Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

waberoya! unapo post kitu jaribu kutumia upeo kidogo kufikiria, yule ile ni wizara yake na ni miongoni mwa majukum yake kutatua changamoto zote zinazoikabili tasnia ya michezo na sanaa kwa ujumla, kwa iyo ww unafurahia lile tukio lililotokea pale clouds media? na angekaa kimya ili iweje? ionekane kwamba na yeye anasapot ule ujinge? tuwe wazalendo jaman na hii nchi, tusiongee tu kama maneno yanatokea tumbon, baada na ww mwananchi wa kawaida ukemee huu ujinga uliotokea ndio kwanza unamshaur wazir mwenye dhamana akae kimya sasa wale watu wakesemee wapi? kwel wa akina bashite mko wengi
Unavyosema ni sawa lakini kumbuku makosa yalifanyika na kiongozi wa serikali na yeye nape ni kiongozi wa serikali angelingoja aliyewateua kutoa uamuzi amba magufuli alishaueleza sasa yeye kuanza kuzungumza na waandishi na kuunda tume ni kumpinga boss wako hii ipo duniani kote ingemgharimu vinginevyo angejiuzuru kabla ndio angekuwa shujaa lakini kuongea baada ya kutumbuliwa ni upuuzi
 
bado nawaza sana
You are avoiding to discuss the elephant in the living room, a three ton elephant right before your eyes. Right there, with its two enormous tusks, one meter long each. All Waberoya sees is a comic book on the coffee table. But this is not so unusual of Waberoya, the political jester.
 
Kka acha ujinga basi, hao watu wote wa Unga walikuwa wanaitwa kituo kikuu cha polisi, kuna uhusiano gani kati ya Waziri wa mambo ya ndani na Polisi?
Watu kama Gwajima walienda kukaguliwa na polisi mpaka majumbani mwao, Waziri wa mambo ya ndani anahusikaje na hao polisi,
Acha ujuaji wa kijinga
Kijana...soma!
Waziri wa mambo ya ndani ni msimamizi tu, wa jeshi la polisi, lililochini ya wizara yake!
Mambo ya, ulinzi na usalama ktk mkoa, yanasimamiwa na vyombo vingine ambavyo, viko nje ya majukumu ya waziri wa mambo ya ndani...usalama wa Taifa, haiko mambo ya ndani, jeshi la ulinzi, na mgambo haviko chini ya wizara ya mambo ya ndani..
Soma!
Usione aibu! Hutaki kuwa GT mkuu?
 
Kijana...soma!
Waziri wa mambo ya ndani ni msimamizi tu, wa jeshi la polisi, lililochini ya wizara yake!
Mambo ya, ulinzi na usalama ktk mkoa, yanasimamiwa na vyombo vingine ambavyo, viko nje ya majukumu ya waziri wa mambo ya ndani...usalama wa Taifa, haiko mambo ya ndani, jeshi la ulinzi, na mgambo haviko chini ya wizara ya mambo ya ndani..
Soma!
Usione aibu! Hutaki kuwa GT mkuu?

Waziri wa mambo ya ndani hasimamii Polisi pekeyake, Kaka hiyo issue ya Madawa ya Kulevya iliyowashirikisha Mahojiano Polisi, upekuzi wa nyumba za watu, huwezi kuifanya kwa kumbypass waziri wa mambo ya ndani acha Ubishi kijana
 
On an individual level, speech is a means of participation, the vehicle through which individuals debate the issues of the day, cast their votes, and actively join in the processes of decision-making that shape the polity. Free speech serves the individual’s right to join the political fray, to stand up and be counted, to be an active player in the democracy, not a passive spectator.
 
Hivi kwa hadhi ya Mkuu wa mkoa, kuhojiwa na mtu kama Balile ni sawa?
Au muunda kamati nae akuliangalia hilo?
 
Inavyo onekana Nape alijua anacho kifanya na alijua kitacho tokea, Uzuri wa wana sihasa wana uwezo wa kubadilika kutokana na mazingira. Nape kasoma nyakati na kafanya alicho kifanya. Kwa kiasi flani ni kama amefanikiwa mission yake.
Nape angelijua kuna kutumbuliwa asingelisubiri hilo angejiuzulu, Na asingetokwa na povu
 
Mleta uzi, unaongea kwa utashi wako au umetumwa pipi dukani à.k.a umetekwa ?
 
ikumbukwe kuwa ana kitabu chake pale mh2 hivyo anavyofanya mkuu naona vimeshamdatisha jua hilo
Hajabadilika chochote ndiyo huyo huyo wa kukurupuka, vitisho na kejeli hata kabla hajawa rais na ndiyo sababu wengi tu waliandika hafai kuiongoza Tanzania sasa inakula kwetu.
 
Mleta uzi, unaongea kwa utashi wako au umetumwa pipi dukani à.k.a umetekwa ?
keshatekwa huyo hajua aandikalo hapo juu haoni wala hasikii kilio cha wengine huyo nadhani naye ni miongoni mwa wakuu wa mikoa
 
Waziri wa mambo ya ndani hasimamii Polisi pekeyake, Kaka hiyo issue ya Madawa ya Kulevya iliyowashirikisha Mahojiano Polisi, upekuzi wa nyumba za watu, huwezi kuifanya kwa kumbypass waziri wa mambo ya ndani acha Ubishi kijana
We kwa hoja zako yaelekea "wadandiwa mgongoni wewe...si bure..."
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box


Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Time will tell.
 
What Nape did was right 100%. I call it counter attack and counter-reaction! ANAJIAMINI, na anajua maisha yapo nje ya uwaziri:


View attachment 486701

Uko wrong,somehow,kama ifuatavyo.

Yeye angekuwa smart ni kwamba alipoona rais kisha toa msimamo wake.na rais ndiye mwenye dhamana ya juu kikatiba iliyopo.
Na Nape kama dhamira yake ilikuwa ya kweli kwa maslahi ya taifa,kama alivyodai ni dhahiri angerudi ofisini akaita press conference na kutangaza kutokuunga mkono maamuzi yale na kwa hiyo dhamira yake imemsuta na anaamua kuachia ngazi kwa maslahi ya kutetea ukweli.
Na kama anabaki kuwa mtiifu kwa chama chake au la hiyo pia ingekuwa ni fursa yake kuueleza umma,tena kwa utulivu bila jazba na hata wazee ndani ya chama wangemuelewa vizuri.

Baada ya hapo angekwenda ikulu kukabidhi barua ya kujiuzuru na akakaa kutafakari mwenyewe kulingana na matakwa yake.

Hapo angekuwa amelamba 100%

Lakini yeye kaendeleza ligi tangia mwanzo kwa wema sepetu hadi mwisho hotelini kwa mbowe protea hotel ile ndugu ya hotel ingine kama hiyo protea aishi hotel/machame moshi.
What did you expect [emoji95]?
 
Back
Top Bottom