Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

Kinyago mkchonge wenyewe; chumbani mkiweke alafu kianze kuwatisha...!!?
Wabunge wote wenye nia njema fanyeni kweli..!
[HASHTAG]#impeach[/HASHTAG] [HASHTAG]#impeach[/HASHTAG] [HASHTAG]#impeachmtukufu[/HASHTAG]
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa

Sielewi kwanini watu wanauliza hili swali. Hakukaa kimya kwa sababu alisimamia haki. Ndio alikizanana na Rais na hatakiwe kiprotokali lakini maadili ni zaidi ya protocal. Haki ni zaidi ya Rais
 
Nape alijua kabisa mkuu wake wa kazi alishatoa tamko lakini bado aliendelea na maamuzi yake ya kupingana na mkuu wake hata mimi bado najiuliza je hii inatokana na kutoelewa mipaka yake ya uongozi, kutopewa semina elekezi au kutafuta huruma kwa watanzania baada ya kuona rais kwa tamko lake kama anamdhalilisha.
 
Hawa mawaziri ni watu wa ajabu sana, kwa nini wasisome upepo unavyoelekea? Nao wapeleke ngalawa upande huo? Wanatakiwa wamsome JPM anataka nn na sio sheria inasema nn. Daaaaa watapukutikaaaaa
 
1. Tume ya Nape iliundwa kabla ya kauli ya raisi ya "chapa kazi"

2. Siku ile Ubungo, Raisi hakuna mahali aliposema RC hajafanya makosa, ila tu alisema yeye hafanyi kazi kwa taarifa za udaku mitandaoni, kwa hiyo ni vigumu kusema kuwa kwa kauli yake ile alizuia kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha Clouds.

3. Kwa hiyo ilikuwa ni sahihi Waziri kuunda kamati ifanye uchunguzi, ipate taarifa, ili ripoti sasa itakayopatikana ipelekwe ngazi za juu kwa maamuzi Kwa sababu isingekuwa busara kufanya Maamuzi kwa taarifa za Insta/ mitandaoni peke yake!
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Kwa kiasi fulani jibu linaonekana pale kwenye tukio kwenye video clips.
 
Nape alikua waziri wa habari sidhani kama kukaa kimya ilikua ni suluhisho.Maadam rais Magufuli ameamua kumkumbatia Mkuu wa mkoa wa Dar kuliko mtu yeyote, ngoja tuone mwisho wake.Ukweli ni kwamba Makonda na Magufuri wana siri nzito na tutaijua tuu siku wakikorofishana.Maana ulimi hupeleka chakula kwenye meno lakini meno yasivyo na shukrani huwa yanang'ata ulimi wakati fulani.
Aisee nimekubali hiyo " maneno busara" uliyotumia.
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
Uliyoandika yako sahihi kabisa. Wengi tuliyaona na kumpa tahadhari kuwa anachofanya sivyo. Yaani anakubaliana na upande mmoja na kuanza kulaani kabla ya kupata maelezo ya upande wa pili. Anaunda tume ya uchunguzi wakati ameshatoa msimamo wake kwa suala hilo. Halafu tume pamoja na yeye mwenyewe haina madaraka juu ya RC. Kwa nini hakumwachia waziri mkuu ashughulikie suala hilo maana ndiye mwenye mamlaka dhidi ya wakuu wa mikoa na wala siyo mawaziri?

Halafu Nape wala hakuwa ametumbuliwa. Si kama alivyotumbuliwa Kitwanga. Rais alichofanya ni mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri kwa kuteua mtu mwingine kusimamia wizara hiyo. Na inawezekana kabisa kingalichofuata ni kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa kumteua Nape kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, na Makonda kupelekwa mkoa mwingine au kuwekwa kando.

Cha ajabu Nape kusikia tu hayo mabadiliko ya baraza la mawaziri hakutulia kusubiri what is next kama alivyofanya mwenzake Kitwanga ambaye alitumbuliwa moja kwa moja. Nape alikasirika na kuitisha press conference siku hiyo hiyo. Serikali ilimsihi atulie na asifanye hiyo press conference. Lakini alikaidi. Kilicchotokea ni aibu. Hivyo hata kama alikuwa apewe kazi nyingine nafasi hiyo amejiharibia.

