maamuzi mbalimbali, yaani Mawaziri wanakosa ile hali ya kujiamini, issue ya Makonda kuendesha zoezi la Madawa ya kulevya bila kumshirikisha Waziri mwenye dhamana ni tatizo kubwa
Nape amekuwa kama Kondoo wa kafara na sababu kubwa ni kuwa Nnape sio mwoga hivyo aliamua kupambana na Magufuli kupitia vituko vya Makonda
Shida kubwa iko kwa mawaziri wenzie, je watamuunga mkono nao wajihudhuru? Ili kuonyesha hawakubaliani na jinsi Raisi anavyoendesha nchi
Sasa mtu kwanini usiachie ngazi?
 
Utoto ndio unamsumbua, Magu alitofautiana na JK kipindi fulani, alitaka kuvunja nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya barabara nadhani ni Morogoro road, akazimwa na Pinda na jk,
Akaamua kukaa kimya, mbona kawa Rais wa TZ juzi kati kazipiga chini, tena bila fidia. KUKAA KIMYA NI UUNGWANA PIA,

Ingekuwaje mama Anna kilango angebwabwaje alivyopigwa chini ukuu wa mkoa, mara nyingi watu wazima, na waungwana wanachunga midomo yao.
 
Hlafu ujue jambo moja. Nape alifanya uchunguzi na kujua ni nini hasa kilichotekea ndipo akatoa maamuzi. Yeye Magufuli alitoa maamuzi bila kufanya uchunguzi na kujua undani wa scandal yenyewe ulikuwaje! Hivyo Nape alitumia nafasi yake kama waziri kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake!
Mkuu uchunguzi wa akina Balile au mwingine?
 
Hata Mimi ningekua Nape nisingeweza kuvumilia kitendo kilichofanywa na Paul Makonda hasa ukizingatia suala hilo ni mdau na vyombo vya habari viko chini ya wizara ya habari. Hata kama Rais hakupendezwa Mkuu wa Mkoa ashughulikiwe hii ni binafsi lakini kimsingi Nape amesimamia kazi yake na hajakosea.
 
Nape alikua waziri wa habari sidhani kama kukaa kimya ilikua ni suluhisho.Maadam rais Magufuli ameamua kumkumbatia Mkuu wa mkoa wa Dar kuliko mtu yeyote, ngoja tuone mwisho wake.Ukweli ni kwamba Makonda na Magufuri wana siri nzito na tutaijua tuu siku wakikorofishana.Maana ulimi hupeleka chakula kwenye meno lakini meno yasivyo na shukrani huwa yanang'ata ulimi wakati fulani.

Msitake kutuondoa kwenye mada. Issue kubwa hapa ni madawa ya kulevya. Mnatumia hoja ya vyeti vya makonda kuhalalisha biashara haramu ya madawa ya kulevya ambayo imeliangamiza taifa. Na hatukubali kurudi nyuma. Mpaka kieleweke
 
Utoto ndio unamsumbua, Magu alitofautiana na JK kipindi fulani, alitaka kuvunja nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi ya barabara nadhani ni Morogoro road, akazimwa na Pinda na jk,
Akaamua kukaa kimya, mbona kawa Rais wa TZ juzi kati kazipiga chini, tena bila fidia. KUKAA KIMYA NI UUNGWANA PIA,

Ingekuwaje mama Anna kilango angebwabwaje alivyopigwa chini ukuu wa mkoa, mara nyingi watu wazima, na waungwana wanachunga midomo yao.
True. Hivi unapoondolewa nafasi yako na aliyekuweka, unaitisha mkutano wa wanahabari ili kumpongeza aliyekutumbua (sio ufedhuli kweli?) Nape aache utoto, cheo ni dhamana hivyo bado kuna nafasi zingine mbele ya safari.
 
Hata alivosema kuna kibaya gan jana nape alichoongea hadi muwe na hofu ya namna hiyo? Anataka kutoa shukrani kwa rais na aliofanya nao kazi, Mtu anataka kuongea unamwekea mtutu, kwanza kupewa cheo lazima, kama ameondolewa kwa manufaa ya nji kwa nn azuiwe kusema?
 
Na kuna baadhi ya watu humu JF wakati wa kampeni walisema tutaikosea sana nchi yetu tusipompa hii nchi.
Swali je wasemaji bado wanasema kuamini walichosema?
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Nimeipenda hiyo always you can't win against your boss
fe6f271361297b97c37c05605202efbd.jpg
 
Kwanini unashughuhulika na walifanya uchunguzi na si uchunguzi ulivyofanyika? Ushahidi wa maelezo ya waliovamiwa upo!
Mkuu huwezi kupata credible results bila kuangalia credibility ya waliohusika kwenye mchakato. Mfano, tunaposema tunataka kufanya utafiti wa chanjo ya kifua kikuu, huwezi kutumia maafisa kilimo kufanya utafiti na bado ukajifariji kuwa suala la muhimu ni matokeo ya utafiti na sio watafiti.
 
You shut up and don't speak your mind, just because there are chances of being appointed for another position? that is weird and cynical. Kuna mtu alitoka tumboni kwa mama yake na cheo chochote?? don't be ridiculous.....
 
Mkuu huwezi kupata credible results bila kuangalia credibility ya waliohusika kwenye mchakato. Mfano, tunaposema tunataka kufanya utafiti wa chanjo ya kifua kikuu, huwezi kutumia maafisa kilimo kufanya utafiti na bado ukajifariji kuwa suala la muhimu ni matokeo ya utafiti na sio watafiti.
You must be kidding!. Yaani kumuuliza mwenye nyumba kama aliyeingia kwenye nyumba aliingia kwa madhumuni gani na aliongea nini akiwa ndani tutafute wenye taaluma? Hii kesi mbona hata balozi wa nyumba kumi anaweza kuamua?
 
Hajabadilika chochote ndiyo huyo huyo wa kukurupuka, vitisho na kejeli hata kabla hajawa rais na ndiyo sababu wengi tu waliandika hafai kuiongoza Tanzania sasa inakula kwetu.
Tumeponzwa na watu wawili tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo ni kazi

Ni kutofahamu mipaka ya utendaji wake, ni kwa nini hakumpigia simu Rais kwa ajili ya kuomba ushauri kuhusu dhamira yake ya kuunda Tume, yeye anawajibika kwa nani, hiyo taarifa angeipeleka kwa nani kwa ajili ya maamuzi. Hili liliotoke ni kazi ya Mungu ili Nape naye ajionee machungu ambayo wengine wamekwa wakikabiliana nayo na wakati mwingine naye akitoa maelekezo washughulikiwe. Nasikia hata enzi za Mwalimu, mtu aliyechangia katika kupitisha Sheria ya Kuweka watu Kizuizini, aliponea chupu chupu kuwekwa kizuizini, akakimbi nchi.
Kama ulisikiliza vizuri ile ripoti..kuna kifungu cha sheria kinamtaka waziri aunde kamati kunapokua na suala kama lile.. hakujiamulia tu.. utakua ni ujinga kama waziri kila saa amuulize bosi wake cha kufanya... kumlinda nani??? Isitoshe kamati iliundwa kabla ya tamko la mukulu.. isitoshe no one is above the law including mukulu mwenyewe... haijalishi alisema nin muhimu sheria ifate mkondo.
 
Back
Top Bottom