Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Yaani hicho kitabu ndicho kitanipa uelewa wa dhana ya 'uzalendo'?

Kwa maelezo haya mafupi tu ya kitabu, I'm not tempted to read it:

"Hii ni historia ya Maisha na Harakati za Mtanzania mmoja. Ni safari ndefu. Ukikisoma unapata mafunzo mengi, mojawapo ikiwa kuwa kazi ndiyo humpatia mtu heshima katika jamii. Mvivu na mlevi hawana heshima."

Maana hapa sijaona ni namna gani nitaelewa juu ya dhana ya 'uzalendo'. Na pia kinaonekana kuwafaa lightweights...

Nimekuomba vitabu vitatu. Ungekuwa mwelewa, ungeelewa kwanini nimekuomba kitabu zaidi ya kimoja.
Hicho kimoja hujamaliza unataka kingine. Kitabu gani kinasomwa nusu saa. Try to pull up. Do not wait to be pulled up.
 
Ila clouds nao wanafiki kweli mpaka sasa kwanini wasifungue kesi
Wasitufanye wajinga sisi

Clouds ndo chanzo cha yote haya
kumbuka kwamba hawatamshtaki RC bali wataishtaki serikali kwasababu RC KUINGIA CLOUDS HAIKUWA TATIZO,TATIZO LILIKUWA WALE ALIOINGIA NAO,ambao umeshajua kwamba wale wanatoka kwa kibali MAALUM cha RAIS.sasa wewe ungeweza kufanya hivyo unavyoshauri?
 
Ni lini clouds walilipeleka swala hilo kwa waziri?na ukumbuke makonda na clouds ni watu wa karibu.
Sasa waziri aljjipeleka mwenyewe? Kwani wangemwambia kuwa wamelipeleka suala hilo kwenye vyombo vya sheria, kwani waziri angewakataza na kuling'ang'ania yeye?
 
Labda, lakini nahisi ingekuwa hivyo angejiuzulu mapema sana baada ya lile tamko la rais pale Ubungo
hawezi kujiudhuru kwa jambo ambalo hata halijafanyika,ndio maana aliendelea na mchakato ili kwamba kama tatizo ni maamuzi aliyoyafanya ijulikane.
 
MHH WIZARA YA HABARI MICHEZO NA UTAMADUNI.DUU NAPE LEO KASHANGALIWA.MLIO KUWA UWANJANI JE BABA YANGU WA MBEYA NAYE ALISHANGILIWA ?NAOMBA JIBU.
 
Sasa waziri aljjipeleka mwenyewe? Kwani wangemwambia kuwa wamelipeleka suala hilo kwenye vyombo vya sheria, kwani waziri angewakataza na kuling'ang'ania yeye?
waziri alienda mwenyewe kama waziri mwenye dhamana,hakuitwa kwamba njoo uone kilichotokea.
 
waacheni watiane pembe maana laana ya Eddo inaendelea kuwatafuna
hilo trela picha lenyewe laja na sisi na nyie mpaka kieleweke
 
hawezi kujiudhuru kwa jambo ambalo hata halijafanyika,ndio maana aliendelea na mchakato ili kwamba kama tatizo ni maamuzi aliyoyafanya ijulikane.

Na hapo ndo alipokosea. Maana alishajua mwelekeo wa boss wake, na kama alikuwa hakubaliani alipaswa avunje ile kamati na yeye ajiuzuru
 
Je, hao marafiki wa Nape walikuwa kwenye hali gani? Ukiwa na jibu ya swali hili ndipo waweza kusema kuwa Nape hakutulia.
 
Hivi jamani cloud ifugue mashitaka gani????? kwamba mkuu wamkoa ambao ni mwenye kiti wausalama na ulizi wa mkoa wa Dar katuvamia na askari wake!!!!! alafu badaye kafanyaje.....katupiga kapora katutukana.... kumbukeni katika maswala ya ulizi na usalama police na mofisa wana haki ya kuvamia popote wanao hisi kama usalama uko hatarini bila notice kwa muhusika. kwahiyo case ningumu kushida. ingekuwa makonda kama mtu hapo kuna case lkn kama RC analidwa sana kwamjibu ya kazi na majikumu ya Rc
unakosea,hata kama ni mwenyekiti sio kazi ya mkuu wa mkoa kuvamia,kuingia front kwenye kazi hizo sio kweli.yeye anawajibu wa kutoa taarifa kwa vyombo vinavyohusika kuhusu uhalifu wowote halafu vyenyewe ndio vitapanga vinafanyaje kazi lakini sasa imekuwa RC yeye ndio anawapangia kazi POLISI,hii haiko sawa ndio maana unakuta hakuna ufanisi.
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box


Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Biashara ya 'unga' ni organised crime yenye mtandao wa kimataifa. Wanaweza kumnunua mtu yeyote wa kada yeyote ili watimize malengo yao. Kwahiyo yaliyojiri kwenye sakata la Nape si ajabu !
 
Biashara ya 'unga' ni organised crime yenye mtandao wa kimataifa. Wanaweza kumnunua mtu yeyote wa kada yeyote ili watimize malengo yao. Kwahiyo yaliyojiri kwenye sakata la Nape si ajabu !

Kabisa ndugu

tuombee watoto wetu!
 
Back
Top Bottom