Utawala ni profession. Nape hakutaka kupata ushauri wa wataalamu wake wa public administration. Hivyo kavurunda misingi ya utawala bora. Utawala bora si ma press conferences na mikamati ya hovyo hovyo. Sasa tunamuomba atulie aendelee na ubunge wake. Asichepukie chadema kama wanavyofanya wengine. Awe mtiifu kwa chama na serikali yake. Akifanya hivyo baada ya miaka michache atakuja kuukwaa tena uwaziri. Zamu hiyo sasa atakuwa mweledi zaidi katika utekelezaji wa majukumu ya uwaziri. Haya ni mambo ya kawaida kwenye maisha ya kisiasa. Kuna kujikwaa, kuanguka na kuna kuinukaa.

Nape acha kabisa hizo hasira za kimakonde za nchale nchale tu. Zilishapitwa na wakati. Hapa kazi tu. Anaye underperfom tunamuweka kando bila kuangalia sura au umaarufu wake au historia yake ya nyuma alichokifanyia chama au serikali. Tukiangalia hayo hatutafika tunakotaka. Itakuwa business as usual. Blaa blaa na udaku mwingi lakini kazi (output) hakuna.
 
Nape alikua waziri wa habari sidhani kama kukaa kimya ilikua ni suluhisho.Maadam rais Magufuli ameamua kumkumbatia Mkuu wa mkoa wa Dar kuliko mtu yeyote, ngoja tuone mwisho wake.Ukweli ni kwamba Makonda na Magufuri wana siri nzito na tutaijua tuu siku wakikorofishana.Maana ulimi hupeleka chakula kwenye meno lakini meno yasivyo na shukrani huwa yanang'ata ulimi wakati fulani.
TUSIPELEKWE NA MIHEMUKO NA JAZBA TUKASAHAU UKWELI NI KWAMBA NAPE ALIKUWA NA CHUKI NA MAKONDA KUANZIA KWENYE SUALA LA MADAWA ALIANZA KUMLAUMU HADHARANI KWAMBA ANAFANYA MAKOSA JAMBO AMBALO KIUTENDAJI SERIKALINI HALITAKIWI, LAKINI BADO NAPE ALITHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA ANATAKA MAKONDA AHARIBIKIWE KAMA ANGELIKUWA NA NIA KWELI YA KUTETEA WAAANDISHI WA HABARI KAMA ALIVYOJINADI ANGEANZA NA YULE DC ALIYEMUWEKA MAHABUSU MWANDISHI WA HABARI WA ITV IWEJE LEO MAKONDA KWENDA STUDIO IMEKUWA NONGWA MPAKA AUNDIWE TUME YA KUFANYA KAZI MASAA 24 IWE IMETOA REPORT??? HAPO MWENYE AKILI NA AELEWE HUU WEMA WA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARI UMEANZA LINI WAKATI NI YEYE HUYOHUYO AMESIMAMIA MAGAZETI KADHAA KUFUNGIWA NA BUNGE LIVE KUONDOLEWA ?? UKWELI NI KWAMBA WAUZA MADAWA WALIMTUMIA NAPE VILIVYO NA AKATAKA KUTUHADAA KWAMBA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI NI UWONGO WA WAZI AKADANGANYE WAJINGA WENZIE. MAKONDA NI KWELI HAKUWA SAHIHI LAKINI NGUVU KUBWA ILIYOTUMIWA NA WAZIRI INADHIHIRISHA WAZI KABISA NAPE HAKUWA NA NIA NJEMA KWA MAKONDA SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MWENYEWE NA ANAVUNA ALICHOPANDA.
 
Nionavyo mimi, Nape na Makonda wana "mambo yao" binafsi yaliyokuwa nje ya kazi zao za Serikali. Mh. Makonda alivyoanzisha sekeseke la ngada na kuwahusisha watu wa karibu na Nape kama Wema ilibidi Nape atoke kuwatetea "wadogo" zake kwa kauli kali sana za kuua brand za watu. Baada ya nape kutoka hadharni, tukaona vijembe kutoka kwa kila upande. Hawa watu wakawa wanatumia ofisi zao kuwindanda. Nape akaona ndiyo muda mwafanya pa kumpiga Makonda panapouma kupitia issue ya Clouds. Rejea, alivyotembelea Clouds "kuwapa pole" na kuunda "kamati" haraka haraka iliyojaa wapinzani wa Makonda. dots ni nyingi sana ...................................... tuendelee kuangalia movie baada ya stering moja kujeruhiwa vibaya sana. Je, "timu " yake itakubali kirahisi hivyo? Nipeni gahawa ninywe.
TUSIPELEKWE NA MIHEMUKO NA JAZBA TUKASAHAU UKWELI NI KWAMBA NAPE ALIKUWA NA CHUKI NA MAKONDA KUANZIA KWENYE SUALA LA MADAWA ALIANZA KUMLAUMU HADHARANI KWAMBA ANAFANYA MAKOSA JAMBO AMBALO KIUTENDAJI SERIKALINI HALITAKIWI, LAKINI BADO NAPE ALITHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA ANATAKA MAKONDA AHARIBIKIWE KAMA ANGELIKUWA NA NIA KWELI YA KUTETEA WAAANDISHI WA HABARI KAMA ALIVYOJINADI ANGEANZA NA YULE DC ALIYEMUWEKA MAHABUSU MWANDISHI WA HABARI WA ITV IWEJE LEO MAKONDA KWENDA STUDIO IMEKUWA NONGWA MPAKA AUNDIWE TUME YA KUFANYA KAZI MASAA 24 IWE IMETOA REPORT??? HAPO MWENYE AKILI NA AELEWE HUU WEMA WA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARI UMEANZA LINI WAKATI NI YEYE HUYOHUYO AMESIMAMIA MAGAZETI KADHAA KUFUNGIWA NA BUNGE LIVE KUONDOLEWA ?? UKWELI NI KWAMBA WAUZA MADAWA WALIMTUMIA NAPE VILIVYO NA AKATAKA KUTUHADAA KWAMBA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI NI UWONGO WA WAZI AKADANGANYE WAJINGA WENZIE. MAKONDA NI KWELI HAKUWA SAHIHI LAKINI NGUVU KUBWA ILIYOTUMIWA NA WAZIRI INADHIHIRISHA WAZI KABISA NAPE HAKUWA NA NIA NJEMA KWA MAKONDA SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MWENYEWE NA ANAVUNA ALICHOPANDA.
 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha

Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini?

Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu alichofanya is obvious ilikuwa lazima ajiuzulu yeye , bila hata kuondolewa. Hakukuwa na haja ya Kamati wakati mwisho wa matokeo ya kamati ni kupeleka report kwa Rais ambaye aliishaamua na kusema pale ubungo

Naamini rais sio malaika, wala sio kuwa Nape hana namba ya simu ya Magu kiasi ambacho wangeongea kuhusu hili swala na kupata baraka zake, kufanya jambo kama lile au kuendelea nalo likiwa linakinzana na bosi wako lina maana gani?? (tuache mihemko wengi tuna mabosi hapa)

Namna ya kudeal na lile swala ilikuwa lazima kuwe na kamati? au angebadili methodology? what was the mission behind? tuwaze nje ya box

Nape inaonekana alijua anafanya nini, na alijua outcome ya mission ilikuwa aidha

1. Rais awe kwenye wakati mgumu wa maamuzi
2. au Nape aondoke yeye

mkuu kamuwahi

ila siamini kama kwa level ya Nape hakujua kuwa kuna kitu kinaendelea..(?????) Yes unaweza kuwa hero, unaweza kuwa na malengo mema na mazuri kabisa ( kutimiza wajibu wako) ila kufanikisha kazi yako kwa ufanisi kunahitaji akili pia na approach kufikia lengo

mimi mtu wa chini niliona kabisa Nape anakinzana na rais, yeye hakuona? au yeye anafanya kazi kama msaidizi wa nani? kama sio msaidizi wa rais....naona Logic inagoma kuona kama Nape alikuwa yeye kama yeye na hana affiliation na Magufuli ambaye ni bosi wake

Imani yangu na msimamo wangu, Makonda ataondoka kupitia mahakama kwa sasa, kuvamia clouds was the best opportunity ya kumuweka kwenye majengo ya mahakama....ingemlazimisha rais kumuondoa
TUSIPELEKWE NA MIHEMUKO NA JAZBA TUKASAHAU UKWELI NI KWAMBA NAPE ALIKUWA NA CHUKI NA MAKONDA KUANZIA KWENYE SUALA LA MADAWA ALIANZA KUMLAUMU HADHARANI KWAMBA ANAFANYA MAKOSA JAMBO AMBALO KIUTENDAJI SERIKALINI HALITAKIWI, LAKINI BADO NAPE ALITHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA ANATAKA MAKONDA AHARIBIKIWE KAMA ANGELIKUWA NA NIA KWELI YA KUTETEA WAAANDISHI WA HABARI KAMA ALIVYOJINADI ANGEANZA NA YULE DC ALIYEMUWEKA MAHABUSU MWANDISHI WA HABARI WA ITV IWEJE LEO MAKONDA KWENDA STUDIO IMEKUWA NONGWA MPAKA AUNDIWE TUME YA KUFANYA KAZI MASAA 24 IWE IMETOA REPORT??? HAPO MWENYE AKILI NA AELEWE HUU WEMA WA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARI UMEANZA LINI WAKATI NI YEYE HUYOHUYO AMESIMAMIA MAGAZETI KADHAA KUFUNGIWA NA BUNGE LIVE KUONDOLEWA ?? UKWELI NI KWAMBA WAUZA MADAWA WALIMTUMIA NAPE VILIVYO NA AKATAKA KUTUHADAA KWAMBA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI NI UWONGO WA WAZI AKADANGANYE WAJINGA WENZIE. MAKONDA NI KWELI HAKUWA SAHIHI LAKINI NGUVU KUBWA ILIYOTUMIWA NA WAZIRI INADHIHIRISHA WAZI KABISA NAPE HAKUWA NA NIA NJEMA KWA MAKONDA SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MWENYEWE NA ANAVUNA ALICHOPANDA.
 
waberoya! unapo post kitu jaribu kutumia upeo kidogo kufikiria, yule ile ni wizara yake na ni miongoni mwa majukum yake kutatua changamoto zote zinazoikabili tasnia ya michezo na sanaa kwa ujumla, kwa iyo ww unafurahia lile tukio lililotokea pale clouds media? na angekaa kimya ili iweje? ionekane kwamba na yeye anasapot ule ujinge? tuwe wazalendo jaman na hii nchi, tusiongee tu kama maneno yanatokea tumbon, baada na ww mwananchi wa kawaida ukemee huu ujinga uliotokea ndio kwanza unamshaur wazir mwenye dhamana akae kimya sasa wale watu wakesemee wapi? kwel wa akina bashite mko wengi
Hebu jaribu tena kumsoma Mtoa mada!

Busara ni pamoja na kukubali lile usilolielewa na kusubiri,There after unarudi na tafakuri za kina juu ya suala husika.Ni ukweli mtupu kuwa hatupaswi kutetea makosa, Lakini ni kwanini Nnape asingesubiri kwa muda fulani ndipo alizungumzie hili lililotokea kwa mapana yake?.Au ilikuwa ni LAZIMA tu alizungumzie jana?.I think hiyo ndiyo dhana nzima ya thread na mengine baadhi.

Rejea concept ya Waberoya hapo juu "what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini ?".
 
Uliyoandika yako sahihi kabisa. Wengi tuliyaona na kumpa tahadhari kuwa anachofanya sivyo. Yaani anakubaliana na upande mmoja na kuanza kulaani kabla ya kupata maelezo ya upande wa pili. Anaunda tume ya uchunguzi wakati ameshatoa msimamo wake kwa suala hilo. Halafu tume pamoja na yeye mwenyewe haina madaraka juu ya RC. Kwa nini hakumwachia waziri mkuu ashughulikie suala hilo maana ndiye mwenye mamlaka dhidi ya wakuu wa mikoa na wala siyo mawaziri?

Halafu Nape wala hakuwa ametumbuliwa. Si kama alivyotumbuliwa Kitwanga. Rais alichofanya ni mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri kwa kuteua mtu mwingine kusimamia wizara hiyo. Na inawezekana kabisa kingalichofuata ni kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa kwa kumteua Nape kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, na Makonda kupelekwa mkoa mwingine au kuwekwa kando.

Cha ajabu Nape kusikia tu hayo mabadiliko ya baraza la mawaziri hakutulia kusubiri what is next kama alivyofanya mwenzake Kitwanga ambaye alitumbuliwa moja kwa moja. Nape alikasirika na kuitisha press conference siku hiyo hiyo. Serikali ilimsihi atulie na asifanye hiyo press conference. Lakini alikaidi. Kilicchotokea ni aibu. Hivyo hata kama alikuwa apewe kazi nyingine nafasi hiyo amejiharibia.

Utawala ni profession. Nape hakutaka kupata ushauri wa wataalamu wake wa public administration. Hivyo kavurunda misingi ya utawala bora. Utawala bora si ma press conferences na mikamati ya hovyo hovyo. Sasa tunamuomba atulie aendelee na ubunge wake. Asichepukie chadema kama wanavyofanya wengine. Awe mtiifu kwa chama na serikali yake. Akifanya hivyo baada ya miaka michache atakuja kuukwaa tena uwaziri. Zamu hiyo sasa atakuwa mweledi zaidi katika utekelezaji wa majukumu ya uwaziri. Haya ni mambo ya kawaida kwenye maisha ya kisiasa. Kuna kujikwaa, kuanguka na kuna kuinukaa.
NAPE HAWEZI KUTULIA PESA ZA MADAWA ZIMEMCHANGANYA MPAKA ANATUKANA HOVYO TUSIPELEKWE NA MIHEMUKO NA JAZBA TUKASAHAU UKWELI NI KWAMBA NAPE ALIKUWA NA CHUKI NA MAKONDA KUANZIA KWENYE SUALA LA MADAWA ALIANZA KUMLAUMU HADHARANI KWAMBA ANAFANYA MAKOSA JAMBO AMBALO KIUTENDAJI SERIKALINI HALITAKIWI, LAKINI BADO NAPE ALITHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA ANATAKA MAKONDA AHARIBIKIWE KAMA ANGELIKUWA NA NIA KWELI YA KUTETEA WAAANDISHI WA HABARI KAMA ALIVYOJINADI ANGEANZA NA YULE DC ALIYEMUWEKA MAHABUSU MWANDISHI WA HABARI WA ITV IWEJE LEO MAKONDA KWENDA STUDIO IMEKUWA NONGWA MPAKA AUNDIWE TUME YA KUFANYA KAZI MASAA 24 IWE IMETOA REPORT??? HAPO MWENYE AKILI NA AELEWE HUU WEMA WA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARI UMEANZA LINI WAKATI NI YEYE HUYOHUYO AMESIMAMIA MAGAZETI KADHAA KUFUNGIWA NA BUNGE LIVE KUONDOLEWA ?? UKWELI NI KWAMBA WAUZA MADAWA WALIMTUMIA NAPE VILIVYO NA AKATAKA KUTUHADAA KWAMBA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI NI UWONGO WA WAZI AKADANGANYE WAJINGA WENZIE. MAKONDA NI KWELI HAKUWA SAHIHI LAKINI NGUVU KUBWA ILIYOTUMIWA NA WAZIRI INADHIHIRISHA WAZI KABISA NAPE HAKUWA NA NIA NJEMA KWA MAKONDA SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MWENYEWE NA ANAVUNA ALICHOPANDA.
 
Nionavyo mimi, Nape na Makonda wana "mambo yao" binafsi yaliyokuwa nje ya kazi zao za Serikali. Mh. Makonda alivyoanzisha sekeseke la ngada na kuwahusisha watu wa karibu na Nape kama Wema ilibidi Nape atoke kuwatetea "wadogo" zake kwa kauli kali sana za kuua brand za watu. Baada ya nape kutoka hadharni, tukaona vijembe kutoka kwa kila upande. Hawa watu wakawa wanatumia ofisi zao kuwindanda. Nape akaona ndiyo muda mwafanya pa kumpiga Makonda panapouma kupitia issue ya Clouds. Rejea, alivyotembelea Clouds "kuwapa pole" na kuunda "kamati" haraka haraka iliyojaa wapinzani wa Makonda. dots ni nyingi sana ...................................... tuendelee kuangalia movie baada ya stering moja kujeruhiwa vibaya sana. Je, "timu " yake itakubali kirahisi hivyo? Nipeni gahawa ninywe.
Kunywa Mkuu Yaleyale .

Nakuja kulipa.
 
Unapochanganya nia mbaya na matendo mabaya, unapata ubaya kamili.

Unapochanganya nia mbaya na matendo mazuri, unapata ubaya nusu.

Unapochanganya nia nzuri na matendomabaya, unapata uzuri nusu.

Unapochanganya nia nzuri na matendo mazuri, unapata uzuri kamili.

Nape alichanganya nia mbaya na matendo mazuri.
 
1. Tume ya Nape iliundwa kabla ya kauli ya raisi ya "chapa kazi"

2. Siku ile Ubungo, Raisi hakuna mahali aliposema RC hajafanya makosa, ila tu alisema yeye hafanyi kazi kwa taarifa za udaku mitandaoni, kwa hiyo ni vigumu kusema kuwa kwa kauli yake ile alizuia kuchunguza tukio la kuvamiwa kituo cha Clouds.

3. Kwa hiyo ilikuwa ni sahihi Waziri kuunda kamati ifanye uchunguzi, ipate taarifa, ili ripoti sasa itakayopatikana ipelekwe ngazi za juu kwa maamuzi Kwa sababu isingekuwa busara kufanya Maamuzi kwa taarifa za Insta/ mitandaoni peke yake!
HARAKA YOTE ILIKUWA YA NINI HASA KUNA MTU ALIUAWA PALE AU KUNA MALI ILIPOTEA MPAKA KAMATI IPEWE SAA 24 KWA LIPI HASA?
TUSIPELEKWE NA MIHEMUKO NA JAZBA TUKASAHAU UKWELI NI KWAMBA NAPE ALIKUWA NA CHUKI NA MAKONDA KUANZIA KWENYE SUALA LA MADAWA ALIANZA KUMLAUMU HADHARANI KWAMBA ANAFANYA MAKOSA JAMBO AMBALO KIUTENDAJI SERIKALINI HALITAKIWI, LAKINI BADO NAPE ALITHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA ANATAKA MAKONDA AHARIBIKIWE KAMA ANGELIKUWA NA NIA KWELI YA KUTETEA WAAANDISHI WA HABARI KAMA ALIVYOJINADI ANGEANZA NA YULE DC ALIYEMUWEKA MAHABUSU MWANDISHI WA HABARI WA ITV IWEJE LEO MAKONDA KWENDA STUDIO IMEKUWA NONGWA MPAKA AUNDIWE TUME YA KUFANYA KAZI MASAA 24 IWE IMETOA REPORT??? HAPO MWENYE AKILI NA AELEWE HUU WEMA WA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARI UMEANZA LINI WAKATI NI YEYE HUYOHUYO AMESIMAMIA MAGAZETI KADHAA KUFUNGIWA NA BUNGE LIVE KUONDOLEWA ?? UKWELI NI KWAMBA WAUZA MADAWA WALIMTUMIA NAPE VILIVYO NA AKATAKA KUTUHADAA KWAMBA ANATETEA WAANDISHI WA HABARI NI UWONGO WA WAZI AKADANGANYE WAJINGA WENZIE. MAKONDA NI KWELI HAKUWA SAHIHI LAKINI NGUVU KUBWA ILIYOTUMIWA NA WAZIRI INADHIHIRISHA WAZI KABISA NAPE HAKUWA NA NIA NJEMA KWA MAKONDA SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MWENYEWE NA ANAVUNA ALICHOPANDA.
 
Hajabadilika ila hiyo ndo rangi yake halisi..
Yaani hivi sasa ndivyo alivyo,that's the reason why mama Janet alikupa hacheki wala kutabasamu kwenye kampeni,alikupa anaongea na nanyi viumbe ambao hamkuelewa kwa non verbal way. Mnakazana kupiga push up mke wake Hata jino haonyeshi,na hamkushtuka tu. Lowasa hakukosa urais ila waTz wamekosa rais. Hivi wa Kenya si walikuwa wanamtaka huyu jamani. Mpelekeni bureeeee
 
Back
Top Bottom